Kashfa ya makontena yamuibua Ridhiwan Kikwete!

Kashfa ya makontena yamuibua Ridhiwan Kikwete!

huu uandishi wako tu unaonesha jinsi gani ulivyo na gere kwa Riz 1. kama unalo hata la kukaririshwa liseme, sio unatukana jamii ya watu bure tu kwa uG-nga wako na chuki binafsi ulizonazo.

unamtetea mwizi mwenzako?, nyie wezi siku yenu yaja ambayo mtalia na kusaga meno usiku kucha na hapatakuwa na mtu wa kuwatetea
 
Unaweza kupumzika wakati unasumbuliwa
Kinachotakiwa ni mazingira mazuri ya kutoa ushahidi huo. Wale wafanyakazi wa TRA wana mengi ya kusema na ushahidi wanao. Haiwezekani makontena yakatoka bila amri. Niwakumbushe pia utaratibu wa maadili TRA unamtaka mtumishi kutekeleza amri ya mkubwa wake, sasa Masamaki angefanya nini kama kaamriwa hivyo. Haki itendeke na wote waliohusika wapelekwe mahakamani waombewe adhabu ya kifo na wasjifiche kwenye matamko wakati wafanyakazi wa TRA wasio na hatia wanasakamwa!

Ni kweli, siamini kama hayo makontena zaidi ya 2,000 ni za watumishi wa TRA. Waliyatoa kwa amri, wafunguke mahakamani na kuwataja wamiliki na amri zilizotolewa.
 
siku hizi ndio imekuwa fasheni , mtu akiiba akiona ameumbuliwa anakimbilia kusema mwenye ushahidi aende mahakamani. anajua fika huko mahakamani kesi zilivyo rundikana haitaisha leo.
 
Najiuliza tu siku ambayo kile kituo cha mafuta pale Bunju 'A' karibu na shule kitavunjwa, maana kimejengwa sehemu ambayo maji hutuama. Pale mbele kidogo ya tazara kama unaelekea airport upande wa kushoto wanapaita (mchicha?) ule ukuta mpya ni eneo la nani?! Kama kuna mtu yupo karibu na kikwete na anapenda kuongea, ingeisaidia sana nchi hii kama wangetuambia ni vipi hasa iliwezekana ukwepaji mkubwa hivyo wa kodi ktk utawala wake. Alishindwa nini kuzuia uozo mkubwa namna hii?
 
mkuu haya ni maneno ya jk siyo yangu, mimi nimenukuu tu. yasome tena japokuwa yanakuuma,

nisemeni mimi muacheni magufuli afanye kazi-by JK dec 9 2015
hata mkinisema sigombei tena, kwa hiyo mnapoteza muda wenu by JK
hizi ni dalili za walioshindwa by JK
sasa mmechanganyikiwa, by JK

ujumbe murua kabisa huu.


Abunuwasiiii!!! Umesomwa sana wakati unatetea "familia yako/yenu" sasa quote zako unazo-post, mmh!! Hivi kuna mtz utakayemdanganya these days?! Pole sana! labda wewe huenda ni mmoja wa watunukiwa wa ukuu wa...nanihiii. Poleni sana and we are watching "the trend"!!!as Tanzanians
 
Hilo gazeti la mawio ambaro liliandika kashifa hiyo linamilikiwa na kampuni ya free media ambayo mwenye kampuni ni Mke wa mbowe...Sasa unategemea nn kama sio fitina na uzandiki..hapo.Nakuchafua mm nionekane mzurii...Na kwataharifa tu Magufuli unafikiri anafanya kazi kwa maelekezo ya magazeti na social network.wrong number...mtaramba gharasha...
 
Majina ya mfukoni halikuwapo la Dr. Magufuli. Na wala Magufuli hakuwa chaguo la mkwere. Waache kujikosha hapa
 
Hana ulinzi tena, jamaa yuko uchi kabisa hadi huruma !!!
Easy you can do anything and he is empty.
Ana weweseka kwa stories za barabarani eti nikakutana na mtu mmoja....!!!
Mwenye Rungu piga hapo hapo atasema tu.
 
Chukii ni mbaya sanaa

Hasada za roho zimewajaa wabongoo sanaa

Wengi wanaamini kila kizuri kimepatikana kwa njaa ya haramuu

Acheni familia ya mzee kikwete ipumzikee kwa amanii
 
Chukii ni mbaya sanaa

Hasada za roho zimewajaa wabongoo sanaa

Wengi wanaamini kila kizuri kimepatikana kwa njaa ya haramuu

Acheni familia ya mzee kikwete ipumzikee kwa amanii


Eti ipumzike kwa amani..!! Ipumzike kwa kazi gani ya maana iliyolifanyia Taifa?

Au kama una maana ya RIP
 
we nae tumia akili kuna watoto wa marais wangapi hapa tanzania hawajasakizia kwa nini yeye?
Kila mtu anamsema yeye watu wote wamuonee ana nini? Na ili iweje?

Kumbaka hii vita imeanza kwa EDO na Jk na sasa ikaamia kwa FRED lowasa na ridhiwani sasa wao wanabaki kuchafuana
 
MAOFISA WA TRA na BANDARI KUTOKA MAGAZETI WANADAI WAO NAO WATATUMBUA MAJIPU BASI TUSUBIRI. Kuna msemo mwenzako akimwaga ugali na wewe mwaga mboga!

Hakuna Afisa wa TRA atakaeweza tumbua jipu wala kipele boss...usidanganyike, kwa sababu wao walishiriki kwa asilimia 100 kuifikisha nchi ilipo..
 
Afadhali ungebaki kimya. Watu wanafahamu sana udhalimu wako. Wakimwaga hapa "data" walahi utatoroka nchi kukimbia mkono wa sheria. Ila "As ante" kutufanya Watanzania malofa.
 
Mwenye ushahidi apeleke na autoe hadharani acheni kupiga kelele...!

Mlipiga kelele lowassa fisadi akasema mwenye ushahidi apeleke mahakamani hamkuwa na ushahidi mpaka leo mnampiga madongo. Kusemwa huyo dogo eti watu wanyamaze acheni unazi pu mb avu
 
Back
Top Bottom