Kati ya TEC na BAKWATA, nani kasimamia vyema maslahi ya nchi katika sakata la DP WORLD?

Nyuki Mdogo

JF-Expert Member
Oct 31, 2021
4,138
10,540
Hello JF.

Katika purukushani za kusimamia ulinzi na usalama wa maliasili za nchi yetu, tulisikia hoja nyingi kutoka kila kona ya nchi.

Mojawapo ni ni mchapano wa Mabaraza haya mawili, Baraza la Maaskofu, TEC lililoleta hoja kali kinzani kwa serikali.

Pili, Baraza Kuu kabisa la Waislamu Tanzania nao wakatoa Neno lao la Hekma!!

Nini maoni yako juu ya matamko ya haya mabaraza mawili?
 
Wote wana agenda za Siri, TEC, wamekuwa wakipokea pesa za, "sadaka" Kutoka kwa mafisadi waliokuwa na tender bandarini waliorimuliwa, TICS.

Hawa TEC walikuwa wapi wakati majizi ya IPTL yalivyogawana pesa za, umma kama njugu, Rugemalila(mkatoriki na mtoa sadaka Sana) na, kina Tibaijuka.

TEC knachiwauma ni kunyanganywa, tonge mdomoni, walikuwa wanafaidika na majizi(makristo) kule bandarini.
Hawa bakwata, akili hakuna kwanza hawana elimu ya kutosha kuuelewa, mkataba, kinachowakereketa ni uislam na uarab.

Rais aliyepo muislam,wanaotaka kupewa bandari ni Arabs, mbele ya uarabu,WA Islam weusi ni kama mbwa kwa chatu, Hawa bakwata, wamejaa hisia za, dini,kuona muislam, mwenzao, anashambuliwa.
 
MWALIMU NYERERE ANAMALIZA KWA USHAIRI KWENYE KITABU CHAKE.

UONGOZI WETU NA HATMA YA TANZANIA.

Ole wake Tanzania Tusipoisaidia
Niwezalo nimelifanya kushauri na kuonya nimeonya.

tahadhali nimetoa ushauri na kuonya nimeshatoka kitini zaidi nifanye nini.

Namlilia Jaalia atumulikie njia Tanzania ailinde WAOVU wasiishinde.

Amina Tena Amina Amina Tena amina

UONGOZI WETU NA HATMA YA TANZANIA.
MWALIMU JK NYERERE
 
WAISLAM NI WAJINGA NA WASIOJUA KUSOMA

هُوَ الَّذِي بَعَثَ فِي الْأُمِّيِّينَ رَسُولًا مِّنْهُمْ يَتْلُو عَلَيْهِمْ آيَاتِهِ وَيُزَكِّيهِمْ وَيُعَلِّمُهُمُ الْكِتَابَ وَالْحِكْمَةَ وَإِن كَانُوا مِن قَبْلُ لَفِي ضَلَالٍ مُّبِينٍ

[ AL - JUMUA' - 2 ]
Yeye ndiye aliye mpeleka Mtume kwenye watu wasio jua kusoma, awasomee Aya zake na awatakase, na awafunze Kitabu na hikima, ijapo kuwa kabla ya haya walikuwa katika upotofu ulio dhaahiri.

WAISLAMU HAWAKUPEWA ELIMU WALA SHULE.
MEANS NI WAJINGA NA WAPUMBAFU....
 
Hello JF.

Katika purukushani za kusimamia ulinzi na usalama wa maliasili za nchi yetu, tulisikia hoja nyingi kutoka kila kona ya nchi.

Mojawapo ni ni mchapano wa Mabaraza haya mawili, Baraza la Maaskofu, TEC lililoleta hoja kali kinzani kwa serikali.

Pili, Baraza Kuu kabisa la Waislamu Tanzania nao wakatoa Neno lao la Hekma!!

Nini maoni yako juu ya matamko ya haya mabaraza mawili?
Tunaomba mapumziko kidogo tupo hoi na DP WELEDI
 
Wote wana agenda za Siri, TEC, wamekuwa wakipokea pesa za, "sadaka" Kutoka kwa mafisadi waliokuwa na tender bandarini waliorimuliwa, TICS,
Hawa TEC walikuwa wapi wakati majizi ya IPTL yalivyogawana pesa za, umma kama njugu, Rugemalila(mkatoriki na mtoa sadaka Sana) na, kina Tibaijuka.
TEC knachiwauma ni kunyanganywa, tonge mdomoni, walikuwa wanafaidika na majizi(makristo) kule bandarini.
Hawa bakwata, akili hakuna kwanza hawana elimu ya kutosha kuuelewa, mkataba, kinachowakereketa ni uislam na uarab,
Rais aliyepo muislam,wanaotaka kupewa bandari ni Arabs, mbele ya uarabu,WA Islam weusi ni kama mbwa kwa chatu, Hawa bakwata, wamejaa hisia za, dini,kuona muislam, mwenzao, anashambuliwa.
Hakuna mzalendo katika hao kila mtu anapigania maslahi yake.
 
Hello JF.

Katika purukushani za kusimamia ulinzi na usalama wa maliasili za nchi yetu, tulisikia hoja nyingi kutoka kila kona ya nchi.

Mojawapo ni ni mchapano wa Mabaraza haya mawili, Baraza la Maaskofu, TEC lililoleta hoja kali kinzani kwa serikali.

