Kasi ya Magufuli imewapotezea dira ya UKAWA

Nani Mzalendo wa Ukweli UKAWa Ilani yao Ilikuwa Inataka Katiba ya Walioba Ichukue Nafasi Nchini, CCM, Ilani yao HaliMo Hlo Ili Watu kama Wakina Lizaboni,Ritz,Nk Wapate Vyeo Vya Bure ACt pia waliliweka pia La Katiba ya Walioba Kosa lao Ni Moja Tu Itabidi Iwachukue Miaka Zaidi ya ,20 Wa Tz kuwaelewa Si Shangai Ata Wasira Nae Alishasemaga Chadema 2015 ITAKUFA Chadema IPO kwa Wasomi CCM Kwa Wenye UPEO MDOGO,
 
Kwa kuwa unaishi somalia sikulaumu ila kwa msaada wasiliana na brother magu atakwambia nini msaada wa wapinzani nchini tanzania
kiongozi wenu tu mh El, anaona hakuna kinachofanyika, sasa unasema wewe unaona, upinzani hamna ambition
 
Magufuli kafanya lipi la kuifanya ukawa ipoteze muelekeo? kurekebisha uchafu mlioasisi ndio maendeleo ya nchi? Tangu kaingia madarakani katengeneza ajira ngapi? kukusanya madeni nayo ni kazi? kumwambia mtu leta hela nayo ni ujasiri? si bpra jambazi anaeiba anatumia akili na maarifa? ccm mtaitukana ukawa lakini mjue ndio inazidi kuwa imara.
muulize babu Duni, kama ukawa wanajipya atakujibu, au mzee zero, anamajibu mazuri kuhusu ukawa na utendaji wake
 
Haya madudu yote wapinzani waliyapigia kelele au sio nyie mliosema hakuna ushahidi, leo mnaisoma namba mnakuja na hoja nyepesi namna hii yote haya ni sera za wapinzani na mliotufikisha hapa ni nyie mnaojiita chama tawala huoni aibu kuja na uzi kama huu ni kujiumbua wenyewe maendeleo unayosema ni yapi keshafufua viwanda vingapi toka akae magogoni ,kishatengeneza ajira ngapi mpya kwa wahitimu wetu?.
 
Hatupo hapa kwa ajili ya kusifia mazuri ya Rais kwasababu ni wajibu wake, tupo kukosoa pale penye udhaifu. Shame on you Wachumia tumbo, Muda wote kulamba viatu.
 
Hahaahaha UKAWA? ACT je? Kwa mwenye akili ataelewa kuwa anachokifanya Magufuli kinawaumiza wana CCM na nyie ACT Zaidi kuliko UKAWA, nambie ni UKAWA wangapi wamepoteza ajira au wamekamatwa au at least kutuhumiwa kwa rushwa hadi muda huu?? Au umesahau kuwa Kiongozi wako Mkuu wa ACT anatajwa tajwa kwenye scandal ya NSSF na kwingine???
uko sahihi kabisa, bado Zitto wao kukamatwa kwenye kamati zao.
 
Makamanda, hivi zile TShirt za "SISI NI MALOFA NA WAPUMBAVU KATIKA UBORA WETU" bado zipo? Huu ni wakati mwafaka wa kuzibaa
Zimeenda kufuliwa maana zilijaa vumbi wakati wa kampeni
 
DJ wako ni Malaya wa kutupwa, mpaka alishawahi kuweka ndoa yake rehani Kwa sababu ya umalaya na uasherati. Hivyo ukisemea uzinzi na wizi, CHADEMA na ukawa ndiyo mnaongoza. UKAWA mnaongoza Kwa uongo, wizi, uuaji (mlimtishia Dr Slaa kumuua), na mambo mengine ya ovyo ndani yenu. Ndiyo maana Babu Duni kawakimbia maana chadema ipo mfukoni mwa majambazi na matapeli Kwa sasa. Wewe subiri Dr. wa Ukweli Mh. Magufuli achukue uenyekiti uone mikakati yetu ya kuhakikisha tunaangamiza kabisa upinzani wa majungu. Tunataka Tanzania yenye heshima, tunataka Tanzania yenye upinzani wa hoja na siyo yenye wapinzani wa 10 bilion mtu anauza chama.
Unasema ni upuuzi na utoto ulioptiliza, I better shut up! Nadhani naongea na mtu mwenye IQ ndogo sana. Tufanye umeshinda maana naona una-attack personalities tu hujui hata kujenga hoja, mjinga mpe cheo! Hongera
 
KASI YA MAGUFULI IMEWAPOTEZEA DIRA YA UKAWA.

