Anko Sam
JF-Expert Member
- Jun 30, 2010
- 3,254
- 907
Hana mvuto wa urais, inabidi awe presentable kama mbowe
Hatuchagui Rais kwa kuangalia sura yake, wala dini yake, wala kabila lake, wala jinsia yake na wala umbile lake. Tunataka mtu ambaye atarudisha heshima ya Taifa na kulisogeza mbele kwa vitendo kwenye uchumi wa kati.
