Balozi wa Uingereza nchini atembelea Makao Makuu ya Yanga SC

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
21,841
38,736
Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, David Concar amewasili ofisi za Young Africans SC na kupokelewa na Rais Hersi Said, Makamu wa Rais Arafat Haji na Watendaji wote kwa ajili ya kuongelea mambo mbalimbali ikiwemo mahusiano kati ya Klabu na Uingereza hususani katika maendeleo ya soka letu.

FB_IMG_16987581384005208.jpg
FB_IMG_16987581360609803.jpg
FB_IMG_16987581332507899.jpg
FB_IMG_16987581404644714.jpg
 
MI sijaelewa Mkuu. Infatino na Wenger walitembelea ofisi za Simba na kusaini kitabu cha wageni kama hii habari inavyosema au nimtag Aden Rage?
Hao mwenyeji wao alikuwa CAF wala si Tifuatifua au Simba. Ule mchezo ulikuwa chini ya CAF.
 
Utoto raha sana.

Simba walikuwa na Infatino Rais wa FIFA Dunia nzima hata mwezi haujapita umeisha sahau????

Na alisema kauli mbiu ya Nguvu moja

Walikuwa na Wenger moja kati ya Makocha wakubwa Duniani.

Ndio maana mnaambiwa wenye nazo ni wawili tu
Hao walikuwa wageni wa champion league kijana
 
Back
Top Bottom