Kati ya Songea na Singida ni mkoa upi mzuri kwa mtu anaetaka kuishi na kujishuhurisha na ufugaji na kilimo?

rr3

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2015
Messages
2,051
Likes
1,734
Points
280
Age
40

rr3

JF-Expert Member
Joined Mar 19, 2015
2,051 1,734 280
Wakuu kuma MTU hapa anaweza akatoa mrejesho wa Mtwara.......

1. Ni kijiji gani na kipo wilaya gani
2. Mazao gani yanakubali
3. Ardhi inapatikana kwa utaratibu gani. Ni kijiji kinatoa au watu binafsi wanauza
3. Uwezekano wa irrigation kwa mazao madogo madogo ukisubiria msimu mkubwa
4. Usafiri na huduma za kijamii.

Somebody kindly help. Nataka kwenda mtwara kujishughulisha.

Blessings
 

jingojames

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2010
Messages
893
Likes
387
Points
80

jingojames

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2010
893 387 80
Habari wakuu?. Hope tunajiandaa vema na sikukuu ya pasaka pia hongereni kwa mapumziko mareeeefu!.

OK nirudi kwenye kitu kilichonileta hapa kwenu nyie wadau na wataalam wa fani mbalimbali mliopo humu ndo maana hakuna kinachoshindikana ndani ya Jamiiforums. Naombeeni kujuzwa kati ya songea na Singida ni mkoa upi mzuri kwa mtu anaetaka kuishi na kujishuhurisha na UFUGAJI na KILIMO!?.

Hapa tutaangalia na gharama za maisha na huduma za kijamii pia.
KUMBUKA nipo tayar kuishi hata kijijini sana ili mradi nifanikishe lengo langu la kutoka kiuchumi kupitia ufugaji hasa wa UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI .

Asanteni sana na poleni kwa kuwatoa kwenye mada zetu za siasa
Ruvuma(Songea)ni moja kati ya Mikoa mitano(5) inayoilisha Tanzania.
 

Forum statistics

Threads 1,203,539
Members 456,791
Posts 28,117,725