Pili, Baraza Kuu kabisa la Waislamu Tanzania nao wakatoa Neno lao la Hekma!!

Nini maoni yako juu ya matamko ya haya mabaraza mawili?
Bakwata hawana wanacho kisimamia nchi hii,kanisa la roma linajitia kutetea midomoni lakini nyuma ya pazia ni majizi wakubwa hawana tofaoti na ccm
 
Wote wana agenda za Siri, TEC, wamekuwa wakipokea pesa za, "sadaka" Kutoka kwa mafisadi waliokuwa na tender bandarini waliorimuliwa, TICS,
Hawa TEC walikuwa wapi wakati majizi ya IPTL yalivyogawana pesa za, umma kama njugu, Rugemalila(mkatoriki na mtoa sadaka Sana) na, kina Tibaijuka.
TEC knachiwauma ni kunyanganywa, tonge mdomoni, walikuwa wanafaidika na majizi(makristo) kule bandarini.
Hawa bakwata, akili hakuna kwanza hawana elimu ya kutosha kuuelewa, mkataba, kinachowakereketa ni uislam na uarab,
Rais aliyepo muislam,wanaotaka kupewa bandari ni Arabs, mbele ya uarabu,WA Islam weusi ni kama mbwa kwa chatu, Hawa bakwata, wamejaa hisia za, dini,kuona muislam, mwenzao, anashambuliwa.
Hahahaha! Du! Hatari sana. Naona umepiga huku na huko!

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Wote wahuni tu.

Bakwata ni taasisi ya Serikali iliundwa ili kutumika kuwanyamazisha waislamu na kuwafanya wasiwe kitu kimoja, hakuna pahala Bwakwata inaweza kutetea maslahi ya watanzania zaidi ya kumezwa na wenye mamlaka na mabwana zao.

TEC ni taasisi ya kanisa katoliki na kazi yake kubwa ni kuhakikisha inasimamia vyema maslahi ya kanisa katoliki na Vatican Tanzania pamoja na kufuatilia nyendo za viongozi wote wa Tanzania wanaotaka kujaribu kuharibu maslahi ya kanisa na Vatican.

WaAfrica tunapaswa kuamka na kupendana wenyewe na mataifa yetu na kuacha kuwa vibaraka wa taasisi za kimafia ambazo zipo kama tools za kuendeleza ukoloni.
 
WAISLAM NI WAJINGA NA WASIOJUA KUSOMA

هُوَ الَّذِي بَعَثَ فِي الْأُمِّيِّينَ رَسُولًا مِّنْهُمْ يَتْلُو عَلَيْهِمْ آيَاتِهِ وَيُزَكِّيهِمْ وَيُعَلِّمُهُمُ الْكِتَابَ وَالْحِكْمَةَ وَإِن كَانُوا مِن قَبْلُ لَفِي ضَلَالٍ مُّبِينٍ

[ AL - JUMUA' - 2 ]
Yeye ndiye aliye mpeleka Mtume kwenye watu wasio jua kusoma, awasomee Aya zake na awatakase, na awafunze Kitabu na hikima, ijapo kuwa kabla ya haya walikuwa katika upotofu ulio dhaahiri.

WAISLAMU HAWAKUPEWA ELIMU WALA SHULE.
MEANS NI WAJINGA NA WAPUMBAFU....
we huna akili
 
Jamaa kasema watu wa tics ndio watoa sadaka kubwa chachi so TEC wanawakingia kifua, ndiomaana TEC hawataki mkataba urekebishwe wanataka DP wasipewe mkataba kabisa
Tics imeajiri Wakristo, waislamu na wasio na dini.
Na hao watu wa tics ni wangapi hadi wawe na athari kwa kanisa
 
Wote wana agenda za Siri, TEC, wamekuwa wakipokea pesa za, "sadaka" Kutoka kwa mafisadi waliokuwa na tender bandarini waliorimuliwa, TICS,
Hawa TEC walikuwa wapi wakati majizi ya IPTL yalivyogawana pesa za, umma kama njugu, Rugemalila(mkatoriki na mtoa sadaka Sana) na, kina Tibaijuka.
TEC knachiwauma ni kunyanganywa, tonge mdomoni, walikuwa wanafaidika na majizi(makristo) kule bandarini.
Hawa bakwata, akili hakuna kwanza hawana elimu ya kutosha kuuelewa, mkataba, kinachowakereketa ni uislam na uarab,
Rais aliyepo muislam,wanaotaka kupewa bandari ni Arabs, mbele ya uarabu,WA Islam weusi ni kama mbwa kwa chatu, Hawa bakwata, wamejaa hisia za, dini,kuona muislam, mwenzao, anashambuliwa.
Kwa hiyo kwa ilicho andika pamoja na mapungufu ya tec ila wao ndio wamesimamia maslahi ya mchi vyema.
 
Swali hili litajibiwa kiitikadi zaidi ya uhalisia, lakini nadhani walikua na maoni tofauti, TEC walitoa walicho amini kwamba mkataba haufai unatakiwa kuvunjwa na kuanza upya, lakini BAKWATA walikuja kuongelea maoni ya TEC na walikua kidini zaidi kuliko kujadili mkataba na kilichomo ndani
 
Back
Top Bottom