Kasi ya Magufuli imewapotezea dira ya UKAWA

Twambie wewe hiyo ACT kwa sasa ina muelekeo upi kwenye siasa za tanzania?kwa taarifa yenu Magu akisha uchukua uenyekiti wa ccm ndio na ACT inakufa rasmi,yule siyo mkwere
Ndio vizuri kuota
 
Ndio tatizo la huyu mtoa mada yaani ima haamini kuwa ACT nacho ni chama cha upizani au ni kweli ACT si miongoni mwa vyama vya upinzani
Dotto C. Rangimoto aliwahi kuwa mpambanaji hapa jukwaani akitumia jina flani hivi kisha baadae akatimkia ACT kisha juzi akaja na Mada za kuhusu uumbaji wa Mungu hahaha
 
KASI YA MAGUFULI IMEWAPOTEZEA DIRA YA UKAWA.

Tangu rais Magufuli aanze kututumikia kama rais amefanya mambo mengi na karibu mambo yote hayo yamekuwa yakipingwa na UKAWA.

Rais alianza kufukuza fukuza na kuteua watendaji wapya wa serikali. Walimbeza kwa kumsema hao watumishi aliwakuta na ndio maana imemwiia rahisi kuwafuta kazi. Mbowe alisema huku akiwaonea huruma watumishi wanao fukuzwa kazi, lakini ni Mbowe huyuhuyu aliyekuwa analalamika kuwa watumishi wa umma wanavurunda na hawachukuliwi hatua, na kama wakichukuliwa hatua basi kubadilishwa kituo cha kazi, sasa wanafukuzwa, analalamika kwanini wanafukuzwa.

Sasa hivi kamfuta kazi mkuu wa mkoa wa Shinyanga baada ya kumteua yeye mwenyewe mwezi uliopita. Huyu kamteua mwenyewe na sababu za kumfuta ziko wazi na jambo zuri alisema mapema kuwa suala la watumishi hewa litawafukuzisha kazi.

Ajabu sasa Julius Sunday Mtatiro anamtetea Mama Malecela kwa kusema kazi yake si ya kiutendaji na ya kwamba alitakiwa kutumia taarifa za kiintelejensia alizopewa rais na timu yake.

Kwa vyovyote vile baada ya kugudulika hao watumishi hewa 45, Mama Malecela alipewa taarifa, na kwa mujibu wa maneno yake mwenyewe rais, Anna Malecela hakuchukua hatua yoyote baada kujua kuna watumishi hewa tafauti na taarifa yake alokuwa nayo.

Kitendo hichi cha mkuu wa mkoa kusubiria hatua za rais badala ya yeye mwenyewe kuwachukulia hatua watu walio mdanganya ndio sababu za kutimuliwa kwake kazi.

Tangu Mbowe ale pesa za Lowassa, na tangu Lowassa ajiunge na CHADEMA, ni kama vile UKAWA yote sasa hivi imeacha lengo lake la kupambana na ufisadi sasa inatetea ufisadi na ubadhilifu.

Walipokuwa wanamsafisha Lowassa kwa ufisadi wake tulidhani wataishia hapo tu kwasababu ndio mgombea wao na ya kwamba hawakuwa namna, lakini kuendelea kwao kutetea ufisadi au kunyamazia ufisadi ndio kunatutisha, zaidi, ni kama vile yule muonja nyama ya mtu, anashindwa kuacha hata kama kwa kuendelea kwake kula nyama hiyo kutamlazimu kula na watoto wake pia.

Hivi karibuni wahusika na dili la STANBINK walipopelekwa mahakamani, vijana wote wa UKAWA hawakushangilia na kusema lolote, sababu wanajua katika hilo dili mzee wa madili kwa namna moja au nyingine naye yumo, sababu swahiba zake wakubwa na watafutaji wake wa fedha za kampeni ndio wahusika wakuu.

Akili yao ni kuwa upinzani ni kupinga, upinzani si kupinga tu, bali upinzani ni kuja na hoja zitakazo tibu matatizo yetu au kuboresha hali zetu. Hoja ya Mtatiro ni ya kupinga kijahili na si ya kututoa hapa na kutupeleka mbele zaidi.

Watanzania tunahitaji kwenda mbele, na kwa kauli rais yeyote atakaye jaribu kutukwamisha atashindwa na kulegea, Mtatiro kaka yangu jua fika umeshindwa na kulegea.