Tangu rais Magufuli aanze kututumikia kama rais amefanya mambo mengi na karibu mambo yote hayo yamekuwa yakipingwa na UKAWA.

Rais alianza kufukuza fukuza na kuteua watendaji wapya wa serikali. Walimbeza kwa kumsema hao watumishi aliwakuta na ndio maana imemwiia rahisi kuwafuta kazi. Mbowe alisema huku akiwaonea huruma watumishi wanao fukuzwa kazi, lakini ni Mbowe huyuhuyu aliyekuwa analalamika kuwa watumishi wa umma wanavurunda na hawachukuliwi hatua, na kama wakichukuliwa hatua basi kubadilishwa kituo cha kazi, sasa wanafukuzwa, analalamika kwanini wanafukuzwa.

Sasa hivi kamfuta kazi mkuu wa mkoa wa Shinyanga baada ya kumteua yeye mwenyewe mwezi uliopita. Huyu kamteua mwenyewe na sababu za kumfuta ziko wazi na jambo zuri alisema mapema kuwa suala la watumishi hewa litawafukuzisha kazi.

Ajabu sasa Julius Sunday Mtatiro anamtetea Mama Malecela kwa kusema kazi yake si ya kiutendaji na ya kwamba alitakiwa kutumia taarifa za kiintelejensia alizopewa rais na timu yake.

Kwa vyovyote vile baada ya kugudulika hao watumishi hewa 45, Mama Malecela alipewa taarifa, na kwa mujibu wa maneno yake mwenyewe rais, Anna Malecela hakuchukua hatua yoyote baada kujua kuna watumishi hewa tafauti na taarifa yake alokuwa nayo.

Kitendo hichi cha mkuu wa mkoa kusubiria hatua za rais badala ya yeye mwenyewe kuwachukulia hatua watu walio mdanganya ndio sababu za kutimuliwa kwake kazi.

Tangu Mbowe ale pesa za Lowassa, na tangu Lowassa ajiunge na CHADEMA, ni kama vile UKAWA yote sasa hivi imeacha lengo lake la kupambana na ufisadi sasa inatetea ufisadi na ubadhilifu.

Walipokuwa wanamsafisha Lowassa kwa ufisadi wake tulidhani wataishia hapo tu kwasababu ndio mgombea wao na ya kwamba hawakuwa namna, lakini kuendelea kwao kutetea ufisadi au kunyamazia ufisadi ndio kunatutisha, zaidi, ni kama vile yule muonja nyama ya mtu, anashindwa kuacha hata kama kwa kuendelea kwake kula nyama hiyo kutamlazimu kula na watoto wake pia.

Hivi karibuni wahusika na dili la STANBINK walipopelekwa mahakamani, vijana wote wa UKAWA hawakushangilia na kusema lolote, sababu wanajua katika hilo dili mzee wa madili kwa namna moja au nyingine naye yumo, sababu swahiba zake wakubwa na watafutaji wake wa fedha za kampeni ndio wahusika wakuu.

Akili yao ni kuwa upinzani ni kupinga, upinzani si kupinga tu, bali upinzani ni kuja na hoja zitakazo tibu matatizo yetu au kuboresha hali zetu. Hoja ya Mtatiro ni ya kupinga kijahili na si ya kututoa hapa na kutupeleka mbele zaidi.

Watanzania tunahitaji kwenda mbele, na kwa kauli rais yeyote atakaye jaribu kutukwamisha atashindwa na kulegea, Mtatiro kaka yangu jua fika umeshindwa na kulegea.

