wapinzani wa kibongo wanajua kupiga kelele na kukomaza makooo, hawana hoja za kimaendeleo
wapinzani wa kibongo wanajua kupiga kelele na kukomaza makooo, hawana hoja za kimaendeleo
Ukawa si part ya serikali unataka atuhumiwe kwa mazingira gani,UKAWA pekee ambaye anapaswa kujiandaa kwa sasa ni Lowasa na isue yake ya richmond ambayo alifanya akiwa CCMHahaahaha UKAWA? ACT je? Kwa mwenye akili ataelewa kuwa anachokifanya Magufuli kinawaumiza wana CCM na nyie ACT Zaidi kuliko UKAWA, nambie ni UKAWA wangapi wamepoteza ajira au wamekamatwa au at least kutuhumiwa kwa rushwa hadi muda huu?? Au umesahau kuwa Kiongozi wako Mkuu wa ACT anatajwa tajwa kwenye scandal ya NSSF na kwingine???
Una miaka mingapi?Tunawajua kuwa nyinyi ni zao na watoto wa ccm,na bado mnaendelea kuitumikia ccm
Hata Mbowe humsifu magufuliNa wakati wowote anaweza akatinga kwa pilato,ila nina wasiwasi na zile sifa alizopewa na ngosha siku ya ufunguzi wa bunge mjini Dodoma
wapinzani wa kibongo wanajua kupiga kelele na kukomaza makooo, hawana hoja za kimaendeleo
Ni kweli changamoto anayokubwa sana, ila upana wa changamoto huu hauitaji kukurupuka. Changamoto ya Zanzibar kwa kiongozi mdhaifu ingemfanya ashidwe kulendeleza taifa katika dimensions nyingine. Yeye sio wa kwanza duniani na wengine changamoto kama hizi ziliwaangusha kabisa. Inabidi ajipange.Uongozi unapimwa kwa mapana yake si kuangalia sehemu moja tu na kiongozi bora ni yule anaye jitahidi anabalance kila mahali na taifa linaenda katika njia ile iliyo nyooka...Rais anachangamoto kubwa sana kuhakikisha anafanyia kazi suala la uchaguzi wa Zanzibar ambayo kila mwenye macho aliona kata funua iliyopigwa na wenye uchu wa madaraka mpaka kupelekea kukosa pesa nyingi kiasi cha Trilion moja ya miradi ya maendeleo (MCC)
CCM ndio wanasomeshwa namba
Kwa sasa kuna OMBWE la innovative and constructive oppositions. Maana mlalamikiwa anajitahidi kujibu na kushughulikia hoja zote za majukwaani zilizowapa umaarufu tangu 1992 hadi 2015. Unless Upinzani uzaliwe upya kwa ubunifu na Fact-based arguments ikiwemo kuinvest katika Tangible actual pilot projects za mabadiliko ya kweli, ni vigumu kueleweka kwa wananchi wa zama hizi. Maana RAIS anabadili Mindset ya raia nao inabidi wabadili Outdated plans and stratergies zao.Naona ACT wazalendo wanajitahidi kuja na hoja chanya na kinzani zenye mrengo wa kusukuma grudumu la maendeleo mbele.
Wafanya siasa wa ki Africa nizaidi ya uwa juavyo wao kazi yao nikupinga kila kitu kiwe chema au kibaya...wao wanacho taka nikuingia Ikulu tu nawala sio sijui maendeleo au kitu gani..hata wale wenye chembe zaki zalendo bado huwa hawaoni kitu paka watakapo ingia madarakani kwao wao hayo ndio maendeleo.
Ni hilo tu?Hata Mbowe humsifu magufuli
Ww unaonaje? Nasikia Katibu wetu leo amepokelewa ufipaNi hilo tu?
Nakwambiaga kuwa wewe kilichokuponza ni kufuata mkumbo tu lkn mahaba ya cdm bado unayo,njoo utubuWw unaonaje? Nasikia Katibu wetu leo amepokelewa ufipa
Mkuu sija kuelewa sana lakini katika kidogo nilicho kuelewa nikuhusu mfano wa kiongozi wa upinzan alie wahi kuingia madarakani...kumbuka mimi nime sema viongozi wa ki Afrika sio hapa bongo tu! Bali bara zima mfano Kenya.Tupe mfano tangu tupate uhuru nani alishinda uchaguzi akiwa upinzani akaingia madarakani hapa Bongo? Pili wewe unajua wazi kuwa Siasa tumeambiwa uchaguzi umeisha hivyo hapa kazi tu au unawatakia wenzio kunyea debe bila sababu. Mara tumeona wanamfananisha Alcohol na Hitler kitu ambacho sikubaliani sababu hakuna ambaye ameishaanza kuwekwa Lupango kwa sababu za kisiasa au asili yake kama alivyofanya Hitler kukusanya wayahudi na watu wenye ulemavu. Oho nimesahau isijeikawa MA Ko ndakta alikuwa anaanzia hapo kuzuia ombaomba wasisaidiwe.
ulowataja ni wabunge uwanja wao ni kwenye mjengo labda ututajie wenyeviti wa vitongoji hadi taifa ndo wana ubavu wa kusema siasa.
Mkuu ACT ni chama cha upinzani kwa wapinzani wa CCMNdio tatizo la huyu mtoa mada yaani ima haamini kuwa ACT nacho ni chama cha upizani au ni kweli ACT si miongoni mwa vyama vya upinzani
Mimi CDM asili....na falsafa zetu tunaziendeleza hapa wazalendo......nyie wa siku hizi ni CDM lowassa.Nakwambiaga kuwa wewe kilichokuponza ni kufuata mkumbo tu lkn mahaba ya cdm bado unayo,njoo utubu
Wazalendo ya lumumba?Mimi CDM asili....na falsafa zetu tunaziendeleza hapa wazalendo......nyie wa siku hizi ni CDM lowassa.