Tua Ngoma
JF-Expert Member
- Apr 14, 2015
- 3,102
- 8,006
Mzee leo hii unatuambia nini kuhusu RICHMOND???. Waliitwa Ikulu au ofisi ya waziri mkuu??Nasikia jamaa wa RDC waliitwa ikulu leo jioni... naona mkataba utavunjwa na jamaa watapigwa persona non grata!!