Kashfa ya makontena yamuibua Ridhiwan Kikwete!

Kashfa ya makontena yamuibua Ridhiwan Kikwete!

Ritz bora ukae kimya,wewe ni mshirika wa watu waliohujumu uchumi wa nchi hii kwa kushirikiana na makampuni kama home shopping centre na sasa silent ocean kukwepa kodi,wewe ndiyo mshirika mkubwa,utuambie kule kule magodown ya chang'ombe huwa unafuata nini? Ni heri uendelee kukaa kimya

mkuu wewe ulimwanaje huku nasikia jamaa anatumia nyambizi haonekani hata kwa rada
 
Watanzania tuache kushadadia vitu hewa...hatuwezi kuwa taifa la uvumi na uzushi...

Chuki inayojengwa dhidi ya familia ya Kikwete ni kulipiza kisasi tu kutokana na the so called majina ya mfukoni...lakini tujiulize asingekuja na majina hayo kama ni kweli Magufuli tungempata wapi?

Kikwete amekuwa akisema kwamba zama zake zimepita na ametuletea Magufuli kwa hilo tu ni zawadi ametuachia...tumpongeze na tuache kumsakama kupitia nyuma ya keybord...kama unaushahidi na unajiamini jitokeze hadharani na uoneshe ushahidi huo kuwa Kikwete na familia yake wanahusika kujilimbikizia mali kwa njia za hila...

anza wewe kupeleka ushahidi wa huyo jamaa wako kuto husika?
Hivi riz 1 ameanza kuongelea hata kabla ya kuwa M.B afu wewe unakuja na hoja ya juzi eti majina ya mfukoni una akili kweli wewe?
 
Nchi hii kweli ni ya watu wenye uelewa mdogo sana na waamini uzushi na majungu.Kila issue yenye utata ni lazima isukumiwe kwa Kikwete na familia yake.Watu wanatumia vyombo vya habari
kueneza chuki zao nna wivu kwa wananchi dhidi ya Mh.Kikwete na familia yake bila sababu za msingi.Ifike wakati hii hali ikome maana haina tija kwetu sisi wananchi wa kawaida.
Hivi mkinunuliwa bia na nyama choma huwa zinawaondowa hata akili zenu? kwa akili hizi utainamishwa hapa mjini.
 
nipeleke ushahidi gani kama haupo?. nyumbu ni nyumbu tu wanazaliana mara 2 kwa mwaka
 
pelekeni nyinyi ushahidi simnasema mnao? nyambafu
 
Kwani kuwa na hela lazima ufanye kazi kwenye taasisi fulani fulani??? hii imedhihirisha kuwa ukifanya kazi kwa bidii na ukajituma basi lazima utoboe,, urofa wako usikufanye uchukie wengine..

Kama ni ujasiriamali hatuna shaka na kijana wa watu. Issue ni kwamba atangaze mali zake na kupunguza porojo ili TRA nayo iweke wazi kiasi cha kodi alichowahi kulipa kama inaendana. Revenue vs. VAT. Hii huwa ukitamka kila mkwepa kodi anakata ngebe.
 
Bado mnaendelea tu kumsakama huyu jamaa na familia yake??? Uzuri wake hata JPM anajua kwanini mnamsakama JK,, kosa lake ni yale majina ya mfukoni,,, kukatwa kwa bwana wenu ndio kunaleta yote haya kila kukicha,, leo x-mass tu kuna thread tatu humu zote anasakamwa JK na familia yake... JK ATABAKI KUWA MWANAUME WA 2015..

Hata kabla ya majina ya mfukoni dogo alisemwa sana na hakujitokeza kukanusha. Au unataka kutuaminisha kuwa wanaomsema walijua mheshimiwa atakuja na majina kwenye mfuko wa suruali?
 
We are tired. Marumbano hayana tija mh. Fuata nyayo za diamond usijibizane na news au kamata shitataki. Uchaguzi umekwisha. Rais wetu kasema kwenye salam za Christmas tupendane tupige kaz[/URL]
 
Sijaona mpaka sasa aliekuja japo na punje ya ushahidi dhidi ya Ridhwan nnachokiona ni manyumbu yanahaha, yanahororoja na kubwabwaja bila mpango.
 
