Kashfa ya Richmond: The FACTS

Interested Observer

JF-Expert Member
Mar 27, 2006
2,648
3,021
Hapo nyuma nilielezea kuwa Tanzania government procurement is very complicated na complication yenyewe inaletwa na mambo ya rushwa. Serikali wanawajua GE, Wartsila, CAT, Mits, nk. Hizi kampuni zina special working relationship na governments worldwide. This is because Power/Enegy sector is a backbone of the Economy of any country. Being domestic or Industrial. Countries now are fighting how to countrol energy sources. Huwezi kucheza na power/Energy sector, nchi zote duniani hazifanyi mchezo na sector hizi, Huwezi kuwaachia wahuni wafanye hizi kazi. Tumeona jinsi Unocal/Chev walivyowashushua wle CNOOC. Nchi kama Russia na China zina-export coal au gas au petrol kwa kibali maalumu.

Vile vile hizi sector zina corruption ya hali ya juu sawa sawa na construction industry, etc. Lakini scrutiny of who have to supply is very important. Richmond kama walitaka kusupply haya magenerator, kwa sababu wao siyo watengenezaji wa haya majenerator walionyesha working agreement na major supplier gani? au manufacturer? Katika procurement lazima kum-convince user kuwa una uwezo wa ku-supply. Lazima yule user anayekupa deal ajue mambo machache, kama source of the products, and your financial standing, means of conveyance, manufacturer na logistics zote related to this business. Sasa hii serikali haikuassess yote hayo wakatoa deal ya millions and millions of dollars, how? Jibu unalo mwenyewe.

Njoo hapa chini, kila wiki hupokea list ya products ambazo nimewahi kuuza, na mie na procure for certain countries. But frankly speaking huwezi kucompare zile bei zinazosemwa tanzania na actual facts ya hizi generators.

Binafsi nimewahi kwenda Ministry Of Energy, nikamwona katibu mkuu wakati ule kutaka kuongelea haya masuala ya procurement (kupata deal), vile vile niliongelea kuhusu mradi ambao ulikuwa Hydro with some co-investors. First implication: Pale ministry yule jamaa alikuwa hana muda na mimi. His face told me the answers "before he spoke". Aliniambia niende Tanesco. Sikuchoka. Nilienda Tanesco nikaambiwa nimwone General Manager Technical, Mr. Msowoya. Niliingia ofisini kwake tuka-chat vizuri sana, maisha et etc. Kwenye dili hii niliambiwa, "unfortunately we do not discuss these deals with brokers companies and individuals", we only discuss with World Bank and IMF. That was the end of the story. Tukaongelea tu mambo ya procurement ya electrical components, circuit breakers, plugs ambavyo mie sikuwa na interest navyo.

Sasa see how these people make money.

Nimeorozesha magenerator machache hapa chini, unafikiri ni lipi ambalo hawa Richmond and other watakuwa wamewauzia Tanzania 10000% ni lile la 1978. How? Najua! Look down here. These prices are indicative only you can negotiate to half the price. Angalia lile la USD 50million linauzwa USD 7million


2) Power Plant, GE Frame 6 Gas Turbine-Generator and
Single Automatic Extraction Steam Turbine-Generator from a Combined Cycle Plant built in 1991.
The Frame 6 is Dual Fuel with Inlet Fogging, the HRSG has Duct Burners, and the Steam Turbine was completely rebuilt about 4 years ago
The Combined Cycle Heat Rate (efficiency ) is about 8300 BTU/kwh.
Output is about 55 MW @ 60 Hz.
The Plant is still like new, for sale because loss of a power sale contract.
All of the Equipment is in great shape and being moved out and the building will be demolished now, the Power Plant is still intact and ready for loading at extra cost.
This Plant new cost is about U$50 M, right now the whole
Plant can be sold at U$7.0 M as is where is.
This is a great buy for someone who wants a Plant.
Additional Specification and photos attached.
All maintenance records also available.

