Kashfa ya makontena yamuibua Ridhiwan Kikwete!

Kashfa ya makontena yamuibua Ridhiwan Kikwete!

makonda kavunjiwa heshima au kajivunjia mwenyewe? ni nani alomtuma amfungie mwanamfalme kamba za viatu?

Hivi wewe unaakili timamu kweli mwenyewe ameshasema yule aliyemfunga kamba za viatu ni nani na paLE ILIKUWA WAPI,AMEWEKA KILA KITU BAYANA WEWE MPUMBAVU MWENYE SHINGO NENE BADO UNANGANGANA KWAMBA YULE NI MAKONDA. TUMIA AKILI WEWE NYUMBU
 
Sijaona mpaka sasa aliekuja japo na punje ya ushahidi dhidi ya Ridhwan nnachokiona ni manyumbu yanahaha, yanahororoja na kubwabwaja bila mpango.

Porojo za vijiweni na mbaya sana dada yangu, hawa watu hawatumii akili kabisa,WEKENI USHAHIDI TUWAAMINI VINGINEVYO SISI WANANCHI TUTAJUA KWAMBA MNA AGENDA YA SIRI. HATUTAKI MANENO TUNATAKA MWENYE USHAHIDI AUWEKE HADHARANI.
 
unalipwa shilingi ngapi kwa kumtetea huyu mwizi, mwezako faiza foxy anapigwa dudu na wewe angalia
 
unalipwa shilingi ngapi kwa kumtetea huyu mwizi, mwezako faiza foxy anapigwa dudu na wewe angalia

BAVICHA hakuna mnachokijua ila ni matusi tu pale mnapozidiwa HOJA, tumieni hata MOTHER BRAIN ili mueze kufanya simple analysis. NDIO MAANA FISADI LOWASSA ALIAMUA KUWALETA WAZUNGU KUJUMLISHA KURA ZAKE KWA KUWA NYINYI HAMNAZO.
 
Porojo za vijiweni na mbaya sana dada yangu, hawa watu hawatumii akili kabisa,WEKENI USHAHIDI TUWAAMINI VINGINEVYO SISI WANANCHI TUTAJUA KWAMBA MNA AGENDA YA SIRI. HATUTAKI MANENO TUNATAKA MWENYE USHAHIDI AUWEKE HADHARANI.

SISI WATANZANIA? acha kutumia neno hilo vibaya kwa manufaa yako na ya wezi wenzako. mpuuzy mkubwa wewe!
 
wawalize mara ngapi mkuu? home shopping tayari wameishawaliza matrilioni ya shilingi.

Mkweree situ ya kufanya usafi pale Chalinze aliuliza wananiambia " SIWEZI KUCHOMOA KWANI NIMECHOMEKA WAPI?" Ilibidi wamjibu kuwa umechomeka "HOME SHOPPING CENTRE!".
 
Mwambieni Tanzanite One inakufa. Gonga hakuna kitu anafanya. Poor production, wamefukuza kazi watu zaidi ya 6000.
 
Mwanae jk mbona anakanusha au ndo kujihami
ama kweli the higher the monkey climbs the more it shows it is thing! hata hutu nae anathubutu kuru challenge sisi? hivi unahitaji ushahidi kujua kwamba allikua anaofisi kwenye jengo la Alosco na kila siku anachukua mshiko? si yeye tu madereva wale wawili wenye kuvaa cheap suti nyeusi walikua wanapeleka wapi hela kila asubuhi? tunafahamu walikokua wanaenda kila asubuhi na waliyekua wanamkabidhi cash za dola, siku hao watu walivyoshikwa na hela airport dar es slaam, ni nani aliyeenda kuwatoa ndani na walifikia ofisi gani? na wale wadogo zako wanaoona kuwa mtoto wa huyo ndio kila kitu duniani, yule aliyekua na dola kwenye gari huku akimtukana mgombea wa upinzani alipata wapi zile hela? hii trailer sbirini mchezo wenyewe, sema uzuri kama mlivyo empty head mliowasaidia kuiba wengi wameshawatosa, sasa hivi nyie mtapelekwa yemen kuwekeza kwa wakina Ghalib? hopeless kabisa
 
Back
Top Bottom