MduduWashawasha
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 1,653
- 605
Dah.Inaonekana mkuu Mkeo ndo alikuwa girl friend wako wa kwanza
ushauri mzuri sana ila mstari wa mwisho sijauelewa. kwani akinunua kausafiri kake ndo hataona aibu kumwacha jirani getini? huyo wife kusema ametoa amri kwa kuwa ni gari lake imemtoka tu kwa kushindwa kusema "sikuamini wewe na jirani maana kutokana na mlundikano wa genye mnaweza kufanya lolote". Hata mwanaume kuna mazingira angeweza kumwambia mkewe...nyumbani kwangu,.... watoto wangu...Reading between the lines...... ni HIVI
Issue kubwa hapa sio kwamba unataka kukaidi ushauri wa mke wako bali unakataka wife ambaye ndiye alianza kumkaribisha mdada lift ndio atoe agizo la kumpiga stop.
SULUHISHO: Kwa vyovyote vile usimwambie binti kuwa kuanzia leo wife kasema nisikupe lift. Majirani huwa hawafanyi hivyo. Cha kufanya ni kutumia diplomasia. Kwa sababu una usafiri mbadala wa kwenda ofisini. Basi tumia huo. Tizama hili katika hali chanya zaidi. Utakuwa unasave gharama za mafuta na vile vile utakuwa umempa ahueni mke wako. Ndoa wakati mwingine nikuchukuliana na kubebeana ubaya lakini kubebeana huko kusizidi uwezo.
DIPLOMASIA: Mwambie yule dada kuanzia sasa utakuwa unapanda gari la ofisini kwa sababu mke wako ambaye ni mzazi anaweza kupata dharura na akataka kulitumia gari.
ANGALIZO: Kwa sababu umeshajenga nyumba ni muda mwafaka sasa ukajitahidi kununua kausafiri kako ili usipate matatizo kama haya.
ahsante kwa kisa chako, japo uhitaji msaada, lakini jua kuwa mwanamke iwe vyovyote uyazoee haya:
-nyumba yangu,
- gari yangu
- watoto wangu
- wangu
- wangu, kila kitu changu ni changu,
usiumie kichwa ndio wake zetu hao
Pia jaribu kuelewa kuwa mkeo anaposema "nimeamua tu" ujue ana maanisha.....
Wadau,
Sina haja ya kuunganisha wanawake wote katika suala ninalopitia. Kwa ujumla ninaishi vizuri kabisa na mke wangu mpendwa ambaye tumeoana mwaka 2014. Tulibahatika kujenga na kuhamia nyumbani kwetu mwaka jana. Kwa bahati nzuri ambayo sasa imekuwa mbaya tulijenga urafiki na familia ya jirani na kwetu, mke wangu na dada wa nyumba ya jirani wakawa marafiki wakubwa.
Hali hii ilipelekea hata kuwa tunatoka wote asubuhi kwa gari ya mke wangu na kurudi pamoja pia muda wa jioni kwa kuwa wote tunafanya kazi katika maeneo jirani. Sasa mke wangu mpenzi amejifungua na sasa yupo ''maternity leave''. Jumatatu ikabidi nitoke mwenyewe na dada wa jirani ambaye huwa tunampa lift asubuhi na jioni. Sasa niliporudi usiku huo wa jumatatu wife akaniambia hataki nimpe lift tena dada wa jirani, nikauliza kwa nini? Akajibu hataki tu; niliwaza usiku ule na kuamua kuendelea kumpa lift huyu dada kwa kuwa wazo la kumpa lift lilikuwa la wife mwenyewe na kwangu ni ngumu sana kumpita huyu dada ambaye ameshazoea kuwa anapanda gari hii ukizingatia kuwa ni wife mwenyewe aliyemkaribisha. Nilipoamka jumanne nikamkuta huyu dada ananisubiri nje, nikampa lift kama kawaida na jioni pia nikarudi naye nyumbani pamoja.
Sasa mke wangu baada ya kuona hivyo, usiku wa jumanne akaniambia nikubali moja, kuendesha gari yake bila kumpa lift dada wa jirani au niende kazini kwa gari ya staff?! Hii kauli ya kutamka kuwa gari ni yake ilinipa mawazo sana kwa kuwa mke wangu huyu mpendwa hajawahi kuwa mtu anayeonyesha ubinafsi, tumekuwa na ndoa nzuri yenye amani na upendo wa hali juu.
Ndipo nikauliza ana tatizo gani na huyu dada? bado alinijibu kuwa hataki tu.
Nikampigia simu dereva wa staff bus kuwa anipitie asubuhi, na kuwakuwa basi huwa halijai kwa kuwa staff tunaoishi huko ni wachache na huyu dada alikuwa nje muda basi lilipofika kunichukua naye pia akapanda kwenye staff bus.
Niliporudi home wife amenuna na hataki kuongea, nashindwa kuelewa tatizo lake kwa huyu dada ni nini hasa?
Kiukweli naishi maisha yenye kuheshimu ndoa na kumpenda mke wangu kwa kiwango cha juu kabisa.
Waungwana, kama hivi ndivyo wanawake wanavyoweza kuwa na maamuzi yasio na chembe ya aibu napata shida sana kumuelewa mke wangu.
halafu mkuu ebu fanya na utaratibu wa kuedit profile yako,maana kutokana na kisa chako hiki wewe ni kidume lakini kwenye Gender humu jf umespecify kama "female". why?Wadau,

Labda anaona huyo jiarani atakuibaWadau,

Kuna watu ukiwapa lifti siku moja tu kosa........ hata mazingira hasomiHuyu kaka nae ni wakushangaza, ameamua kupanda staff bus bado tena anamkaribisha na jirani kwenye gari ya office.Kifupi hataki tena dada jirani asumbuke na swala la usafiri.
Kuna watu hawanaga aibu mmojawapo dada jirani.Hivi awezi ona aibu siku zingine akawa anaondoka mapema awai daladala na kuacha gari la watu.