RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 60,139
- 138,177
unakaba hadi penati.Mi mazoea hayo ili iwejee,mi sitaki mwanamke yeyote awe na mazoea hayo,nae mpewa lifti hata hajiongezi kageuza gari la kwao ,mazoea gani hayo ya kua na mme wangu karibu vile ,namshangaa mke wako kumzoesha kumpa lifti mi hata lifti asingepata angeipata nikiwa ndani ya gari peke yangu