Njano5
0622845394

Mtatiro kabaki kujenga popularity kwenye whatsapp na instagram

kwishney
 
BILA UKAWA PASINGEKUWA NA MAGUFULI. HIVYO UKAWA NI WATU WA KUSIFIWA SANA SANA WAMETULETEA TANZANIA MPYA HATA KAMA WAO WENYEWE HAWAPO MADARAKANI. VIVA UKAWA. LAKINI PIA MAGUFULI MWENYEWE ANAJUA NA KWA HAKIKA, KATUMIA NJIA NZURI SANA, MAANA WANGEMJUA NIA YAKE WANGEMFUKUZA MAPEMA CCM AMA KUMLETEA MIZENGWE SANA. SASA KESHA SHIKA KITI HAWANA NAMNA ACHA AWANYOSHE MACCM HAYO HAYO. YANAJIFANYA KUSHANGILIA HUKU YANAUMIA HAYAAMINI MACHO YAKO.

UKAWA TAFUTENI MBINUZAIDI MTUKOMBOLEE NCHI YETU. MAGUFULI AMETUMIA ILE MBINU YA IF YOU CANT BEAT THEM JOIN THEM KISHA WAONYESHE KAZI KWA NDANI. YATAKOMA MWAKA HUU NA BADO.
 
Uwe unaomba watu wakuandikie
KASI YA MAGUFULI IMEWAPOTEZEA DIRA YA UKAWA.

Tangu rais Magufuli aanze kututumikia kama rais amefanya mambo mengi na karibu mambo yote hayo yamekuwa yakipingwa na UKAWA.

Rais alianza kufukuza fukuza na kuteua watendaji wapya wa serikali. Walimbeza kwa kumsema hao watumishi aliwakuta na ndio maana imemwiia rahisi kuwafuta kazi. Mbowe alisema huku akiwaonea huruma watumishi wanao fukuzwa kazi, lakini ni Mbowe huyuhuyu aliyekuwa analalamika kuwa watumishi wa umma wanavurunda na hawachukuliwi hatua, na kama wakichukuliwa hatua basi kubadilishwa kituo cha kazi, sasa wanafukuzwa, analalamika kwanini wanafukuzwa.

Sasa hivi kamfuta kazi mkuu wa mkoa wa Shinyanga baada ya kumteua yeye mwenyewe mwezi uliopita. Huyu kamteua mwenyewe na sababu za kumfuta ziko wazi na jambo zuri alisema mapema kuwa suala la watumishi hewa litawafukuzisha kazi.

Ajabu sasa Julius Sunday Mtatiro anamtetea Mama Malecela kwa kusema kazi yake si ya kiutendaji na ya kwamba alitakiwa kutumia taarifa za kiintelejensia alizopewa rais na timu yake.

Kwa vyovyote vile baada ya kugudulika hao watumishi hewa 45, Mama Malecela alipewa taarifa, na kwa mujibu wa maneno yake mwenyewe rais, Anna Malecela hakuchukua hatua yoyote baada kujua kuna watumishi hewa tafauti na taarifa yake alokuwa nayo.

Kitendo hichi cha mkuu wa mkoa kusubiria hatua za rais badala ya yeye mwenyewe kuwachukulia hatua watu walio mdanganya ndio sababu za kutimuliwa kwake kazi.

Tangu Mbowe ale pesa za Lowassa, na tangu Lowassa ajiunge na CHADEMA, ni kama vile UKAWA yote sasa hivi imeacha lengo lake la kupambana na ufisadi sasa inatetea ufisadi na ubadhilifu.

Walipokuwa wanamsafisha Lowassa kwa ufisadi wake tulidhani wataishia hapo tu kwasababu ndio mgombea wao na ya kwamba hawakuwa namna, lakini kuendelea kwao kutetea ufisadi au kunyamazia ufisadi ndio kunatutisha, zaidi, ni kama vile yule muonja nyama ya mtu, anashindwa kuacha hata kama kwa kuendelea kwake kula nyama hiyo kutamlazimu kula na watoto wake pia.

