Katika ziara ya Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Slaa huko EU

Katika ziara ya Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Slaa huko EU

Huyo jamaa ambaye kapiga picha na Dr.Slaa huyu hapa chini maelezo yake.

Mario Voigt-(*-8. Februar-1977-in-Jena) ist eindeutscher-Politiker-(CDU), seit 2009 Mitglied des-Thüringer Landtags-und seit 2014 einer von drei stellvertretenden Landesvorsitzenden der-CDU Thüringen.

kwani ukiwa kwenye chama cha siasa uruhusiwa kuwa mtaaramu wa kitu kingine?Mbona Prof Mwandosya ni ccm lakini ni mtaaram wa mawasiliano.Ccm imekula rasirimali akiri na pesa
 
Mbwatukaji huyo hajapata hata uraisi ameshaanza kuzungusha bakuli. Msaada msaada ulaya nzima
 
Mpumbavi safari ya uhakiki wapi? mbona wazungu hawakumuita 2010 kabla ya mafuta na gesi? leo hii tuna mafuta na gesi wanataka wamtumie ili watufanya kama libya leo hii wananchi wanakimbia mchi yao,nakufia majini kama mamba,kiongozi gani mwenye fikra za kitumwa hivi?

mbona prof jk kaonga migodi kwa suti na kaonga gesi kwa wachina ili asinyongwe china na unga?
 
pisto lero umebambwa ukiuminya ukweli, si sema kaenda kuonana na kiongozi wa chama cha demokrasia cha kikristo cha ujerumani, unaficha nini?

Unafikiri watanzania ni wajinga hawajui mrengo wa kidini wa chadema?
ritz umembamba jamaa utamu kweli, sijuwi uongo hawa watu huwa unawasaidia nini? Si aseme ukweli tu.

umeamka udini utawauwa mwaka huu. Mbona serikali ya ccm inapokea misaada toka iran, saudia nk.
 
kwani ukiwa kwenye chama cha siasa uruhusiwa kuwa mtaaramu wa kitu kingine?Mbona Prof Mwandosya ni ccm lakini ni mtaaram wa mawasiliano.Ccm imekula rasirimali akiri na pesa
Mtaaram = Mtaalam.
 
PISTO LERO

Hizi ndio habari tunazotaka kusikia sio sijui kachukua fomu sijui kapanda pikipiki habari ya mujini ni UKAWA neno ambalo CCM wakilisikia wanaumwa matumbo amini hivyo.
 
Last edited by a moderator:
bado tunaongelea sura badala ya facts....kweli tumelogwa aiseeee!!!! eti presentable unafikiri kuna shindano la kuuza sura ikulu au umodoo....

Huyo handsome aliyeko naona katufikisha kwenye nchi ya maziwa na asali mijitu mingine bwana hivyo kabisa.
 
Mpumbavi safari ya uhakiki wapi? mbona wazungu hawakumuita 2010 kabla ya mafuta na gesi? leo hii tuna mafuta na gesi wanataka wamtumie ili watufanya kama libya leo hii wananchi wanakimbia mchi yao,nakufia majini kama mamba,kiongozi gani mwenye fikra za kitumwa hivi?

hivi we jamaa unajua kusoma na kuandika kweli ?
 
Back
Top Bottom