Kuka kimya ni hekima kubwa sana. Hvi hayo makontena mbona hawatajwi madereva boda boda au mama ntilie? Kua suspect tu inaonesha uhusika wako. Nadhani anyamaze akumbuke kuna waajiriwa wenye dhamana wapo ndani anajua wanajipanga VIP? Utakuja wekewa vielelezo hapa ushindwe hata hujitetea. Umeshanufaika piga kimya

Ipo siku watu watafunguka. Heri anyamaze kimya.
 
jibuni hoja si kupinda hata mkisema keshabadili majina mje na hoja pia
 
Kama ni ujasiriamali hatuna shaka na kijana wa watu. Issue ni kwamba atangaze mali zake na kupunguza porojo ili TRA nayo iweke wazi kiasi cha kodi alichowahi kulipa kama inaendana. Revenue vs. VAT. Hii huwa ukitamka kila mkwepa kodi anakata ngebe.

Kwanini usizitangaze wewe kwa ushahidi?

Mmemshindwa baba'ke mtamuweza yeye?
 
Dawa ya kuzushiwa ambavyo si vyako, ni kuweka vya kwako mezani,tena kwa hao hao waandishi kwamba ninamiliki nyumba 1 paa ya slop mvua ikinyesha inamwaga maji nyuma, kuku wa 3, baiskeli 1 na mshahara wangu ni tsh F 98.573/- Sheria ngowi alinipa offer ya kushona kwake nguo full stop. Ngebe kwisha. Waandishi kuna swali? Na kama vp tume ya maadili iniundie tume ya uchunguzi. La mwisho weka tishio, NIKIYASIKIA TENA HAYO MAUZUSHI UNAKWENDA NA MAJI.
 
Watanzania tuache kushadadia vitu hewa...hatuwezi kuwa taifa la uvumi na uzushi...

Chuki inayojengwa dhidi ya familia ya Kikwete ni kulipiza kisasi tu kutokana na the so called majina ya mfukoni...lakini tujiulize asingekuja na majina hayo kama ni kweli Magufuli tungempata wapi?

Kikwete amekuwa akisema kwamba zama zake zimepita na ametuletea Magufuli kwa hilo tu ni zawadi ametuachia...tumpongeze na tuache kumsakama kupitia nyuma ya keybord...kama unaushahidi na unajiamini jitokeze hadharani na uoneshe ushahidi huo kuwa Kikwete na familia yake wanahusika kujilimbikizia mali kwa njia za hila...

Kwa hiyo magu naye alikuwa mfukoni? Vipi dogo alianza kuandikwa baada ya majina ya mfukoni? Je alikuwa na conflict of interest na wale waliokatwa? Je wewe unaushahidi kuwa hakukwepa au hakushawishi TRA kusamehe kodi? .....etc....funguka kuwa muwazi kwa maslahi mapana ya nchi.
 
LENDEYSON waambie hao wenye data waziweke hapa jukwaani basi kama wanaogopa kujitokeza hadharani.

yani ushahidi wa kuokoteleza wa kuwa anavalishwa viatu na makonda?. hivi kweli hio chuki ya kiwango gani. tusishabikie upuuuzi

Usalama wake baada ya kubandika? Kama ni nyaraka za gvt sharia za mitandao iondolewe au serikali itoe tamko la kinga dhidi ya mtoa siri za wakwepa kodi kwanza.
 
Last edited by a moderator:
wakristo bwana hatukusikia kelele hizi mkapa alivyomaliza muda japo aliuza uchumi wote acheni hizo

Usipotoshe mada, unataka kutuaminisha kuwa watu wa dini fulani wanahujumiwa au?
 
Du we jamaa ni mnafiki huu uzi umeubadili kuwa ni wakidini.Akina Mwakyembe walipo mbana Lowasa je Lowasa ni mwislamu au Chenge au Muhongo au Mama Tibaijuka je walihukumiwa na waislamu mbona unafanya mambo ya kijinga

Kidati kama siyo anataka kupoteza mada ili tuzame na kupotea kwenye dini, basi anamaanisha kuwa, issue yeyote nzuri ni ya muislam na hakuna muislam anayeweza kuhujumu uchumi.
Note: Simanyane hao uliwataja(lowasa, chenge, muhongo, tibaijuka, nk ) laiti wangekuwa waislam leo hii wangedai ni mpango wa kuangamiza waislam tanzania
 
Back
Top Bottom