PreGE2025 Katibu Mkuu TEC, Rev Dkt. Charles Kitima: Wasitupangie cha Kusema

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Majibu ya Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) Rev Dkt. Charles Kitima baada ya kuulizwa kuhusu sakata la viongozi wa Dini kuonekana wanachanganya Dini na Siasa pale ambapo wanatoa matamko kuhusu mambo mbalimbali ya kiutawala yanayoendelea nchini. Amesema;

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Kukemea wizi sio kuingilia siasa, Kwani wizi ni siasa? Mwizi wa kura ni sawa na mwizi mwingine, Kukemea utekaji na vitendo viovu ni kukemea dhambi. Wasitupangie cha kusema tunakemea dhambi.

"Kutokana na hali hiyo ya kuvuruga uchaguzi tangu 2016 viongozi wa dini wanatakiwa WAITAKE serikali na sio KUIOMBA wala KUISHAURI bali WAITAKE serikali iheshimu sheria na Wapiga kura waheshimiwe".

"Sisi kama Kanisa kazi yetu ni kukemea maovu, kuiba kura za wananchi, kupeleka kura zisizo halali 'fake', kumtangaza mgombea ambaye hajapata kura nyingi kuwa ni mshindi huo ni uovu na nikazi ya shetani sio kazi ya Mungu." Kitima.

View attachment 3319517
Ngoja walamba kwato waje!!
 
hawa vipi ?
 
Attachments

  • FB_IMG_1745932628277.jpg
    FB_IMG_1745932628277.jpg
    95.1 KB · Views: 13

mapadre waache unyanayasaji wa kingono kwa vijana wadogo.

ni aibu mafirauni kujificha madhabahuni eti wanahubiri neno la mungu mungu huku wametoka kulawiti watoto wa watu na saa zingine kupiga mimba na kutelekeza watoto motaa. wanafanya uzinzi na wakae za watu na kuvunja ndoa za watu halafu kinafiki wanajiona ni watakatifu kama vile wadogo zake yesu.

huo ndio uovu anapaswa kuukemea huyo muovu wa pale st agustine univasite mwanza :putinWalk:
 
Safi sana. Ndo maana Mimi nawakubali RC mapadri wao ni very intellectual
 
Church criminals promoting democracy impersonators

???
 
mapadre waache unyanayasaji wa kingono kwa vijana wadogo.

ni aibu mafirauni kujificha madhabahuni eti wanahubiri neno la mungu mungu huku wametoka kulawiti watoto wa watu na saa zingine kupiga mimba na kutelekeza watoto motaa. wanafanya uzinzi na wakae za watu na kuvunja ndoa za watu halafu kinafiki wanajiona ni watakatifu kama vile wadogo zake yesu.

huo ndio uovu anapaswa kuukemea huyo muovu wa pale st agustine univasite mwanza :putinWalk:
Some Catholic priests are well known rapists and pedophiles, eti wana-promote democracy??

"There have been many cases of sexual abuse of children by priests, nuns, and other members of religious life in the Catholic Church. The cases have involved several allegations, investigations, trials, convictions, acknowledgement and apologies by Church authorities, and revelations about decades of instances of abuse and attempts by Church officials to cover them up. The abused include mostly boys but also girls, some as young as three years old, with the majority between the ages of 11 and 14😡
 
Majibu ya Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) Rev Dkt. Charles Kitima baada ya kuulizwa kuhusu sakata la viongozi wa Dini kuonekana wanachanganya Dini na Siasa pale ambapo wanatoa matamko kuhusu mambo mbalimbali ya kiutawala yanayoendelea nchini. Amesema;

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Kukemea wizi sio kuingilia siasa, Kwani wizi ni siasa? Mwizi wa kura ni sawa na mwizi mwingine, Kukemea utekaji na vitendo viovu ni kukemea dhambi. Wasitupangie cha kusema tunakemea dhambi.

"Kutokana na hali hiyo ya kuvuruga uchaguzi tangu 2016 viongozi wa dini wanatakiwa WAITAKE serikali na sio KUIOMBA wala KUISHAURI bali WAITAKE serikali iheshimu sheria na Wapiga kura waheshimiwe".

"Sisi kama Kanisa kazi yetu ni kukemea maovu, kuiba kura za wananchi, kupeleka kura zisizo halali 'fake', kumtangaza mgombea ambaye hajapata kura nyingi kuwa ni mshindi huo ni uovu na nikazi ya shetani sio kazi ya Mungu." Kitima.

View attachment 3319517

Majibu ya Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) Rev Dkt. Charles Kitima baada ya kuulizwa kuhusu sakata la viongozi wa Dini kuonekana wanachanganya Dini na Siasa pale ambapo wanatoa matamko kuhusu mambo mbalimbali ya kiutawala yanayoendelea nchini. Amesema;

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Kukemea wizi sio kuingilia siasa, Kwani wizi ni siasa? Mwizi wa kura ni sawa na mwizi mwingine, Kukemea utekaji na vitendo viovu ni kukemea dhambi. Wasitupangie cha kusema tunakemea dhambi.

"Kutokana na hali hiyo ya kuvuruga uchaguzi tangu 2016 viongozi wa dini wanatakiwa WAITAKE serikali na sio KUIOMBA wala KUISHAURI bali WAITAKE serikali iheshimu sheria na Wapiga kura waheshimiwe".

"Sisi kama Kanisa kazi yetu ni kukemea maovu, kuiba kura za wananchi, kupeleka kura zisizo halali 'fake', kumtangaza mgombea ambaye hajapata kura nyingi kuwa ni mshindi huo ni uovu na nikazi ya shetani sio kazi ya Mungu." Kitima.

