Katika ziara ya Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Slaa huko EU

Katika ziara ya Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Slaa huko EU

we jamaa usipende kujishusha hadhi kiasi hicho.watu km ww km mko hvyo jf inashuka hadhi.
Acha unafiki huo pro-Chadema mwenzako alivyoniambia hayo maneno yeye yupo sawa? Mimi nimemjibu kama alivyoniambia.
 
PISTO LERO

Huyo jamaa ambaye kapiga picha na Dr.Slaa huyu hapa chini maelezo yake.

Mario Voigt-(*-8. Februar-1977-in-Jena) ist eindeutscher-Politiker-(CDU), seit 2009 Mitglied des-Thüringer Landtags-und seit 2014 einer von drei stellvertretenden Landesvorsitzenden der-CDU Thüringen.
 
Last edited by a moderator:
Pamoja katika safari ya uhakika .Mungu amlinde na atimize ndoto ya watanzania maskini ya kuweza kutoka hapa tulipo

Mpumbavi safari ya uhakiki wapi? mbona wazungu hawakumuita 2010 kabla ya mafuta na gesi? leo hii tuna mafuta na gesi wanataka wamtumie ili watufanya kama libya leo hii wananchi wanakimbia mchi yao,nakufia majini kama mamba,kiongozi gani mwenye fikra za kitumwa hivi?
 
wenzake wameishajua kuongoza yeye ndo anaenda memukwa ya democrasi na utawala sasahv kwa wazungu,watamsaidi ili hajue kuongoza wake zake wawili ambao wanamshinda kuwaongoza, sio wtz,
 
safi sana Dr Slaa , ningeshangaa sana kama ungepiga picha na LIL WAYNE uache wataalam .
 
hivi kweli huyu mzee awe rais wangu hata siku moja sikubali, ntahama nchi kwa miaka yote atayotawala, bora hata yule mkulima aliyechukua fomu na chupa zake za maji kuliko huyu mzee,

Una ubavu wa kuhama nchi wewe???Maneno ya Komba hyo Bunge la katiba n kaingia kweli msituni Mwambie Baba yk akachukue form
 
Una ubavu wa kuhama nchi wewe???Maneno ya Komba hyo Bunge la katiba n kaingia kweli msituni Mwambie Baba yk akachukue form

Ongeza kiroba kingine kamanda, kuhama nchi kwako umeona jambo kubwa sana, kwa sababu huujui hata mpaka mmoja wa nchi lazima uone ajabu,
 
Maendeleo yatakuja kuletwa na wapinzani. Tusiende mbali, wakati wa KANU, nchini Kenya, mambo yalikua yale yale, maendeleo kiduchu. Baada ya kuchukua upinzani, ndani ya miaka kumu tuu, mzee Kibaki aliibadilisha Kenya.

Kwa ma CCM, hata apewe nani, yatakua mambo yaleyale, mawaziri watakua walewale ambao wengine wamekuwepo serekalini tangu enzi za Mwl. Nyerere, hawana mpya. Sasa umefika wakati tufanye mapinduzi ya kweli, tuwaone wengine nao watafanya nini?

Acha kuota ndugu,maendeleo yanaletwa na wewe mwenyewe,ili mradi tu unatimiza wajibu wako kikamilifu.
 
Ongeza kiroba kingine kamanda, kuhama nchi kwako umeona jambo kubwa sana, kwa sababu huujui hata mpaka mmoja wa nchi lazima uone ajabu,
UKAWA ITAKOMBOA NCHI na nyie viherehere wote mtabaki midomo wazi ! nitajie viongozi wa 5 tu wa ccm ambao ukichanganya vichwa vyao wanaweza fika hata robo ya Dr slaa , sitaki wanaotetemeka , weka wazima kabisa .
 
Acha kuota ndugu,maendeleo yanaletwa na wewe mwenyewe,ili mradi tu unatimiza wajibu wako kikamilifu.
unakaa foleni masaa 6 wajibu upi utatimia ? au wanajichotea mihela yetu halafu maabara tunakamuliwa ; hili nalo unaona la kawaida ? maendeleo ya nchi hii yatakuja baada ya ccm kutimuliwa na wananchi , akili ndogo iliyochoka haina jipya , na ukae ukijua kila aliyeiba atarudisha , hatutabembeleza mtu , kuna taarifa kwamba hela iliyoibwa ni nyingi kuliko iliyotumika tangu tupate uhuru !
 
Back
Top Bottom