Mashine kwa ajili ya shughuli za kilimo na ufugaji

RAM TZA

New Member
Aug 29, 2022
4
3
BREAKING

Jipatie mashine mbalimbali za Kilimo na Ufugaji kwa gharama nafuu.

■ Mashine moja inayosaga na kukoboa.

■ Mashine ya kumenyea Mahindi.

■ Mashine ya kupukuchukua Mahindi.

■ Mashine ya kupigia Mpunga.

■ Mashine ya kuchakata Majani kwa ajili ya mifugo.

■ Mashine ya kuchanganyia Chakula cha kuku, Samaki n.k

Ofisi ipo Lumumba, mkabala na Ofisi ya CCM Mkoa wa Dar es salaam

Mikoani tunatuma

Kwa mawasiliano piga
0622 896789
 
Back
Top Bottom