Hivi karibuni wahusika na dili la STANBINK walipopelekwa mahakamani, vijana wote wa UKAWA hawakushangilia na kusema lolote, sababu wanajua katika hilo dili mzee wa madili kwa namna moja au nyingine naye yumo, sababu swahiba zake wakubwa na watafutaji wake wa fedha za kampeni ndio wahusika wakuu.

Akili yao ni kuwa upinzani ni kupinga, upinzani si kupinga tu, bali upinzani ni kuja na hoja zitakazo tibu matatizo yetu au kuboresha hali zetu. Hoja ya Mtatiro ni ya kupinga kijahili na si ya kututoa hapa na kutupeleka mbele zaidi.

Watanzania tunahitaji kwenda mbele, na kwa kauli rais yeyote atakaye jaribu kutukwamisha atashindwa na kulegea, Mtatiro kaka yangu jua fika umeshindwa na kulegea.

Njano5
0622845394

Uwe unaomba kwanza kuandikiwa hata kichwa cha habari.
 
kwa utafiti wangu usio rasmi naiona nchi hii ipo katika maintenance Mode(katika matengenezo), Wenye nchi (wananchi) tunafurahia maana kunamatarajio yenye unafuu hapo karibuni kama zoezi hili likifanikiwa(tuliombwa kuliombea). Katika bibilia hii kazi ilifanywa na mtu aliyeitwa nabii ELIYA na KIJANA NEHEMIAH, Haikuwa kazi rahisi, walipambana na upinzani mkali kupita maelezo.

Zaidi ya RAIS na wadau wake na angalau wananchi kidogo, Sioni wanasiasa,wanaharakati na Taasisi za kiraia wakiwa mstari wa mbele katika zoezi hili GUMU. Hata kama nchi inamgogoro wa Zanzibar hauna uhusiano na Watumishi hewa,Rushwa,Uzembe maofisini,nk

Naliona wingu la ubaridi limetanda kwa wanasiasa wakingoja kesho nini kitatokea, wakisubiri atafeli lini?. Hii ni kwa CCM na Wapinzani. Wapinzani wamekuwa baridi kabisa katika kipindi ambacho Taifa linategemea kuona Most Constructive OPPOSITION katika historia ya taifa hili.

MNYIKA,LISU,KUBENEA,MBOWE,SUGU,MBATIA,ZITTO,SILINDE,MSIGWA njooni mtuonyeshe mbadala chanya wa hiki kinachendelea TANZANIA, Mtuonyeshe mna kitu bora kuliko hiki kinachoendelea sasa. Nyie ndio mnaojitambulisha kwa jamii kama Most Intelligent and elite Wanamageuzi.

Najaribu kuwaza,
 
Mtatiro kabaki kujenga popularity kwenye whatsapp na instagram

kwishney
What are u standing for brother? Mnatamani maisha ya North Korea? Hata atawale malaika Tanzania siyo nchi ya kifalme, wanaojipendekeza na wakosoaji wataendelea kuwepo na hakuna anayevunja sheria.

Kwa utawala huu washindi ni wananchi na siyo mashabiki wa ccm, tuliyowaunga mkono Ukawa wengi si wanachama wa vyama hivyo, kama Rais aliyepo madarakani anasimamia ajenda ya wananchi well n good, huu ni ushindi mkubwa kama Taifa.

Wekeni pembeni majeruhi yenu mliyojeruiana kisiasa, kumbuka swaiba wako Zitto Kabwe ndio wanamkafini kabla hajazikwa rasmi na NSSF yake.

Alamsiki.
 
MGENI KARIBU, JUISI YA PILIPILI.

MWENYEJI:
Karibu mzee Chali, ukaribie nyumbani,
Uketi upige wali, upoze chango tumboni,
Kisha tujalie hali, za wenzetu Kinondoni.
Karibu wetu mgeni, juisi ya pilipili.

MGENI:
Loo! msinite Chali, jina langu Abuduni,
Nina njaa kwelikweli, ninawapa shukurani,
Hali zao afadhali, watia gia angani.
Ni mwenyeji si mgeni, asante kwa pilipili.

