Kasoro kubwa katika video ya Lwakatare

Naapa chini ya Mbingu na Ardhi kamwe Shetani hatamshinda Mungu.

Kama Daudi alimuua Goliathi kwa jiwe katu Mashetani hawa wanaotaka kuichafua Chadema hawatafanikiwa na wataangamia.

Naapa kwa Mungu aliye hai yeyote aliyeshiriki kutunga mpango huu mchafu hatabaki salama.

Naapa kwa Mungu Mkuu muumba kila kitu kwamba kila aliyeshiriki kutunga uchafu huu lazima ataumbuka siku si nyingi na ataiomva radhi hadharani.

Naapa kwa Mungu aliyemwangamiza Anania akapasuka matumbo mbele ya madhabahu kwamba wahalifu hawa watafuata njia hiyo hiyo.

Naapa kwa Mungu aliyemwangamiza Herode akadondoka juu ya kiti cha kifalme na mwili wake kuliwa na siafu kwamba waovu waliotunga mbinu hii watafuata njia hiyo hiyo.

Naapa kwa Mungu wa Abraham,Isaka na Yakobo kwamba watu hawa hawataweza kuendelea kuharibu Taifa letu kwa uchochezi wao bali watakipata sawasawa kile kiwapatacho watu wasiomjua Mungu.

Naapa kwa Mungu ambaye jina lake ni NIKO AMBAYE NIKO kwamba Shetani kamwe hatajitwalia utukufu.

Wao wana Baali na Chadema wana Mungu kamwe Baali hawezi kumshinda Mungu.
Molemo umeniliza,
Mungu aliyehai ataamua kati yetu na wao,
leo nimekuwa na mojawapo kati ya siku ngumu maishani mwangu, ninazo siku mbaya leo na jana nimechanganyikiwa ni moja kati ya hizo nilizosema..
Hatahivyo naomba tutofautiane, mimi naamini Lwakatare amesetiwa na anaowaamini, watu kama Yuda Iskariote waliomuuza Yesu Kristo wamemuuza Lwakatare, wamekuja na story ya kumchunguza mtu wakijua anawaamini, kama mkuu wa ulinzi kwenye chama akawasilikiliza, akawaamini asijue Nchemba Mwigulu amewapa vipande thelathini vya fedha, katikati ya maongezi ya kumchunguza mtu anayeihujumu Chadema wakamrekodi, maongezi ya kawaida yamezua maongezi mazito.,

Mi sielewi, hivi kufa mtu kule Igunga kumeisaidiaje Chadema? Hivi watu wanaweza kuipenda chadema baada ya mtu kufa? Dr Slaa amepata umaarufu kwa kuteka watu au kwa kujenga hoja?
Mungu atajibu kwa moto!!
 
Mkuu Independent Voter ni vyema ukafahamu haijawahi, na wala haiwezi tokea akili ndogo ikaiongoza akili kubwa; Quality ya hiyo picha na maudhui yake yanaonyesha ni jinsi gani washiriki wa move ya ki-hindi mlivyo vilaza, mbumbumbu na mnaofikiria kwa kutumia makalio. Tazama sasa mnavyo umbuka.
 
Hii video itawatesa sana naona mnajaribu kufanya cover up lakini ukweli huu wa vitendo vya utesaji ambao umekua ukifanywa na kitengo cha ulinzi na usalama ndani ya chadema utaishi muda mrefu sana.

Kuna vitu ambavyo vinanishangaza sana hasaaa kwa mashabiki wa CCM, endelea na propaganda zenu.
 
Heri wenye kuleta amani maana wataitwa watoto wa Mungu.

Tanzania tunaipenda sana pamoja na umaskini wetu.Watu (sio chadema) wanaoratibu na kutoa video kama hii hawatufai

hata kuishi nao ni adui namba moja wa amani yetu.

Mungu kwa uwezo wako tunaomba wale wote wanaokesha usiku na mchana kuratibu na kubuni mbinu chafu za

kuwamaliza wale wanaosema kweli uwalipize kisasi kwa sababu kisasi ni chako na Taifa letu linazama mikononi

mwa watu wasiokuwa na hekima na wasio na huruma kwa watanzania wenzao .Watu hawa akili zao zimejaa ubinafsi,

chuki, uaji na roho zao zinatamani kutawala kila kitu milele yote hadi mauti na kwa namna yoyote ile na wala hawana

muda wakubuni nini cha kufanya ili tanzania itoke kwenye umaskini.

Mungu hurumia taifa lako ulilowekea mipaka na mariasili tele, ponya watu wake na ardhi yake, funga roho chafu za uuaji

na kiburi cha uzima kitupe mbali na kila mwenye pumzi katika ardhi ya tanzania awe na hofu yako .
 
jf have the people who think at the angle of analytic mind,bado mzee mwanakijiji hajaleta nondo zake hapa jamvini tuzidi kupata ukweli

Umenena mkuu namuamini sana mzee-mwanakijiji nami nasubiri nondo zake huwa habaatishi.
 
Angalia misemo yao:

'nchi itasimama kwa mgomo na maandamano' --- Mwenyekiti --- Mbowe

'nchi haitatawalika' -- Katibu Mkuu --- DR Slaa

Haya yote mnafanya CHADEMA kwa faida ya nani kama kweli nia yenu ni ukomboz

NI KWA ustawi wa maisha ya Watanzania wanaoteseka na uongozi mbovu wa maCCM
 
Hii fabrication tu wala haituumizi kichwa hata kidogo nayo itapita tu.
Tunasubiri ngonjera za kova na chaugonjwa juu ya sakata hili la kichina.
 
CHADEMA bana kwa kujifariji! Kuna kauli ilitolewa kwamba Kibanda aalisikia sauti ya watu wakisema 'afande mshuti'.

Wote nyie mliamini kuwa bila shaka waliousika watakuwa askari. No one alitilia shaka hiyo kauli kuwa huenda ikawa geresha tu. Lakini leo mnadai kuna maneno yamechomekwa!

Hawa watu bana, hawaeleweki kabisa.

Tusubiri Lwakatare afanye press conference tuone anavyojitetea ila matendo ya CHADEMA kwa taifa yanaonekana si nzuri.

Angalia misemo yao:

'nchi itasimama kwa mgomo na maandamano' --- Mwenyekiti --- Mbowe

'nchi haitatawalika' -- Katibu Mkuu --- DR Slaa

Haya yote mnafanya CHADEMA kwa faida ya nani kama kweli nia yenu ni ukombozi?

Mkuu hayo ndo matunda ya kukimbia umande, mmeishia kutumiwa ili mpate posho za kuishi hapa mjini, mwisho wenu umekaribia.
 
Mkuu usipende kuwa na ubongo mdogo kama wa samaki. Katika maswala kama haya twatakiwa kutafakari kwa undani kabla ya kutoa matamko ya ajabu ajabu. Nikuulize swali? Kama governor Billal amesemekana kuwa amekufa na mazishi yake kufanyika kisanii ... hili linashindikana kweli? Tafakari acha kuropokaropoka hovyo. Watanzania wa sasa si sawa na wa enzi zileeee ...
 
kama nilivyochangia katika thread inayohusu video ya lwakatare
1.anayerekodi anamuongoza mzungumzaji kwa kumwambia maneno "niweke? Mmh hapoo? Haya" . Pia anamuelekeza arudie maneno.

2.imerekodiwa bar, watu wanapitapita wanasalimia na kutaja majina yao. Kwa watu makini hawawezipanga mpango hatari kwenye eneo la wazi hivyo.

3.sura ya muongeaji si halisi na tone yake si halisi.

4.anayerekodi anachomeka jina la zitto kuhalalisha mpango.
Jipangeni upya kuhariri vizuri na aliyehariri amechemka

dah..hii hatari...ooowi....labda ndio maana kile kisa cha fbi wa znz kuhamia dar kumtafuta mchawi
 
Ujaelewa ninacho sema kabisa! Nina sema ni kwamba ukimuangalia lwakatare hapo utagundua kuwa as if ana ongea na waandishi! Sasa naona unashindwa kuandika unaweka kejeli

yani kwenye hili watadanganywa wajinga tuu! Yani hapo hakuna ukweli zaidi ya upishi wa audio!
Pengine wewe ndio ufikiri kwa kina kama hapo bar na mazingira niliyo yaona hapo na huyo msichana ana katiza kunaweza kufanyika hayo yaliyo unganishwa kwenye clip!
Wewe ndio unaendelea kuchemsha kabisa. Yaani Lwakatare akaongee na waaandishi baa?

Kwa jinsi alivyokuwa akitia vidole puani, haingii akilini kwamba alikuwa kwenye kadamnasi ya watu.

Etiquette zero kabisa.

Think outside the grid mkuu.
 
Mkuu acha kutumiwa, tafadhali shirikisha uwezo wako wa kufikiri hata kama ni mdogo kiasi gani.
 
Mkuu hayo ndo matunda ya kukimbia umande, mmeishia kutumiwa ili mpate posho za kuishi hapa mjini, mwisho wenu umekaribia.

Mimi ziko timamu kaka ila nina wasi wasi wasi na hawa viongozi wako wanaokupeleka bara barani kila siku na kukuvalisha magwanda kwenye nchi ya joto:

Mwenyekiti - Form iv, Katibu - Form vi, makamo - std vii. Hawa vipi hawajakimbia umande?
 
Hii video itawatesa sana naona mnajaribu kufanya cover up lakini ukweli huu wa vitendo vya utesaji ambao umekua ukifanywa na kitengo cha ulinzi na usalama ndani ya chadema utaishi muda mrefu sana.

Nampenda sana mtu anayehonge kwa watu vizur akizani wakat moyo wake unajua siokweli, raha sanaaaaa

Tanzania ni ajabu la 8 dunian.
 
Naapa chini ya Mbingu na Ardhi kamwe Shetani hatamshinda Mungu.

Kama Daudi alimuua Goliathi kwa jiwe katu Mashetani hawa wanaotaka kuichafua Chadema hawatafanikiwa na wataangamia.

Naapa kwa Mungu aliye hai yeyote aliyeshiriki kutunga mpango huu mchafu hatabaki salama.

Naapa kwa Mungu Mkuu muumba kila kitu kwamba kila aliyeshiriki kutunga uchafu huu lazima ataumbuka siku si nyingi na ataiomva radhi hadharani.

Naapa kwa Mungu aliyemwangamiza Anania akapasuka matumbo mbele ya madhabahu kwamba wahalifu hawa watafuata njia hiyo hiyo.

Naapa kwa Mungu aliyemwangamiza Herode akadondoka juu ya kiti cha kifalme na mwili wake kuliwa na siafu kwamba waovu waliotunga mbinu hii watafuata njia hiyo hiyo.

Naapa kwa Mungu wa Abraham,Isaka na Yakobo kwamba watu hawa hawataweza kuendelea kuharibu Taifa letu kwa uchochezi wao bali watakipata sawasawa kile kiwapatacho watu wasiomjua Mungu.

Naapa kwa Mungu ambaye jina lake ni NIKO AMBAYE NIKO kwamba Shetani kamwe hatajitwalia utukufu.

Wao wana Baali na Chadema wana Mungu kamwe Baali hawezi kumshinda Mungu.

Imani kali ya kilokole...

Subirini haya mtayasema mahakamani.

CC.. Ng'wamapalala, chama, Mingoi, Kimbunga,
 
Last edited by a moderator:
Hakuna haja ya kuhangaika na nadharia za upungufu au uhalisia wa video. Kwa vile Lwakatare mwenyewe ni mtu anayeexist na sio fictional character, ni vema aje yeye mwenyewe atuelezee ni lini video hiyo ilipigwa, wapi, na nani na walikuwa wanajadili nini. Hili hakuna sababu ya mtu yeyote kumuwakilisha Lwakatare na the longer anakaa kimya the more inaonekana ana makosa.
 
Hivi unataka tujadili elimu za watu hapa au hii video fake?
Mimi ziko timamu kaka ila nina wasi wasi wasi na hawa viongozi wako wanaokupeleka bara barani kila siku na kukuvalisha magwanda kwenye nchi ya joto:

Mwenyekiti - Form iv, Katibu - Form vi, makamo - std vii. Hawa vipi hawajakimbia umande?
 
Wana mapinduzi wanaamini kuwa ukiona mambo kama haya tambua kuwa ukombozi upo karibu. Uhuru na Ruto walifanya kama haya na sasa wameingia ikulu, aibu kwa ICC na mafia wao. Nadhani ni muda wa kushangilia ushindi na mapinduzi ya kweli, watanzania wenye akili, na hasa hawa wanaotumia mitandao ya kijamii na forum makini kama JF watatumia akili zao kuchambua hili. Maana mengi yamesemwa kuhusu CHADEMA yameshindwa....walianza na ukanda ukashindwa, wakaja na dini wakashindwa, wakaja na kadi ya dokta Slaa wakashindwa, sasa wemeibuka na mauaji...hakika MUNGU ni yule yule jana, leo na hata milele, ataendelea kutupigania wana CHADEMA.

Tualianza na MUNGU, tunaendelea na MUNGU, tutamaliza na MUNGU
Ikiwa MUNGU, yupo upande wetu, nani atanyanyuka kinyume chetu?

Kwa jinsi walivyobanwa kila angle na chama makini, Chadema, itafika mahali, kuna mtu CCM atakuwa radhi hata amuue mkewe kama ataona kuna ka-upenyo kakuweza kuwasingizia Chadema kwamba ndio waliouwa. Wanajua kwamba Chadema itakapoingia madarakani 2015, ile miradi yao yote waliyokwisha ianzisha na vitega uchumi vya akina Rizi-One ambavyo vyanzo wa pesa za kuvijenga ni utata mtupu itabidi wavikimbie. Ndio maana wanafanya juu, chini kuua, kujeruhi, ili tu waweze kuendelea kuwapo madarakani. But Our God is good, atawaumbua tu mchana peupe pee!
 
Mkuu acha kutumiwa, tafadhali shirikisha uwezo wako wa kufikiri hata kama ni mdogo kiasi gani.

Hili ndio tatizo lenu Machadema. Hivi mtajenga taifa la namna gani ikiwa kila mwana CHADEMA hastahili kukosolewa?

Perfection ni ya muumba tu.

Msifia mvua immemnyea, wewe ulishawahi kutumikishwa nini? Naona unafikiri kila mtu aliye na mchango tofauti na wa kwako anatumiwa! Lol, kazi tunayo na hawa 'wakombozi' wachumia tumbo.
 
  • Thanks
Reactions: Lui
Magamba walimvizia jamaa bar wakamrekodi kisha wakatumbukiza vimaneno, dah wazee wa kucopy kila uchafu mmechemka mbaya.
 
Back
Top Bottom