Katika ziara ya Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Slaa huko EU

Katika ziara ya Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Slaa huko EU

We ndorobo nimesema hayuko presentable, nani kaongelea mvuto, ushauri najua atauchukua na avae suti zinazomfaa kutoka sheria ngowi

Wewe ndiyo ndorobo squared...hukumbuki hata unachoandika! Soma bandiko lako namba 6 ujione ulivyo mjinga.
 
naona bangi tu humu. maji yamefika kwa 56% vijijini. umeme imefika kwa zaidi ya 25% kutoka chini ya 11% 2005, barabara zimejengwa km 11, 000 kwa miaka 9.5 na wewe mpumbavu unapita humohumo kwenye hizo barabara alizojenga JK, wakati watangulizi wake walijenga km 6000 kwa miaka zaidi ya 44.
hata huu upumbavu wako unaoupost humu ni kutokana na shule alizojenga JK na kadegree kako umekapatia UDOM aliyojenga Kikwete. Leo hii kwa kuwa wewe ni jisenge unapata courage ya kumtukana JK. mbwa wewe. tena mbwa ambaye anafikri hata Dsm ni kijijini.

vijiji gan vinapata maj 50% tanzania acha ushabiki maandaz...km daresalam hapa ndoo ya maji 500 vip mkoa itakuwaje..barabara za kulipua ndan ya miez sita zshaharibika hizo ndo barabara? shiling imeshuka thaman.deni la taifa limepanda kwa aslimia sabini bado unaongea usengerema wako apa.we kima kweli pmj na jk wako
 
vijiji gan vinapata maj 50% tanzania acha ushabiki maandaz...km daresalam hapa ndoo ya maji 500 vip mkoa itakuwaje..

Mkuu, yawezekana hujawahi kukaa nje ya Dar es Salaam.

Lakini katika nchi ya Tanzania nadhan hakuna makao makuu ya mkoa yenye shida ya maji kuliko Dar es Salaam, Dar es Salaam itashika mkia/au karibu na mkoa kwenye suala la maji.Kuna mikoa maji ni ya kumwaga.

Hivyo kujudge kigezo cha maji kwa kuangalia Dar es Salaam utakosea sana.
 
Hahaaha iyo suruali alikuazima mbowe nn...hahhaha kama kachomekwa
 
Hata usemeje rais lazima awe presentable na akili mukichwa, upo hapo
Kuwa presentable ni kitu ambacho ni very subjective na ambacho hakina tija kwenye ulingo wa kisiasa. Hebu tujikite kwenye mambo ya msingi wakati huu wa kuelekea kwenye uchaguzi mkuu. Taifa limegubikwa na Umaskini, Elimu Duni, Ufisadi, Ruswa, Maradhi n.k. Tunahitaji mgombea atakayetuondoloe kadhia hii, Hatuhitaji Mr. Tanzania. Tunataka mgombea mwenye vision na mikakati ya kututoa hapa tulipo na kutuletea maendeleo. Hatutafuti model, yapo majukwaa ya kusaka mamodel na walimbwende ila sio jukwaa hili la siasa.
 
Back
Top Bottom