Njano5
0622845394

SERIKALI YA CCM HAINA TOFAUTI NA REAL MADRID FC FUKUZA FUKUZA YA MAKOCHA.
 
UKAWA wasubiri bunge wapige ndebe zao kwa sababu ndio walichobakia kufanya.
 
Ameamua kuikimbia kambi ya manyumbu na sasa anasimama kwenye ukweli

nimeamini ww ni mchumia tumbo toka nlipoisoma post yako ukimponda sungu kuhusu magar na nyumba unaliangamiza taifa kwa uongo nakuchukia sna tena sna mnaonesha ni jinsi gani mpo tayar kupoteza baadhi ya wa tz kwa njaa zenu ni dhambi kwa mungu hili naongea toka rohoni kwangu jamaa anashut video yake umekurupuka huku jf kueneza upupu wako jenga jamii sio kubomoa nakuchukia sna napata picha ndani ya miaka 50 ya ccm mmeua wengi kwa uongo wenu vijana tubadilike utaendelea na vitabia vya uongo hadi utakapozeeka pia uongo hufanikiwa kwa muda mfupi sna bali ukweli hudumu milele majipu yanayotumbuliwa leo ni baadhi ya tabia za uongo ambazo walikuwa nazo watawala waliopita kwa nn huna huruma kwa wenzio hadi unakuwa muongo muongo? na unadanganya ili iwe nn?

NI MTU MBAYA SANA.
 
Kasi gani wewe mtu hata miezi 7 katka utawala hana unamsifu kwa lipi ahadi hata 3 hajatimiza bado kati ya 9960 alizaahidi kwenye kampeni na hali inazidi kua ngumu mtaani vitu vimepanda bei kwa kasi ya kutisha
 
Hahaahaha UKAWA? ACT je? Kwa mwenye akili ataelewa kuwa anachokifanya Magufuli kinawaumiza wana CCM na nyie ACT Zaidi kuliko UKAWA, nambie ni UKAWA wangapi wamepoteza ajira au wamekamatwa au at least kutuhumiwa kwa rushwa hadi muda huu?? Au umesahau kuwa Kiongozi wako Mkuu wa ACT anatajwa tajwa kwenye scandal ya NSSF na kwingine???
Wewe ni miongoni mwa wasiotumia akili, na ingefaa mtu kama wewe ufe tu ili Tanzania ibaki na wazalendo. Hapa hakuna cha kuumia mwana CCM wala nani, tunachoangalia je rais anatekeleza yale aliyoyaahidi ktk kampeni zake?? Sasa wewe unakurupuka kurupuka tu, hivi hujui kuwa ukawa ni marehemu siku nyingi tulishamzika siku ile DJ alipochukua mlungula toka Kwa mtakatifu Malaika mamvi???? Tanzania hatuna upinzani Kwa sasa.
 
Nilitaka nisikujibu but nikaona si vyema kukuacha hivi hivi, kwanza huwa sibishani especially an watu wa dizaini yako, hilo moja, pili Unadai situmii akili kisa nimesema CCM mnaumizwa na Magufuli wenu, off course huo ndio ukweli lakini tatu, unasema Unaangalia amslahi ya Nchi na uazlendo wa nci huku wakati huo huo ukiifagilia CCM, kwahio uzalendo wa taifa unapimwa kwa kuwa mwana CCM? Ok, kama tunazungumzia Uzalendo wa Taifa, mbona na wewe unamtaja Mbowe Kama DJ na Malaika Mamvi? Hivi mimi na wewe asie na akili hapa ni nani? Narudia tena, Magufuli wenu anawatia vidole vya macho, na bado ngoja achukue huo uenyekiti wa chama, mtanyooshwa hadi mseme basi. Hata hivyo mmezoea kuiba, rushwa, ufisadi, uongo, uzinzi, uasherati na unafiki ndio damu yenu.
 