===================================================================

3) 20 MW, Power Plant, Bunker-C Oil, 1978
(2) x 10 MW, 6.6 kV, 60 Hz, 3600 RPM
Built in 1978 by Fuji Electric Co., Ltd
Now Under Power in Far-East Plant and can be seen in Running (for min. Power Cost)
Will be shut down in Oct. 2006 and available for sale since the Customer purchased New Larger Plant
Estimated Total Weight of the Plant : around 4000 Ton
Major Description of the Plant
Steam Turbine
Manufacturer : Fuji Electric Co., Ltd., Japan
Type : One Casing Extracting Condensing Type
Rated Output : 10 MW
Speed : 3600 RPM
Inlet Steam Press : 61 kg/cm2 abs
Inlet Steam Temp. : 482 degrees C
Exit Steam Press (No. 1/2/3) : 16.2 / 3.95 / 0.90 kg/cm2 abs
Condenser Press : 0.121
AC Generator
Type : PFT 450 / 45-2
Output : 12,500 kVA
Voltage : 6.6 kV
Current : 1094 A
Rating : Continuous
Speed : 3600 rpm
Phase : 3
Frequency : 60 Hz
Poles : 2
Insul Class : B
Ex. Voltage : 100 V
Temp Raise (Armature) : 80 degrees
Ex. Current : 425 A
Temp Rise (Fielde) : 90 degrees
Boiler
Manufacturer : Mitsuibishi Hyundai (Japan/Korea)
Max Cont Rating : 50 TPH
Type : VU-60
Max. Press : 70 kg / cm2g
Steam Temp. : 485 degrees C
Fuel : Bunker-C Oil
Efficiency : 87%
Price Indication:
Plant : U$7.5 Million as is where is.
Dismantling Cost : about U$1.5 M, around 3 months required
Also available (at Buyer’s cost): Supervision of Re-Installation (Engineering & Operatoration....), Know-how transfer etc.....
Pictures and further details available on request.

IT TOOK ME GUTS TO PUT THIS ONE HERE, THIS IS NOT MY SYSTEM, IT MAY HARM FEELING OF SOME PEOPLE, BUT FOR SURE THIS COUNTRY IS NOW IN CROSSROADS!!
 
Bandugu,

Kuna habari zipo mtaani zinadai kuwa ni JK mwenyewe ndio aliingizwa mjini na Richmond na wala Msabaha hahusiki. Kuwa kununua kutoka kwa wale jamaa ilikuwa ni directive kutoka kwa JK mwenyewe!!

Kama kuna mwenye uhakika naomba amwage humu!!

FD
 
Tunatafuta Huo Ukweli Ni Fununu Na Kuna Kila Dalili Kwamba Ni Kweli Kwani Fukuto Lake Ni Kubwa Mno.
 
Nami nilikuwa nakunywa chai mtaa wa mkwepu nimesikia hizi habari sasa sina uhakika hebu wenyee ukweli watupatie sasa .
 
kama kuna ukweli hapo, basi inajibu swali kwanini ameshindwa kumfukuza Msabaha!!! Huwezi kukata tawi la mti uliokalia!!!
 
Inawezekana JK anahusika na hili dili la kuuziwa Genereta kwenye GUNIA. kwa sababu ni mara ya pili inaiacha serikali hoi.mara ya kwanza Richmond iliingia mkataba na serikali wa kutengeneza Oil pipeline kutoka mwanza to Dar. Mbaya zaidi iliingia mkataba na serikali bila tenda kutangazwa popote.Viongozi Wenye kuipenda nchi wakaishtukia, dili likafa kimyakimya bila vyombo vya habari kuwataharifu wananchi. TZ MEDIA watasemaje wakati wanaogopa kumuuzi mzee JK (Kiwete wa akili)
 
LEADERSHIP

Na mbaya zaidi ni kuwa mawaziri wake wanakuwa very comfortable kwa sababu wanajua hawatofanywa lolote..sana sana kubadilishwa wizara tu

lakini ndio hivyo MWENDO MDUNDO au vipi?
 