MWENYEJI:
Somo la uliberali, tulo nao Buguruni?
Sema wamelikubali, bila kinyongo rohoni,
Ama hawajakubali, wamelitupa jaani?
Karibu wetu mgeni, juisi ya pilipili.

MGENI:
Naona wamekubali, watazame visogoni,
Wakiliwa kwa ugali, wachomachoma kooni,
Ni michicha kwelikweli, yenye miba vikonyoni,
Ni mwenyeji si mgeni, asante kwa pilipili.

MWENYEJI:
Ya kwao ulo kubali, yatupie barazani,
Tupate kuyajadili, na kuyapima mzani,
Tuyabebe yalo kweli, tuyatumie kundini,
Karibu wetu mgeni, juisi ya pilipili.

MGENI:
Sina nilo yakubali, hamuwezi kuamini,
Tumewazidi akili, maono na umakini,
Nyumbu wamelala chali, wamevimbiwa majani,
Ni mwenyeji si mgeni, asante kwa pilipili.

MWENYEJI:
Kibopa wetu Munduli, naye ana hali gani?
Bado apiga msuli, wa kuwa bosi nchini?
Lile wazo kabadili, kuchunga ng'ombe porini?
Karibu wetu mgeni, juisi ya pilipili.

MGENI:
Tetesi kila mahali, aenda Ujerumani,
Ila hayana ukweli, yu mzima si utani,
Tatizo ni utapeli, uchungaji siuoni.
Ni mwenyeji si mgeni, asante kwa pilipili.

MWENYEJI:
Hatutaki kadi mbili, ichome ya unyumbuni,
Kichwa na kiwiliwili, vyote virejee ndani,
Mazito yatukabili, hasa kule visiwani.
Karibu wetu mgeni, juisi ya pilipili.

MGENI:
Nimesharudi madhali, nina moja mkononi,
Ninaapa kwa Jalali, nisemayo ya moyoni,
Mengine tutajadili, kwa idhini ya Manani.
Ni mwenyeji si mgeni, asante kwa pilipili.

Dotto Rangimoto Chamchua(Njano5)
0622845394 Morogoro.

Njano5
0622845394
 
Wafanya siasa wa ki Africa nizaidi ya uwa juavyo wao kazi yao nikupinga kila kitu kiwe chema au kibaya...wao wanacho taka nikuingia Ikulu tu nawala sio sijui maendeleo au kitu gani..hata wale wenye chembe zaki zalendo bado huwa hawaoni kitu paka watakapo ingia madarakani kwao wao hayo ndio maendeleo.
 
What are u standing for brother? Mnatamani maisha ya North Korea? Hata atawale malaika Tanzania siyo nchi ya kifalme, wanaojipendekeza na wakosoaji wataendelea kuwepo na hakuna anayevunja sheria.

Kwa utawala huu washindi ni wananchi na siyo mashabiki wa ccm, tuliyowaunga mkono Ukawa wengi si wanachama wa vyama hivyo, kama Rais aliyepo madarakani anasimamia ajenda ya wananchi well n good, huu ni ushindi mkubwa kama Taifa.

Wekeni pembeni majeruhi yenu mliyojeruiana kisiasa, kumbuka swaiba wako Zitto Kabwe ndio wanamkafini kabla hajazikwa rasmi na NSSF yake.

Alamsiki.

Nimeipenda kiukweli,,, na tukiwa na mawazo chanya kama haya taifa litafika mbali.

Kumsifu sifu tuu muheshimiwa mtafanya apoteze changamoto

Nasikitika tuu kwa upinzani hasa ukawa kuendelea kukaa kimya mimi inaniuma kwani muheshimiwa bira kushituliwa atajisahau,, mimi ni mwana ccm lakini sitaki uanachama tenaaa,, ni muda wa mabadiliko tena ya kweli,, popote upinzani mlipo maneno yenu ni ya msingi tusimleweshe huyu mh. Yakatukuta ya jk
 
Back
Top Bottom