Kashfa ya Richmond: The FACTS


FairPlayer

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2006
Messages
4,166
Likes
68
Points
145

FairPlayer

JF-Expert Member
Joined Feb 27, 2006
4,166 68 145
Bandugu,

Kuna habari zipo mtaani zinadai kuwa ni JK mwenyewe ndio aliingizwa mjini na Richmond na wala Msabaha hahusiki. Kuwa kununua kutoka kwa wale jamaa ilikuwa ni directive kutoka kwa JK mwenyewe!!

Kama kuna mwenye uhakika naomba amwage humu!!

FD
 

alles

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2006
Messages
356
Likes
0
Points
0

alles

JF-Expert Member
Joined Oct 14, 2006
356 0 0
Inawezekana JK anahusika na hili dili la kuuziwa Genereta kwenye GUNIA. kwa sababu ni mara ya pili inaiacha serikali hoi.mara ya kwanza Richmond iliingia mkataba na serikali wa kutengeneza Oil pipeline kutoka mwanza to Dar. Mbaya zaidi iliingia mkataba na serikali bila tenda kutangazwa popote.Viongozi Wenye kuipenda nchi wakaishtukia, dili likafa kimyakimya bila vyombo vya habari kuwataharifu wananchi. TZ MEDIA watasemaje wakati wanaogopa kumuuzi mzee JK (Kiwete wa akili)
 

Game Theory

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2006
Messages
8,570
Likes
108
Points
0

Game Theory

JF-Expert Member
Joined Sep 5, 2006
8,570 108 0
LEADERSHIP

Na mbaya zaidi ni kuwa mawaziri wake wanakuwa very comfortable kwa sababu wanajua hawatofanywa lolote..sana sana kubadilishwa wizara tu

lakini ndio hivyo MWENDO MDUNDO au vipi?
 

Yombayomba

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2006
Messages
818
Likes
9
Points
35

Yombayomba

JF-Expert Member
Joined Aug 23, 2006
818 9 35
Jasusi,
Kwetu sisi wengine nakumbuka kwenye forum jina kapuni wakati wa kinyang'anyiro cha kutafuta mgombea wa CCm ulishusha madongo mazito juu ya SAS, na wapambe wa JK walishangilia saana na kuyatumia hata kwenye baadhi ya magazeti. Unakumbuka mpaka mwana dada mmoja aksema anafunga mbeleko aiingie ulingoni? Sasa leo hii mimi nakuona ni kama umechangia kwa kiasi kikubwa JK kuwa hapa.
Kama umesahau naweza kuzishusha hizo ndonga ulizozitoa, ingawaje bado narudia kwa siasa ya TZ JK wa much better than any other candidate tuliokuwa nao.
MUNGU IBARIKI TANZANIA
 

Kichuguu

Platinum Member
Joined
Oct 11, 2006
Messages
7,364
Likes
1,183
Points
280

Kichuguu

Platinum Member
Joined Oct 11, 2006
7,364 1,183 280
Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm
 

Lunyungu

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2006
Messages
8,836
Likes
82
Points
145

Lunyungu

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2006
8,836 82 145
Kwa mtu yeyote aliyekuwa namadai au ambaye ana madai ya kwamba JK alikuwa na bado ni msafi aje hapa .Maana watu mnasema hakuwa mla rushwa nk .Lakini nasema JK amekuwa akila rushwa na aliwajua wala rushwa wote na majambazo yote . Did you see how he faced majambazi sponors ? He knew them na alitaka waendelee apate pa kupandia chart. Sasa kaja wala Unga na supplier hapo kapewa majina kaangalia naona kuna washikaji na sponsors ama wa CCM ama wana mtandao kanawa kawapa muda kama alivyo wapa Wala rushwa lakini ukweli ni kwamba rushwa imeshamiri mno .

Nani akisema JK ni msafi hata alipoficha juu ya yeye kunuua nyumba ?
 

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Messages
31,749
Likes
7,625
Points
280

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined Mar 10, 2006
31,749 7,625 280
This is Richmond!

If you visit the website of RDC http://www.rdevco.com/ you’ll see that the address of this entity is listed as:

5825 Schumacher Houston, Texas 77057
ph (713) 952-3472
fx (713) 952-0932

But a careful investigator like those from TAKIDEMA (Taasisi ya Kitanzania ya Demokrasia, Maendeleo na Amani) would easily find out the entity behind the address. In this case, the same address is listed for a company in Houston called Adie Marks Advertising whose phone numbers are:

(713) 952-2276

The similarity of the first six digits telephone numbers between RDC and AMA is rather striking. However, if you call that number, the number has now changed to (713) 952-0800)

Not only that the same address is used for another company, namely:

Richmond Printing
Whose contact name is another Javeed Gire. According to web sources:

“Richmond Printing has been in business for 15 years.
They have a full service business offering.
They have been featured in the Houston Business Journal.
It is a family owned business with 6 brothers.
Most functions therefore are managed directly by the owners.”

All of my attempts to reach somebody at any of the companies onsite proved to be futile!
 

Yombayomba

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2006
Messages
818
Likes
9
Points
35

Yombayomba

JF-Expert Member
Joined Aug 23, 2006
818 9 35
Jasusi,
Nakuelewa lakini kwa hali ilivyokuwa mimi nakuona ni mkombozi maana leo hii IKULU ingekuwa imejaa waaarabu na tusingekuwa na wakututetea, unajua mwalimu alitusaidia saaana wakati wa RUKSA, maana asingekuwepo sijui tungekuwa wapi leo hii?
Sasa sijui nani angemuweza SAS? si unaona JK kawashinda wote hakuna hata anayemsikiliza??? ulishaona serikali hapa duniani raisi na waziri mkuu wapishana kutembelea mji kwa siku?
 

Jasusi

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2006
Messages
11,495
Likes
217
Points
160

Jasusi

JF-Expert Member
Joined May 5, 2006
11,495 217 160
Yombayomba,
Si miji tu, nchi je? Mmoja akiwa Cuba mwingine yuko Thailand anatutafutia utaalamu wa mvua. Sasa nasikia kuna safari nyingine imepangwa Asia: Japan, China, halafu Marekani na Canada. Vasco Da Gama wa kale hamfikii VDG wa sasa kwa uvumbuzi wa nchi.
 

Mkandara

Verified User
Joined
Mar 3, 2006
Messages
15,450
Likes
167
Points
160

Mkandara

Verified User
Joined Mar 3, 2006
15,450 167 160
Fikiraduni,
Nooo bob sii kweli kuwa JK ndiye kaweka mkataba wa hizo generatos za Richmond alipotembelea DC baada ya kushika madaraka. Mpango huo aliufanya Msabah na kuna uhusiano mkubwa kati ya wahusika na waziri huyu. Mengine tuyaache kama yalivyo tumeisha liwa kama kawaida yetu. Nitasema tena swala la Umeme nililifuatilia sana na huko Ikulu kuna washikaji ambao kila mara niliambiwa wapi niende! sii swala ambalo JK anaweza kunipa sahihi yake bila kupitia hatua hizo.
 

Forum statistics

Threads 1,204,711
Members 457,411
Posts 28,167,442