twahil
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 4,100
- 2,796
Hizi ziko nchi gani baby.Home shopping/slient Cargo wana ICD uliona jina la HSC/SC kwenye list ya walipotisha kontena bure?
Hamwapati ngo...
wivu mbaya sana,wachaga wanataka wapate wao tu,na magufuli anatakiwe ajue jipu kubwa kwa sasa ni lile la kutoa kafara ndugu ili upate utajir namuomba sana adeal nalo hilo
Ile hotel jirani ya kituo cha mafuta pale Bamaga ni ya nani? Nauliza tu
Uzi uko page ya 13 nimesoma page zote hakuna aliyeweka hata ushahidi wowote,
Lakini ukiwasikiliza watu huku mitaani kila gari,nyumba mzuri na jengo lefu na maloli yote makubwa mengi bararani,
Yanahusihwa na huyu kijana najiuliza nano yuko nyumba ya mkakati wa kumchafua?
Kwa malengo gani?kama ni uzalendo kwa taifa mbona ushahidi hawaleti.
Ifike mahala taiga letu lisiongozwe na majungu.na fitina.
Ifike mahala tutoe tangazo kama la ndoa
Ikiwa kuna mutu kwenye ushahidi wa Ridhione kujihusisha na uhujumu wa taifa autoe hadharani,
Kama hayupo anyamaze kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Tumechoka majungu.
VP kampuni yake ya lugumi interprises? inalipa kodi stahiki katika jengo LA ATC house posts mpya?
Lake oil inalipa kodi stahiki? au itakuwa imeanza kulipa kodi baada ya magufuli kuingia ikulu...!!!
Malori yake yameanza kulipa kodi?
Magufuli mulika na biashara za Job Ndugai anatuhumiwa kumuua ofisa wa TRA Aliyekwenda kudai kodi ya serikali mwaka Fulani...na yeye amulikwe.
Mulika na malori ya Ngereja , MTU mmoja ana malori zaidi ya 100 anayalipia kodi stahiki?
Watanzania tuache kushadadia vitu hewa...hatuwezi kuwa taifa la uvumi na uzushi...
Chuki inayojengwa dhidi ya familia ya Kikwete ni kulipiza kisasi tu kutokana na the so called majina ya mfukoni...lakini tujiulize asingekuja na majina hayo kama ni kweli Magufuli tungempata wapi?
Kikwete amekuwa akisema kwamba zama zake zimepita na ametuletea Magufuli kwa hilo tu ni zawadi ametuachia...tumpongeze na tuache kumsakama kupitia nyuma ya keybord...kama unaushahidi na unajiamini jitokeze hadharani na uoneshe ushahidi huo kuwa Kikwete na familia yake wanahusika kujilimbikizia mali kwa njia za hila...
Mungu asaidie Familia hii iadhibiwe. Amin.
Uzi uko page ya 13 nimesoma page zote hakuna aliyeweka hata ushahidi wowote,
Lakini ukiwasikiliza watu huku mitaani kila gari,nyumba nzuri na jengo lefu na maloli yote makubwa mengi bararani,
Yanahusihwa na huyu kijana najiuliza nani yuko nyumba ya mkakati wa kumchafua?
Kwa malengo gani?kama ni uzalendo kwa taifa mbona ushahidi hawaleti.
Ifike mahala taifa letu lisiongozwe na majungu.na fitina.
Ifike mahala tutoe tangazo kama la ndoa
Ikiwa kuna mutu yeyote mwenye ushahidi wa Ridhione kujihusisha na uhujumu wa taifa autoe hadharani,
Kama hayupo anyamaze kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Tumechoka majungu.
kwani wewe ni nani kutunyamanzisha tusiongee