Katavi ndani ya Mtwara....!!

Katavi ndani ya Mtwara....!!

Hv Ndo yule Mwl aliyekuwa amekaukianaa,
walikuwa wanamgombea Mwl Mponda ye na Madovena?
Alikuwa na Chunusi kama Stafeli?

haswaaa! enzi zile cm zinaingia anayo,daily anabadili nguo, ndan kwake hata stuli hana! ck moja alipata wageni akaenda kuazima viti kwa jirani yke yule store keeper!
 
haswaaa! enzi zile cm zinaingia anayo,daily anabadili nguo, ndan kwake hata stuli hana! ck moja alipata wageni akaenda kuazima viti kwa jirani yke yule store keeper!

Yani kile ki mwalimu nilikuwa sikapendi,uso kama ngedere mtoto.
Kuna siku nilimsuta mpaka alikoma.
Chezeya Madame B,
Afu nasikia Alikuwa ameathirika,hv ni kweli.
Shoga tutasutwa.
 
Yani kile ki mwalimu nilikuwa sikapendi,uso kama ngedere mtoto.
Kuna siku nilimsuta mpaka alikoma.
Chezeya Madame B,
Afu nasikia Alikuwa ameathirika,hv ni kweli.
Shoga tutasutwa.

hata me nilickia ila ukweli anaujua mwenyewe! kusutwa suna ati!
 
Shimoko tumemuimba sana kwenye mchakamchaka.
Afu shule za girlz bhana,shimoko alikuwa anajiona mzuri wakati leo hii hata mchana sifatani nae.

yupo huku kawa, mkaka huyo! unaweza ucmkumbuke! kizungu zungu, zunguka, babu mponda! unakumbuka!?
 
yupo huku kawa, mkaka huyo! unaweza ucmkumbuke! kizungu zungu, zunguka, babu mponda! unakumbuka!?

Wapi yupo huyo Shimoko nikamdeku?
Babu Mponda yule mpishi mwenye para kama paji la Uso?
Afu kuna siku akakosea stepu akaniaproach!
Sikilizia mashushu yake.
 
Wapi yupo huyo Shimoko nikamdeku?
Babu Mponda yule mpishi mwenye para kama paji la Uso?
Afu kuna siku akakosea stepu akaniaproach!
Sikilizia mashushu yake.

huku mt,ha ha ha babu mponda bwana, alimaanisha au utani?
 
Back
Top Bottom