Katavi ndani ya Mtwara....!!

Nashukuru kama umekubaliana na mimi.
Na ndio maana Group la Kwanza Tanzania kwa Upande wa wanawake Waolewaji huwa ni Waalimu.
Mwalimu muda wote anacheza na akili za watoto,anajua ku-care ndo mana ndoa nyingi za hawa watu hudumu.
Anaebisha na abishe.
Manesi watu wanawaogopa sana linapokuja suala la ndoa, wanaogopa kusaidiwa na madaktari.
 
hakuna ubishi,
anayebisha aseme ili apewe data zinazosomeka.

tena waalimu na manesi hata kwenye mazingira magumu
kama ukosefu wa kazi kwenye ndoa huwa ni wavumilivu sana.

Back
Top Bottom