Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani aandika barua ya Kujiuzulu. Lugola na Andengenye wakalia kuti kavu, Rais Magufuli asema hawafai

Wakuu,

Waziri wa Mambo ya Ndani nchini Tanzania, Kangi Lugola na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Ukoaji, Thobias Andengenye Wametumbuliwa muda huu. Huku Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,Meja Jenerali Jacob Kingu akiandika Barua ya Kujiuzulu

Stay tuned
Tuliandika humu mara kadhaa, ukiona mtu anasifia sana waliomteua ujue kuna maovu mengi nyuma yake anajaribu kuyaficha...
 
Back
Top Bottom