PISTO LERO umebambwa ukiuminya ukweli, si sema kaenda kuonana na kiongozi wa chama cha demokrasia cha kikristo cha Ujerumani, unaficha nini?
Unafikiri Watanzania ni wajinga hawajui mrengo wa kidini wa chadema?
Ritz umembamba jamaa utamu kweli, sijuwi uongo hawa watu huwa unawasaidia nini? Si aseme ukweli tu.
wewe ajuza udini umekutawala sana,ona mkwere mwenzio anafukuzwa akienda kucheza ngoma ughaibuni.Udini na ukabira umepitwa na wakati