View attachment 3319517
Ni Moja,Takatifu Katoliki La Mitume👏
 
Hata haueleweki hoja yako ni nini? Unachanganya mambo

Kwahiyo Yesu alivyo uawa ni madhara ya yeye kwenda kinyume na wito wake? Kama vile Yohana siyo?

Herode alionywa na Yohana Kwa kuchukua mke wa ndugu yake(uzinzi). Huko ndio kwenda kinyume na wito wake? Ulitaka asikemewe Kwa kuwa ni mtawala. Mbona Yohana kabla ya kuwabatiza watu alikuwa anawaonya watubu mpaka Askari wakamuuliza wafanye nini na wao. Hizo Biblia mnasomaga mkiwa mmezigeuza?

Shida hapa ni "Ignorance". Jua tu siasa na dini hazipingani Bali zinakamilishana katika kumletea binadamu ukombozi wa mwili na Roho.

Katika historia ya maandiko. Palipo kuwa Mfalme palikuwa pia Nabii wa kumkumbusha Mfalme agano la Mungu kwao. Mf Samuel na Sauli, Daudi na Nathan na Suleiman, Eliya na Ahabu n.k. Muda mwingine iliwapasa kufa.

Achakusoma kupotosha Biblia iliupate majibu yako.
Una mjibu huyo jamaa? Utapoteza muda. Mwenzako analipwa
 
Majibu ya Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) Rev Dkt. Charles Kitima baada ya kuulizwa kuhusu sakata la viongozi wa Dini kuonekana wanachanganya Dini na Siasa pale ambapo wanatoa matamko kuhusu mambo mbalimbali ya kiutawala yanayoendelea nchini. Amesema;

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Kukemea wizi sio kuingilia siasa, Kwani wizi ni siasa? Mwizi wa kura ni sawa na mwizi mwingine, Kukemea utekaji na vitendo viovu ni kukemea dhambi. Wasitupangie cha kusema tunakemea dhambi.

"Kutokana na hali hiyo ya kuvuruga uchaguzi tangu 2016 viongozi wa dini wanatakiwa WAITAKE serikali na sio KUIOMBA wala KUISHAURI bali WAITAKE serikali iheshimu sheria na Wapiga kura waheshimiwe".

"Sisi kama Kanisa kazi yetu ni kukemea maovu, kuiba kura za wananchi, kupeleka kura zisizo halali 'fake', kumtangaza mgombea ambaye hajapata kura nyingi kuwa ni mshindi huo ni uovu na nikazi ya shetani sio kazi ya Mungu." Kitima.

View attachment 3319517
Hivi kuna mtu ambaye haathiriki na siasa? Siasa ni maisha na maisha ni siasa.

Usipojishughulisha na siasa moja kwa moja mfano kuwa mwanachama basi utajihuisha na siasa kwa njia isiyo ya moja kwa moja mfano kumchagua mbunge ambaye akienda bungeni anawawakilisha wananchi, na hoja ikipita basi ni hoja ya wananchi hata kama alijitungia mbunge mwenyewe!

Sasa inakuwaje unatenganisha maisha na siasa ikiwa maamuzi ya maisha ya raia wakiwemo waamini wa dini mbalimbali pamoja na viongozi yanaamuliwa na wanasiasa? Kwa viongozi wa dini siyo raia? Kwani hawaathiriki na maamuzi ya kisiasa? Mfano waamini wakiwa fukara si watashindwa kutoa michango?
 
Some Catholic priests are well known rapists and pedophiles, eti wana-promote democracy??

"There have been many cases of sexual abuse of children by priests, nuns, and other members of religious life in the Catholic Church. The cases have involved several allegations, investigations, trials, convictions, acknowledgement and apologies by Church authorities, and revelations about decades of instances of abuse and attempts by Church officials to cover them up. The abused include mostly boys but also girls, some as young as three years old, with the majority between the ages of 11 and 14😡
inasikitisha sana na inafedhehersha sana kwa waovu kutumia kaninisa kwa unafiki wa kiwango cha juu sana kujifanya watakatifu :NoGodNo:
 
Majibu ya Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) Rev Dkt. Charles Kitima baada ya kuulizwa kuhusu sakata la viongozi wa Dini kuonekana wanachanganya Dini na Siasa pale ambapo wanatoa matamko kuhusu mambo mbalimbali ya kiutawala yanayoendelea nchini. Amesema;

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Kukemea wizi sio kuingilia siasa, Kwani wizi ni siasa? Mwizi wa kura ni sawa na mwizi mwingine, Kukemea utekaji na vitendo viovu ni kukemea dhambi. Wasitupangie cha kusema tunakemea dhambi.

"Kutokana na hali hiyo ya kuvuruga uchaguzi tangu 2016 viongozi wa dini wanatakiwa WAITAKE serikali na sio KUIOMBA wala KUISHAURI bali WAITAKE serikali iheshimu sheria na Wapiga kura waheshimiwe".

"Sisi kama Kanisa kazi yetu ni kukemea maovu, kuiba kura za wananchi, kupeleka kura zisizo halali 'fake', kumtangaza mgombea ambaye hajapata kura nyingi kuwa ni mshindi huo ni uovu na nikazi ya shetani sio kazi ya Mungu." Kitima.

View attachment 3319517
Mbona tuliikataa tangu zamani hii tabia ya kuwapangia viongozi wa kiimani mambo ya kuzungumza na jinsi ya kuzungumza?! Viongozi hao wanazungumza hali ilivyo kwa misingi ya neno la Mungu ambaye yuko juu ya wote.
Credit: Askofu Stephen Munga
 
Back
Top Bottom