MAPUMA MIYOGA
JF-Expert Member
- Jan 30, 2013
- 3,792
- 2,362
MAELEWANO UKIPATA ENEO. 1M EKARI 2 SEMA MIAKA 4 IMEPITA NA MUUZAJI ALIKUWA NA NJAA.DAH MKUU ULIPATA ENEO KWA SHILINGI NGAPI
MAELEWANO UKIPATA ENEO. 1M EKARI 2 SEMA MIAKA 4 IMEPITA NA MUUZAJI ALIKUWA NA NJAA.DAH MKUU ULIPATA ENEO KWA SHILINGI NGAPI
ASNTE MKUUMAELEWANO UKIPATA ENEO. 1M EKARI 2 SEMA MIAKA 4 IMEPITA NA MUUZAJI ALIKUWA NA NJAA.
Ruvuma(Songea)ni moja kati ya Mikoa mitano(5) inayoilisha Tanzania.Habari wakuu?. Hope tunajiandaa vema na sikukuu ya pasaka pia hongereni kwa mapumziko mareeeefu!.
OK nirudi kwenye kitu kilichonileta hapa kwenu nyie wadau na wataalam wa fani mbalimbali mliopo humu ndo maana hakuna kinachoshindikana ndani ya Jamiiforums. Naombeeni kujuzwa kati ya songea na Singida ni mkoa upi mzuri kwa mtu anaetaka kuishi na kujishuhurisha na UFUGAJI na KILIMO!?.
Hapa tutaangalia na gharama za maisha na huduma za kijamii pia.
KUMBUKA nipo tayar kuishi hata kijijini sana ili mradi nifanikishe lengo langu la kutoka kiuchumi kupitia ufugaji hasa wa UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI .
Asanteni sana na poleni kwa kuwatoa kwenye mada zetu za siasa
Mara kuna utajiri upi mkuu ?Sijui niseme bahati mbaya au nzuri Mkuu kwani Mikoa yote hiyo ' tajwa ' ni ya ' Watani ' zangu wakubwa sana Wangoni na Wanyiramba / Wanyaturu. Kujibu tu swali lako si Ruvuma wala Singida ambako labda unaweza ukatoka Kimaisha. Sana sana huko Ruvuma utatoka tu na zawadi za ' Hirizi ' nyingi na huko Singida unaweza ukatoka tu ni Zawadi za ' Gono ' na ' Kaswende '. Usipoteze muda wako kwenda ' Kuwekeza ' huko tafadhali ila kama kweli unataka ' Kuwekeza ' na kutoka haraka Kimaisha nenda Mikoa ya Mtwara na Mara tu ambako huko kuna ' Fursa ' nyingi na ' Utajiri ' Mkuu. Halafu usisahau hiyo Mikoa Mtwara na Mara ndiyo Mikoa pekee iliyobarikiwa mno hapa Tanzania.
Nasisitiza tena Kwako Mkuu usipoteze muda wako kwenda ama Ruvuma au Singida. Karibu Mtwara na Mara utajirike.