Pia ni wezi wa rasilimali za taifa letu na maadui wa vijana wa taifa letu kwa kuwapumbaza na kuwafanya mazezeta kwa kuingiza madawa ya kulevya
 
Nilitaka nisikujibu but nikaona si vyema kukuacha hivi hivi, kwanza huwa sibishani especially an watu wa dizaini yako, hilo moja, pili Unadai situmii akili kisa nimesema CCM mnaumizwa na Magufuli wenu, off course huo ndio ukweli lakini tatu, unasema Unaangalia amslahi ya Nchi na uazlendo wa nci huku wakati huo huo ukiifagilia CCM, kwahio uzalendo wa taifa unapimwa kwa kuwa mwana CCM? Ok, kama tunazungumzia Uzalendo wa Taifa, mbona na wewe unamtaja Mbowe Kama DJ na Malaika Mamvi? Hivi mimi na wewe asie na akili hapa ni nani? Narudia tena, Magufuli wenu anawatia vidole vya macho, na bado ngoja achukue huo uenyekiti wa chama, mtanyooshwa hadi mseme basi. Hata hivyo mmezoea kuiba, rushwa, ufisadi, uongo, uzinzi, uasherati na unafiki ndio damu yenu.
DJ wako ni Malaya wa kutupwa, mpaka alishawahi kuweka ndoa yake rehani Kwa sababu ya umalaya na uasherati. Hivyo ukisemea uzinzi na wizi, CHADEMA na ukawa ndiyo mnaongoza. UKAWA mnaongoza Kwa uongo, wizi, uuaji (mlimtishia Dr Slaa kumuua), na mambo mengine ya ovyo ndani yenu. Ndiyo maana Babu Duni kawakimbia maana chadema ipo mfukoni mwa majambazi na matapeli Kwa sasa. Wewe subiri Dr. wa Ukweli Mh. Magufuli achukue uenyekiti uone mikakati yetu ya kuhakikisha tunaangamiza kabisa upinzani wa majungu. Tunataka Tanzania yenye heshima, tunataka Tanzania yenye upinzani wa hoja na siyo yenye wapinzani wa 10 bilion mtu anauza chama.
 
Kwani kazi ya JPM ni kupambana na hoja za UKAWA au kipimo cha mafanikio ya UKAWA ni failures za JPM? your point is moot.
 
Nilitaka nisikujibu but nikaona si vyema kukuacha hivi hivi, kwanza huwa sibishani especially an watu wa dizaini yako, hilo moja, pili Unadai situmii akili kisa nimesema CCM mnaumizwa na Magufuli wenu, off course huo ndio ukweli lakini tatu, unasema Unaangalia amslahi ya Nchi na uazlendo wa nci huku wakati huo huo ukiifagilia CCM, kwahio uzalendo wa taifa unapimwa kwa kuwa mwana CCM? Ok, kama tunazungumzia Uzalendo wa Taifa, mbona na wewe unamtaja Mbowe Kama DJ na Malaika Mamvi? Hivi mimi na wewe asie na akili hapa ni nani? Narudia tena, Magufuli wenu anawatia vidole vya macho, na bado ngoja achukue huo uenyekiti wa chama, mtanyooshwa hadi mseme basi. Hata hivyo mmezoea kuiba, rushwa, ufisadi, uongo, uzinzi, uasherati na unafiki ndio damu yenu.
Daa mkuu una moyo sana kumjibu
 
Babu Duni amesema Chadema wote ni makambale! ndembe ndembe
Sisi hatuna shaka naye ila namshukuru kwa kupongeza na kukubai kuwa kujiunga kwake cdm kuliwasaidia sana cuf kuvunja mwiko ktk kipindi cha miaka 20 kwa kupata wabunge na madiwani wengi bara
 
yaan ukawa walikuwa kama wajinga flan hivi,nilikuwa siwaelew kabisa walitoka mishipa ya shingo mpaka bhs mbowe alikua anatoa macho kama ikulu kaishika tayari,lisu ndo kabisa saut had inakwama,kambatia kamewasalit wenzie wa kigoma sasa hiv amechanganyikiwa balaa,hana watu wa kukaa nao vikao vya sili juu ya chama.funzo achen tamaa ccm hamuiwez kwa stail zenu hizo za kideal shauri yenu.
 
Binafsi namkubali magu. Siyo chama chake, namkubali yeye kama yeye tangu akiwa waziri nafasi yake anaimudu vzr
 
Ukijua kuwa upo sehemu fulani, sio kwa matakwa ya walio wengi, lazima ujibaraguze ili kuwaridhisha!

Ndicho anachofanya JPM, maana anajua hapo alipo, ni kwa kura za wizi, sio wananchi walio wengi, na ukweli anaujua. Lazima afanye hivo ili kujenga imani kwa wananchi
 
Back
Top Bottom