Kutoripoti uhalifu ni uzwazwa wa hali ya juu.Yanafanyika mengi hapa TZ nani anayesumbuka kuyaripoti?. Kanisa letu hapa hapa Mbezi Beach linashindwa kumalizika kwa sababu aliyekuwa paroko akishirikiana na mwenyekitti wa parokia walicheza mchezo na wakaiba juu kwa juu pesa ya manunuzi ya eneo la kuongezewa katika parokia ambalo lipo pembeni ya barabara.
Upigaji walioufanya unamkwaza paroko mpya kwani inabidi apambane amalize deni lililokuwepo ili tuweze kwenda kwa pamoja kama kanisa.
Hawana hoja hao wanaopinga viongozi wa dining!Hakuna maana ya kwenda kusali kanisani kama madhabahu zinakuwa tu mwangwi au kasuku wa kurudia sauti ya yale yanayosemwa nje ya kanisa
Mfano nje ya Kanisa Lisu anasema no reform no election na unaenda kanisani unasikia mwangwi au marufio ya sauti ileile ya no reform no election.
Si bora tu mtu usiende kanisani sababu hakuna jipya kanisani.
Ukishasikiliza Tundu Lisu basi huna haja tena kwenda kanisani kusikiliza yaleyale ni kupotezeana muda
Wanaosema kanisa liachane na matamko ya kisiasa wana hoja
Je lengo la kanisa duniani ni kuwa kasuku wa kurudia rudia kusema yake wanasiasa wanasema ? Ndilo agizo la Mungu kwa kanisa? Kuwa enendeni ulimwenguni mkawe kasuku wa kuhubiri yale wanasiasa wanahubiri?
Anasema hawapangiwi cha kuhubiri ,kuhubiri yale yale yaliyosemwa na wanasiasa sio kupangiwa huko? Wanakuwa hawana independent mind.
Wanasubiri homilia au mahubiri yaandaliwe na wanasiasa halafu wao wakayarudie kanisani
Kifupi kanisa limeishiwa homilia au mahubiri
Kabla kuhubiri wanatega masikio kudikiliza wanasiasa wanasemaje ili wapate cha kurudia kuhubiri ibadani
Badala ya kuanza kwa kusema leo tutazungumzia injili kama ilivyoandikwa na mtakatifu fulani wanaanza leo tutazunguza habari kama ilivyoongelewa na Tundu Lisu na CHADEMA ya no reform no election
Wapinga mahubiri ya siasa kanisani wana hoja
Qapo mashoga tuHakunaga padri falaaa
Majibu ya Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) Rev Dkt. Charles Kitima baada ya kuulizwa kuhusu sakata la viongozi wa Dini kuonekana wanachanganya Dini na Siasa pale ambapo wanatoa matamko kuhusu mambo mbalimbali ya kiutawala yanayoendelea nchini. Amesema;
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kukemea wizi sio kuingilia siasa, Kwani wizi ni siasa? Mwizi wa kura ni sawa na mwizi mwingine, Kukemea utekaji na vitendo viovu ni kukemea dhambi. Wasitupangie cha kusema tunakemea dhambi.
"Kutokana na hali hiyo ya kuvuruga uchaguzi tangu 2016 viongozi wa dini wanatakiwa WAITAKE serikali na sio KUIOMBA wala KUISHAURI bali WAITAKE serikali iheshimu sheria na Wapiga kura waheshimiwe".
"Sisi kama Kanisa kazi yetu ni kukemea maovu, kuiba kura za wananchi, kupeleka kura zisizo halali 'fake', kumtangaza mgombea ambaye hajapata kura nyingi kuwa ni mshindi huo ni uovu na nikazi ya shetani sio kazi ya Mungu." Kitima.
View attachment 3319517
..CDM ni wanakondoo wake, Padre mzima anapambana na politics badala ya kuwa msuluhishi wa migogoro, RC ni kanisa lenye viongozi wasioijua Theology ingawa wamesomea, ndya maana anaona sifa kupambana na KAIZARIHakuna Padre mjinga
Mafather wote asilimia kubwa wanajitambua na hawana njaa za kijinga.
Mola awatunze wazidi kusema iliyo kweli.
Wacha tuone....Wao wanatimiza wajibu wao hata wakati wa Magufuli walimuonya hivi hivi.
Hawana lolote tunawajua hao tatizo ni kiti cha uraisi ukabila na udini unawasumbua...Hatima take ni ipi mwisho wa siku. Kuna hatari ya kudumbukia kwenye machafuko uko mbeleni ukiipuza sauti ya wengi. Ambayo ndio msingi wa demokrasia, " nothing is good or is bad as it's look" wao wametimiza wajibu wao wa msingi kusema hali si swali. Chaajabu serikali na propaganda mashine zake inalifanya swala la udini na kuongeza zaidi tafurani kwa jamii
Jamii isiyo heshimu utaratibu iliyojiwekea basi tegemea jamii hiyo kua itapata misukosuko isiyo ya lazma. Hivi leo waumi wa Roman Catholic wakisema kanisa na viongozi wasitupangia ndoa ,wasitupangie jinsi ya kushiriki nk. Nini kitatokeaMajibu ya Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) Rev Dkt. Charles Kitima baada ya kuulizwa kuhusu sakata la viongozi wa Dini kuonekana wanachanganya Dini na Siasa pale ambapo wanatoa matamko kuhusu mambo mbalimbali ya kiutawala yanayoendelea nchini. Amesema;
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kukemea wizi sio kuingilia siasa, Kwani wizi ni siasa? Mwizi wa kura ni sawa na mwizi mwingine, Kukemea utekaji na vitendo viovu ni kukemea dhambi. Wasitupangie cha kusema tunakemea dhambi.
"Kutokana na hali hiyo ya kuvuruga uchaguzi tangu 2016 viongozi wa dini wanatakiwa WAITAKE serikali na sio KUIOMBA wala KUISHAURI bali WAITAKE serikali iheshimu sheria na Wapiga kura waheshimiwe".
"Sisi kama Kanisa kazi yetu ni kukemea maovu, kuiba kura za wananchi, kupeleka kura zisizo halali 'fake', kumtangaza mgombea ambaye hajapata kura nyingi kuwa ni mshindi huo ni uovu na nikazi ya shetani sio kazi ya Mungu." Kitima.
View attachment 3319517
Pia wasajiri kama chama cha Siasa yaani TEC PARTYWahamasishe waumini wao kuhusu no reform no election.
Kanisa moja takatifu la mitume wakiimba no reform no election tumemaliza.
Mageuzi hayaletwi na vyama bali fikra.Pia wasajiri kama chama cha Siasa yaani TEC PARTY
Msikie Tundu hapa:-Wapi tundu lissu alisema ataanzisha UASI? i mean from video zote zile wapi alisema?
As far as i know, hoja ya no reform no election zina mashiko, yes lissu maybe he is a bit extreme, but tuwe honest. Watu wanaotaka kuanzisha uasi huwa wanatangaza?
Reference from congo, rwanda, even LRA kule uganda. Ungeona wananunua silaha, wana train watu wao, na mambo mengine. Hata talk wanaingia msituni direct
Viongozi wangapi wa ccm wametoa matamko ya kuhatarisha usalama lakini hawaguswi, vyombo vipo silence , Rejea kauli za baadhi ya viongozi wa uvccm, nape, makala? Na wengineo?
Je mfumo una double standards?