PreGE2025 Katibu Mkuu TEC, Rev Dkt. Charles Kitima: Wasitupangie cha Kusema

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wapi tundu lissu alisema ataanzisha UASI? i mean from video zote zile wapi alisema?

Reference from congo, rwanda, even LRA kule uganda. Ungeona wananunua silaha, wana train watu wao, na mambo mengine. Hata talk wanaingia msituni direct
Kwa hiyo Detective J unataka uone silaha zikiletwa na watu wakipindua nchi ndiyo ukawashtaki kwa kesi ya uhaini?

Unless umezaliwa baada ya 1980s, ila kwa sisi tuliokuwapo tuna kumbukumbu ya kesi ya Lugangira aka Uncle Tom na MacGhee na wenzao akina Hanspope, Eugene Maganga, Mbogoro, Banyikwa etc waliotaka kumpindua Rais Nyerere mwaka 1982/3.

Serikali haikusubiri wapindue ndiyo iwashitaki. Kwa sasa iachie Mahakama ifanye kazi yake
 
Dude kesi zao wale were so different, too far from kesi ya lissu.
omce again uhaini hautangazwi wazi wazi, lissu is just politician , but not a threat
 
Mahakama sasa ndiyo tunataka itoe kauli hiyo baada ya utetezi. Huwezi ukasema unaanzisha UASI halafu ukachekewa!! Hiyo itakuwa ni jamhuri ya ndizi.
 
Vipindi vyote vya utawala wa wakatoliki wenzao hawajawahi kukemea lolote kwa nguvu hivi Wala kutoa kauli za kimamlaka, "Waachiwe mara Moja na bila masharti". UNAFIKI MTUPU.

Mungu humlinda anayefitiniwa!!!
Wakati Askofu Severine Niwemugizi anamkemea Magufuli ulikuwa hujazaliwa? Hulijui hili au ndo unajizima data makusudically?
 
Mahakama sasa ndiyo tunataka itoe kauli hiyo baada ya utetezi. Huwezi ukasema unaanzisha UASI halafu ukachekewa!! Hiyo itakuwa ni jamhuri ya ndizi.
bullshit, hamna kesi hapo. within time dpp ata give up, kama zilivyokuwa zingine
 
Hakuna Padre mjinga
Mafather wote asilimia kubwa wanajitambua na hawana njaa za kijinga.

Mola awatunze wazidi kusema iliyo kweli.
Kama ni kweli hayo unayosema kila mwaka haya yasingetokea, siku wakikataa kodi zetu kupitia MoU hapo nitawaamini
 
Hakuna maana ya kwenda kusali kanisani kama madhabahu zinakuwa tu mwangwi au kasuku wa kurudia sauti ya yale yanayosemwa nje ya kanisa

Mfano nje ya Kanisa Lisu anasema no reform no election na unaenda kanisani unasikia mwangwi au marufio ya sauti ileile ya no reform no election.

Si bora tu mtu usiende kanisani sababu hakuna jipya kanisani.

Ukishasikiliza Tundu Lisu basi huna haja tena kwenda kanisani kusikiliza yaleyale ni kupotezeana muda

Wanaosema kanisa liachane na matamko ya kisiasa wana hoja

Je lengo la kanisa duniani ni kuwa kasuku wa kurudia rudia kusema yake wanasiasa wanasema ? Ndilo agizo la Mungu kwa kanisa? Kuwa enendeni ulimwenguni mkawe kasuku wa kuhubiri yale wanasiasa wanahubiri?

Anasema hawapangiwi cha kuhubiri ,kuhubiri yale yale yaliyosemwa na wanasiasa sio kupangiwa huko? Wanakuwa hawana independent mind.

Wanasubiri homilia au mahubiri yaandaliwe na wanasiasa halafu wao wakayarudie kanisani
Kifupi kanisa limeishiwa homilia au mahubiri
Kabla kuhubiri wanatega masikio kudikiliza wanasiasa wanasemaje ili wapate cha kurudia kuhubiri ibadani

Badala ya kuanza kwa kusema leo tutazungumzia injili kama ilivyoandikwa na mtakatifu fulani wanaanza leo tutazunguza habari kama ilivyoongelewa na Tundu Lisu na CHADEMA ya no reform no election

Wapinga mahubiri ya siasa kanisani wana hoja
Jina lako linasadifu akili yako
 
..CDM ni wanakondoo wake, Padre mzima anapambana na politics badala ya kuwa msuluhishi wa migogoro, RC ni kanisa lenye viongozi wasioijua Theology ingawa wamesomea, ndya maana anaona sifa kupambana na KAIZARI
Pole sana kama hujui kazi ya Kanisa.
Kama Kanisa halitasimama kwenye zamu yake sawasawa basi Taifa litaangamia.
Haki huinua taifa, Pasipo haki hakuna Amani,Taifa litaangamia na machafuko.
 
