Nchi hii kweli ni ya watu wenye uelewa mdogo sana na waamini uzushi na majungu.Kila issue yenye utata ni lazima isukumiwe kwa Kikwete na familia yake.Watu wanatumia vyombo vya habariKuka kimya ni hekima kubwa sana. Hvi hayo makontena mbona hawatajwi madereva boda boda au mama ntilie? Kua suspect tu inaonesha uhusika wako. Nadhani anyamaze akumbuke kuna waajiriwa wenye
dhamana wapo ndani anajua wanajipanga VIP? Utakuja wekewa vielelezo hapa ushindwe hata hujitetea. Umeshanufaika piga kimya
Nchi hii kweli ni ya watu wenye uelewa mdogo sana na waamini uzushi na majungu.Kila issue yenye utata ni lazima isukumiwe kwa Kikwete na familia yake.Watu wanatumia vyombo vya habari
kueneza chuki zao nna wivu kwa wananchi dhidi ya Mh.Kikwete na familia yake bila sababu za msingi.Ifike wakati hii hali ikome maana haina tija kwetu sisi wananchi wa kawaida.
Ushahidi upelekwe wapi? Na usalama wa mtoa ushahidi ukoje?
Serikali iweke wazi
Hana lolote, ukweli ni ule ule
Tufike mahala tuache kuwa wajinga kuisisha familia ya rais mstaafu ni uonevu na majungu yasiyo na tija kama ni fitina za kisiasa ndio zinaleta haya yote basi tukae tukijua majungu hayajengi
Jk kajitafutia maadui baada ya kulikata jina la lile fisadi kuu, na kuzuia mita 200, kuna wajinga wanajidanganya kuwa jp anaweza kumfanya chochote jk, endeleeni kusubir
Ukiona mtu anang'ang'ania ndani ya gari bovu ujue ana mali zake humo
Jipu limeiva...
Tuachane na hayo mabati tukavamie pale msoga kuna family microfinance imechimbiwa pale
Tuachane na hayo mabati tukavamie pale msoga kuna family microfinance imechimbiwa pale