Kashfa ya makontena yamuibua Ridhiwan Kikwete!

mnaemtetea huyu bwana, mtaishi nae milele? hizi figisu zinaweza rithiwa na vizaz vikazibeba kama zilivyo, wenye majina ya ukoo huo wakatakan wasingezaliwa huko. mm nafikiri dawa ni ku clear doubt, wenye mali watajwe, wakatamatwe ndio dawa.
 
Mnapoteza nguvu za bure mwacheni mzee wa watu apumzike.hakuna ushahidi na hata ukipatikana hakuna bado ana kinga

Nani kakwambua amepumzika,yuko angani bado kila kukicha utafikiri msoga kunawaka moto!Rais Magu,mabalozi wanatosha na hatuhitaji wa uwakilishi wa Mr dhaifu kokote duniani,mweke kando na kama anajipu tumbua!
 
Kwani kuwa na hela lazima ufanye kazi kwenye taasisi fulani fulani??? hii imedhihirisha kuwa ukifanya kazi kwa bidii na ukajituma basi lazima utoboe,, urofa wako usikufanye uchukie wengine..

Hahaaa!. Kazana kijana utatoka na wewe kama RIZ one muda si mrefu. Unadhani ni rahisi kama unavyodhani siyo?.
 
Kinachotakiwa ni ushahidi alihusika vipi kama hakuna ushahidi hayo ni majungu na majungu hayajengi acheni chuki binafsi
 
Bado mnaendelea tu kumsakama huyu jamaa na familia yake??? Uzuri wake hata JPM anajua kwanini mnamsakama JK,, kosa lake ni yale majina ya mfukoni,,, kukatwa kwa bwana wenu ndio kunaleta yote haya kila kukicha,, leo x-mass tu kuna thread tatu humu zote anasakamwa JK na familia yake... JK ATABAKI KUWA MWANAUME WA 2015..

Mstari wa mwisho;wana ccm wenye wake wazuri walikuwa na hofu,kidogo ubunge wa kuteuliwa,kama ana wowowo utashtuka tu kapewa udc!Kiukweli wanaume walikuwa wanasononeka mioyoni,walau sasa wana amani!
 
Ritz bora ukae kimya,wewe ni mshirika wa watu waliohujumu uchumi wa nchi hii kwa kushirikiana na makampuni kama home shopping centre na sasa silent ocean kukwepa kodi,wewe ndiyo mshirika mkubwa,utuambie kule kule magodown ya chang'ombe huwa unafuata nini? Ni heri uendelee kukaa kimya
 
wivu mbaya sana,wachaga wanataka wapate wao tu,na magufuli anatakiwe ajue jipu kubwa kwa sasa ni lile la kutoa kafara ndugu ili upate utajir namuomba sana adeal nalo hilo
 
Kuka kimya ni hekima kubwa sana. Hvi hayo makontena mbona hawatajwi madereva boda boda au mama ntilie? Kua suspect tu inaonesha uhusika wako. Nadhani anyamaze akumbuke kuna waajiriwa wenye dhamana wapo ndani anajua wanajipanga VIP? Utakuja wekewa vielelezo hapa ushindwe hata hujitetea. Umeshanufaika piga kimya
 
Back
Top Bottom