Padri Dr. Ni mwanachadema kinda kindaki namfahamu alikuwa boss wangu SAUT mwaka 2010 nikipiga KAZI pale Kwa muda mfupi.Mi naona agombee ubunge tumnyooshe
Aliwa kukuambia anautaka ubunge? Kila anaye ipinga serikali siku hizi anautaka ubunge?
 
Huyu ameipinge serikali miaka nenda Rudi nakumbuka alitaka kuingilia mishe za wana CCM SAUT ,ukikutana nae muulize CCM ni nani.
 
Kutoripoti uhalifu ni uzwazwa wa hali ya juu.
Kutopigia kelele uovu eti kwa kuwa hakuna hatua zinazochukuliwa ni upofu wa akili.
Mimi niliacha kusali Cathedral ya KKKT - Dodoma sababu ya upuuzi wa Mwamasika, hapo ni baada ya kupigania sana upuuzi uachwe na kuona unaendelea.
Ukweli ni kwamba upigaji upo makanisani. hivi karibuni paroko wetu mbezi beach alizingua bahati nzuri tunasali na watu waliomo kwenye mfumo wa nchi, wakahakikisha anaondoka kanisani kwa mbinu za kiutu uzima.
 
Pole sana kama hujui kazi ya Kanisa.
Kama Kanisa halitasimama kwenye zamu yake sawasawa basi Taifa litaangamia.
Haki huinua taifa, Pasipo haki hakuna Amani,Taifa litaangamia na machafuko.
Church should not promote a candidate or party as this is a disrespect to the sheep, leading them and not letting them make their own minds about how the nation they empower works.
It is rude to preach a political agenda in a place where people are trying to connect to the divine.
It is imperative that, the state and the Church shouldn't interfere to each other. They both should be independent.
 
Kanisa litasimama katika kweli
Na kuongea ukweli kwa watu wote bila kujali utawachoma kiasi gani
 
Hakuna maana ya kwenda kusali kanisani kama madhabahu zinakuwa tu mwangwi au kasuku wa kurudia sauti ya yale yanayosemwa nje ya kanisa

Mfano nje ya Kanisa Lisu anasema no reform no election na unaenda kanisani unasikia mwangwi au marufio ya sauti ileile ya no reform no election.

Si bora tu mtu usiende kanisani sababu hakuna jipya kanisani.

Ukishasikiliza Tundu Lisu basi huna haja tena kwenda kanisani kusikiliza yaleyale ni kupotezeana muda

Wanaosema kanisa liachane na matamko ya kisiasa wana hoja

Je lengo la kanisa duniani ni kuwa kasuku wa kurudia rudia kusema yake wanasiasa wanasema ? Ndilo agizo la Mungu kwa kanisa? Kuwa enendeni ulimwenguni mkawe kasuku wa kuhubiri yale wanasiasa wanahubiri?

Anasema hawapangiwi cha kuhubiri ,kuhubiri yale yale yaliyosemwa na wanasiasa sio kupangiwa huko? Wanakuwa hawana independent mind.

Wanasubiri homilia au mahubiri yaandaliwe na wanasiasa halafu wao wakayarudie kanisani
Kifupi kanisa limeishiwa homilia au mahubiri
Kabla kuhubiri wanatega masikio kudikiliza wanasiasa wanasemaje ili wapate cha kurudia kuhubiri ibadani

Badala ya kuanza kwa kusema leo tutazungumzia injili kama ilivyoandikwa na mtakatifu fulani wanaanza leo tutazunguza habari kama ilivyoongelewa na Tundu Lisu na CHADEMA ya no reform no election

Wapinga mahubiri ya siasa kanisani wana hoja
Maelezo mengi point ndogo kama punje ya haradani
 
Back
Top Bottom