Katika hili nashindwa kumuelewa mke wangu

Katika hili nashindwa kumuelewa mke wangu

Ngoja tuongee ukweli. Wanaume hamuaminiki kama mnaweza kutembea hata na house girl hat na watoto wa kuwazaaa kwa nini iwe shida kutembea na jirani. Mkeo anaona kuna hatari mbele yako na jirani na ndio maana anakukatalia usiendelee kumpa lift wakati yeye hayupo.
 
Hekima, Ujenga Nyumba. Heri Mtu Yule Ajaaye Hekima Kichwani Pake. Mtu Huyo Atakuwa Kama Mwangaza Uzukao Asubui. Chemi Chemi za Uzima Zita Bubujika Kinywani Mwake Siku Zote. Na Siku Zote Hata Amua Jambo Kwa Gadhabu, Bali Hekima yake Itakuwa Lulu Juu ya Maamuzi yenye Busara na Adili.

Tafakari. Mithali Hii na Umwombe Mungu Akuruzukie Hekima yake, itakayo Kupa Maarifa ya Kuishi na Sweet, Wako kwa Amani Ndugu.
Hakika maneno hayo yamenipendeza, kifungu gani hicho?
 
Back
Top Bottom