Katavi ndani ya Mtwara....!!

Yani yule mmama kwa kuwa alikuwa ana ulinzi nyumbani kwake ila nilikuwa namtamani kitambo.
Afu vipi vile vimiguu vyake vya 'mswaki kwenye jagi' vimejaajaa nyama?
Afu yule mkuu wetu alikuwa mgoni yule balaa.
Hv unakumbuka alishawah kufumaniwa enzi tuko form 2?

ijae wapi! na vinywele uchwara vyake vpo vilevile! cjui kama bado anaendekeza *** au vp, unakumbuka graduu moja aligonganisha mabwana? na shost wake wa masasi girls. wamama balaa wale!
 
Yani walikuwa wagoni wale balaa.
Siku moja si akajichanganya anga zangu kwa yule Abdul mtoto wa Mansoor.
Nikamfata ofisini nikamwambia 'Mama we ni Headmistress,fata yako,Abdul hakuhusu,au unamtaka?'
afu kesho nikapekekwa Asemble eti nimemtukana Mkuu,nikapewa Suspension ya mwezi 1,wakati wa kuripoti si akanileta yuleyule Abdul,alikomaje Headmistress.
 
Mmmmh! Na wewe kumbe ulikuwa na balaa.
 
ijae wapi! na vinywele uchwara vyake vpo vilevile! cjui kama bado anaendekeza *** au vp, unakumbuka graduu moja aligonganisha mabwana? na shost wake wa masasi girls. wamama balaa wale!
Huyo mwalimu wenu alikuwa na balaa si kidogo.
 
Yani walikuwa wagoni wale balaa.
Siku moja si akajichanganya anga zangu kwa yule Abdul mtoto wa Mansoor.
Nikamfata ofisini nikamwambia 'Mama we ni Headmistress,fata yako,Abdul hakuhusu,au unamtaka?'
afu kesho nikapekekwa Asemble eti nimemtukana Mkuu,nikapewa Suspension ya mwezi 1,wakati wa kuripoti si akanileta yuleyule Abdul,alikomaje Headmistress.

ha ha ha! hiyo kiboko! kuna cku alikua anaenda kusuka rasta dar 2kaambiwa amepata ajali, 2lishangiliaje! mara 2namuona huyo anarud!
 
Hahahaah!! Nyie mlikuwa na balaa kwelikweli, nadhani mngekuwa na uwezo mngemuua kabisa.
 
ha ha ha! hiyo kiboko! kuna cku alikua anaenda kusuka rasta dar 2kaambiwa amepata ajali, 2lishangiliaje! mara 2namuona huyo anarud!

Siku ile naikumbuka.
Afu ikavumishwa alikufa kbs,basi Bwenini kwetu tulinunua kreti 3 za soda kujipongeza.
He! Kesho yake huyo na ngoko zake.
Tulisonyajee..!!!
Hv unalijua lile kundi la Kaole pale Shuleni lile la wadada waliopinda kila siku mtiti?
 
nimelisahau shost,km vp nikumbushe members kwa pm
 
yaan ni tafrani! kuna mmoja tulikua 2namwita miss lawino,tulimwekea ***** ofcn kwake, alikomaje!

Hv Ndo yule Mwl aliyekuwa amekaukianaa,
walikuwa wanamgombea Mwl Mponda ye na Madovena?
Alikuwa na Chunusi kama Stafeli?
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom