Kasi ya Magufuli imewapotezea dira ya UKAWA

Kasi ya Magufuli imewapotezea dira ya UKAWA

Naona watu hawalali ccm Na wao wao Na ccm kazi kweli kweli naona kazi ya kukirudisha chama kwa wananchi inaendelea mana 2015 mumechapwa vibaya sana Na ukawa ila huku uswahilini bado njaa inauma bidhaa zinapanda bei kila siku
 
Makamanda, hivi zile TShirt za "SISI NI MALOFA NA WAPUMBAVU KATIKA UBORA WETU" bado zipo? Huu ni wakati mwafaka wa kuzibaa
 
Juz nilipita pale sokoni kilombero yaan bendera za ACT zimebaki vipande ......jamaa zao ccm wamebadili za kwao ...wamesahau za ndugu zao....shame
Alafu miringoti ya hivyo vipande pande vya bendera zao ni mingi kuliko idadi ya wanachama wao
 
Ni punguani tu asiyeelewa kuwa kasi ya ukawa iliisha siku walionunuliwa na Lowassa.

Sasa hivi hiyo ukawa yenyewe haipo tena. Au hujayasikia ya Duni?
 
Twambie wewe hiyo ACT kwa sasa ina muelekeo upi kwenye siasa za tanzania?kwa taarifa yenu Magu akisha uchukua uenyekiti wa ccm ndio na ACT inakufa rasmi,yule siyo mkwere
Hapo itakuwa powa kabisa. Kwa maana UKAWA imekufa na ACT itakufa. Tutakuwa ngoma droo na Zanzibar
 
Ni punguani tu asiyeelewa kuwa kasi ya ukawa iliisha siku walionunuliwa na Lowassa.

Sasa hivi hiyo ukawa yenyewe haipo tena. Au hujayasikia ya Duni?
Ni kweli Bimkubwa. Hiyo UKAWA haipo tena kwa sasa. Tatizo UKAWA ilikuwa Kambale
 
Magufuli kafanya lipi la kuifanya ukawa ipoteze muelekeo? kurekebisha uchafu mlioasisi ndio maendeleo ya nchi? Tangu kaingia madarakani katengeneza ajira ngapi? kukusanya madeni nayo ni kazi? kumwambia mtu leta hela nayo ni ujasiri? si bpra jambazi anaeiba anatumia akili na maarifa? ccm mtaitukana ukawa lakini mjue ndio inazidi kuwa imara.
mbona watumnachangia kama vile mnaamka? wasomi wa wapi nyie msiyejua kusoma hata kwa picha!!
Mtabezi sana ila ukweli ni kwamba kafanya mengi sana. Nina uhakika kuwa anayoyafanya magu sidhani kama kuna mgombea yeyote aliyafikiria kuyafanya.
 
Hahaahaha UKAWA? ACT je? Kwa mwenye akili ataelewa kuwa anachokifanya Magufuli kinawaumiza wana CCM na nyie ACT Zaidi kuliko UKAWA, nambie ni UKAWA wangapi wamepoteza ajira au wamekamatwa au at least kutuhumiwa kwa rushwa hadi muda huu?? Au umesahau kuwa Kiongozi wako Mkuu wa ACT anatajwa tajwa kwenye scandal ya NSSF na kwingine???
Ndio tatizo la huyu mtoa mada yaani ima haamini kuwa ACT nacho ni chama cha upizani au ni kweli ACT si miongoni mwa vyama vya upinzani
 
mbona watumnachangia kama vile mnaamka? wasomi wa wapi nyie msiyejua kusoma hata kwa picha!!
Mtabezi sana ila ukweli ni kwamba kafanya mengi sana. Nina uhakika kuwa anayoyafanya magu sidhani kama kuna mgombea yeyote aliyafikiria kuyafanya.
Huo ni mtazamo wako ambao kimsingi ni haki yako na upo huru,lkn pia heshimu mawazo ya mwenzako badala ya kumbeza kama ulivyofanya
 
Mavi ya kuku hivi nyie CCM muna mdomo wa kusema nchi hii mumeitawala kwa muda ya miaka hamsini na tatu lipi mumefanya la maana. ebu tutajie hatutaki porojo na usanii
Hata kuzaliwa wewe na kukutunza ili usife kwa kifaduro, pepopunda na polio ni kazi pia
 
Back
Top Bottom