Jasusi,
Kwetu sisi wengine nakumbuka kwenye forum jina kapuni wakati wa kinyang'anyiro cha kutafuta mgombea wa CCm ulishusha madongo mazito juu ya SAS, na wapambe wa JK walishangilia saana na kuyatumia hata kwenye baadhi ya magazeti. Unakumbuka mpaka mwana dada mmoja aksema anafunga mbeleko aiingie ulingoni? Sasa leo hii mimi nakuona ni kama umechangia kwa kiasi kikubwa JK kuwa hapa.
Kama umesahau naweza kuzishusha hizo ndonga ulizozitoa, ingawaje bado narudia kwa siasa ya TZ JK wa much better than any other candidate tuliokuwa nao.
MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm
 
Yombayomba,
Sijasahau. Lakini nitajilaumu daima kama matokeo yake ni kwamba nilichangia kumweka JK madarakani. Hayakuwa madhumuni yangu kabisa.
 
Kwa mtu yeyote aliyekuwa namadai au ambaye ana madai ya kwamba JK alikuwa na bado ni msafi aje hapa .Maana watu mnasema hakuwa mla rushwa nk .Lakini nasema JK amekuwa akila rushwa na aliwajua wala rushwa wote na majambazo yote . Did you see how he faced majambazi sponors ? He knew them na alitaka waendelee apate pa kupandia chart. Sasa kaja wala Unga na supplier hapo kapewa majina kaangalia naona kuna washikaji na sponsors ama wa CCM ama wana mtandao kanawa kawapa muda kama alivyo wapa Wala rushwa lakini ukweli ni kwamba rushwa imeshamiri mno .

Nani akisema JK ni msafi hata alipoficha juu ya yeye kunuua nyumba ?
 
This is Richmond!

If you visit the website of RDC http://www.rdevco.com/ you’ll see that the address of this entity is listed as:

5825 Schumacher Houston, Texas 77057
ph (713) 952-3472
fx (713) 952-0932

But a careful investigator like those from TAKIDEMA (Taasisi ya Kitanzania ya Demokrasia, Maendeleo na Amani) would easily find out the entity behind the address. In this case, the same address is listed for a company in Houston called Adie Marks Advertising whose phone numbers are:

(713) 952-2276

The similarity of the first six digits telephone numbers between RDC and AMA is rather striking. However, if you call that number, the number has now changed to (713) 952-0800)

Not only that the same address is used for another company, namely:

Richmond Printing
Whose contact name is another Javeed Gire. According to web sources:

“Richmond Printing has been in business for 15 years.
They have a full service business offering.
They have been featured in the Houston Business Journal.
It is a family owned business with 6 brothers.
Most functions therefore are managed directly by the owners.”

All of my attempts to reach somebody at any of the companies onsite proved to be futile!
 
Jasusi,
Nakuelewa lakini kwa hali ilivyokuwa mimi nakuona ni mkombozi maana leo hii IKULU ingekuwa imejaa waaarabu na tusingekuwa na wakututetea, unajua mwalimu alitusaidia saaana wakati wa RUKSA, maana asingekuwepo sijui tungekuwa wapi leo hii?
Sasa sijui nani angemuweza SAS? si unaona JK kawashinda wote hakuna hata anayemsikiliza??? ulishaona serikali hapa duniani raisi na waziri mkuu wapishana kutembelea mji kwa siku?
 
Yombayomba,
Si miji tu, nchi je? Mmoja akiwa Cuba mwingine yuko Thailand anatutafutia utaalamu wa mvua. Sasa nasikia kuna safari nyingine imepangwa Asia: Japan, China, halafu Marekani na Canada. Vasco Da Gama wa kale hamfikii VDG wa sasa kwa uvumbuzi wa nchi.
 
Nasikia jamaa wa RDC waliitwa ikulu leo jioni... naona mkataba utavunjwa na jamaa watapigwa persona non grata!!
 
Fikiraduni,
Nooo bob sii kweli kuwa JK ndiye kaweka mkataba wa hizo generatos za Richmond alipotembelea DC baada ya kushika madaraka. Mpango huo aliufanya Msabah na kuna uhusiano mkubwa kati ya wahusika na waziri huyu. Mengine tuyaache kama yalivyo tumeisha liwa kama kawaida yetu. Nitasema tena swala la Umeme nililifuatilia sana na huko Ikulu kuna washikaji ambao kila mara niliambiwa wapi niende! sii swala ambalo JK anaweza kunipa sahihi yake bila kupitia hatua hizo.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom