unanitaka
JF-Expert Member
- Oct 7, 2014
- 2,178
- 1,047
mbona prof jk kaonga migodi kwa suti na kaonga gesi kwa wachina ili asinyongwe china na unga?
Ndooroboooo wewe
mbona prof jk kaonga migodi kwa suti na kaonga gesi kwa wachina ili asinyongwe china na unga?
CCM , wakimuona Dr.slaa wana pata ugonjwa wa kuhara ......
UKAWA ITAKOMBOA NCHI na nyie viherehere wote mtabaki midomo wazi ! nitajie viongozi wa 5 tu wa ccm ambao ukichanganya vichwa vyao wanaweza fika hata robo ya Dr slaa , sitaki wanaotetemeka , weka wazima kabisa .
Mkuu huyo Lil Wayne ndio nini bwana! Sie tunataka apige picha na watu mashuhuri kama huyu hapa chini. Ambaye anaweza kuwafundisha vijana wetu jinsi ya kutumia mikono kujilinda. He he he
View attachment 259338
Daktari wa Kanoni Padri Dr.W.Slaa hiyo suti kaazimwa na Mbowe nini?
Hahahah huyu hana sura ngumu, ila hajui kuvaa kulingana na hadhi yake, mbona huko nje kuna suti kali tu halafu cheap
Ha! Ha! Haaa!!! swali , je ni nani aliomba kupiga picha na mwenzie ?Mkuu huyo Lil Wayne ndio nini bwana! Sie tunataka apige picha na watu mashuhuri kama huyu hapa chini. Ambaye anaweza kuwafundisha vijana wetu jinsi ya kutumia mikono kujilinda. He he he
View attachment 259338
Atutaki ushoga tz
Huyo ndie Rais Wa WANYONGE Watanzania walionyang'anywa haki zao na Mafisadi ma ccm.
swissme
unakumbuka sakata la mswada wa ushoga waliotuletea waingereza na tulipokata wafuta hela walizokuwa wanaipa bodi ya elimu ya juu, sasa ndo wafazili wa chama na wamemuita ili wampe nyingine maana za kwanza ameishachukua ili akipata walete iyo miswada yao,
Kumbe na wewe ni MPUUZI kiasi hiki.Hana mvuto wa urais, inabidi awe presentable kama mbowe
Mkuu, mbona unaandika vitu vyao uongo unahofia nini kuwambia watanzania ukweli. Huyo Dr.Mario Voigt ni kiongozi wa chama cha CDU cha Ujerumani, Dr.Slaa kaenda kuomba msaada kwa wafadhili wake.
Dr. Mario Voigt als neuer CDU-Generalsekretär vorgeschlagen.
huyu bibi faizfox ukute ni allshabab au gaidi lenye misimamo mikali.Kila kitu anakiangalia kwa mtazamo wa udini.Wadini hawatufai kabisa
hivi mlitaka JK awafayie nini? aje awazalishe? kama mabarabara kawajengea, mashule, mavyuo, mahosipitali, ma-airport etc etc.... bado mnalalamika tu. hivi kuna rais yeyote kabla ya Kikwete aliyefanya haya? leo hii 56% ya vijiji vinapata maji kwa sababu ya utawala huu wa JK. hivi ni kweli hamuoni? hivi nikiwaita nyie ni ma-jisenge nitakuwa nimekosea?
kwa taarifa yenu slaa kutawala nchi hii ni sawa na kukamua maziwa kwa kuku. hata yeye mwenyewe analijua hili.
very poor !Huyo Padri anaenda kulazimishwa akubali ushoga ndo apewe msaada,watanzania hatuwezi kukubali
mkuu unapoteza muda wako bure , huyo jamaa ameshindikana hata kwao !vijiji gan vinapata maj 50% tanzania acha ushabiki maandaz...km daresalam hapa ndoo ya maji 500 vip mkoa itakuwaje..barabara za kulipua ndan ya miez sita zshaharibika hizo ndo barabara? shiling imeshuka thaman.deni la taifa limepanda kwa aslimia sabini bado unaongea usengerema wako apa.we kima kweli pmj na jk wako