Kashfa ya makontena yamuibua Ridhiwan Kikwete!

Kashfa ya makontena yamuibua Ridhiwan Kikwete!

Mwenye ushahidi kuhusu Riziwani apeleke mahakamani

Kuna somo la kujifunza katika sentesi hiii... Watuhumiwa wote wakubwa wanakimbilia MAHAKAMANI.... Lowasa DID that..!!

Huh!?!?
 
jamaa kila kitu amekanusha!

Ningependa sana kujua amepataje hela hata kung'ara ndani ya muda mfupi. Kama ni chuma ulete aseme aisee.. Sijawahi kusikia 'mkibarua' akawa na hela na umaarufu kuliko bosi wake.
 
kinachofanyika hapa ni majungu na kujadili mtu bila facts...

the so called wasomi mnajadili watu badala ya facts aha?
 
nisemeni mimi muacheni magufuli afanye kazi-by JK dec 9 2015
hata mkinisema sigombei tena, kwa hiyo mnapoteza muda wenu by JK
hizi ni dalili za walioshindwa by JK
sasa mmechanganyikiwa, by JK

ujumbe murua kabisa huu.



Abunuwasiiii!!! Umesomwa sana wakati unatetea "familia yako/yenu" sasa quote zako unazo-post, mmh!! Hivi kuna mtz utakayemdanganya these days?! Pole sana! labda wewe huenda ni mmoja wa watunukiwa wa ukuu wa...nanihiii. Poleni sana and we are watching "the trend"!!!as Tanzanians
 
Uyu dogo anatudanganya,kuna mwaka flan nlikuwa nafanya kazi mizan moja ya kupimia magari mkoa flan, kuna kipindi flan yakapita magari mengi sana mapya zaidi ya 50 aina ya semi trailer yamebeba mahindi yanapeleka nchi jiran, tuliwauliza madereva zaid ya kumi yale magari ni ya nan, na wote walisema ni ya Rizi moja, na hata tulipotaka kuyapiga fain baadh yao walitupiga mkwara kuwa watampigia rizi moja ili tukose kazi, serikal inaibeba tu hii familia, lakin ukwel ni kuwa hawa watu ni matajir sana na wametuibia sana..!
 
ENYI BAVICHA, KAMA HAMNA USHAHIDI NA MSEMACHO HUMU, ningewashauri MFUNGE matundu yenu yote ya miili yenu na mjikite kukijenga chama! Nionacho humu ni WIVU WA WATU WAZIMA. Mnasikitisha!
 
Ni juu ya utoroshaji wa Makontena.

Familia yake inasema mwenye ushahidi autoe.

Soure: magazeti.
MY TAKE.
Jamani toeni ushahidi hawa watu si wa kuwachekea kabisa. Tunajiskia hata ugua tukiskia majina yao.
R1 ULE MPANGO WENU KUIFILISI NCHI HAPA NDO KIKOMO CHAKE. ULIZOEA KULA BATA BILA JASHO UTAKULA KWA JASHO. WEWE SI NDIYE CEO WA MAKAMPUNI YA FAMILIA YENU? TAKE CARE WATZ SIO MAJUHA WAKAAMINI MANENEO YAKO KWA VYOMBO VYA HABARI. MOYO WAKO UNMAJUA UKWEL;I. NI HERI UAKE KIMYA WATU WATakuona muungwana kuliko unachofanya sasa
 
Mnapoteza nguvu za bure mwacheni mzee wa watu apumzike.hakuna ushahidi na hata ukipatikana hakuna bado ana kinga

Hawezi kupumzika salama kwani dhamila yake itamsuta kwa kuwaibia watu masikini ambao watamlisha maisha yake yote!! Hata kama hatashitakiwa, he will die a very unhappy man because he betrayed a trust given to him by poor people! !!
 
Hawezi kupumzika salama kwani dhamila yake itamsuta kwa kuwaibia watu masikini ambao watamlisha maisha yake yote!! Hata kama hatashitakiwa, he will die a very unhappy man because he betrayed a trust given to him by poor people! !!

Sour grapes is eating you out!
 
kinachofanyika hapa ni majungu na kujadili mtu bila facts...

the so called wasomi mnajadili watu badala ya facts aha?

Hawa wakweree wanajidai wajanja kwa kukataa kuwa hawana mali walizowekeza kwa waarabu na wahindi; hawajui kwa kufanya hivyo wanawapa nafasi wakina Subash kuweza kuwadhulumu mali hizo na wao kushindwa kudai mahala popote kwani wamekana kuwa hawana mali!!! Mkae mkijua kuwa hao partners wenu wanangojea muda muafaka tu kabla ya kuwaliza.
 
Kuna somo la kujifunza katika sentesi hiii... Watuhumiwa wote wakubwa wanakimbilia MAHAKAMANI.... Lowasa DID that..!!

Huh!?!?

Msirushiane Mpira huku mkiwazuga wabongo, huo ni ugomvi wenu weenyeeweee!!! Now wa-TZ wamepata kitu roho inapenda, ila inauma!!!!!!!!
 
Ukiona mtu anang'ang'ania ndani ya gari bovu ujue ana mali zake humo
 
Mnapoteza nguvu za bure mwacheni mzee wa watu apumzike.hakuna ushahidi na hata ukipatikana hakuna bado ana kinga


Kwahiyo kinga ya jk inamuhusu na ridhiwani? Kwakweli uongozi wa awamu ya nne umetufikisha pa baya sana..akina ridhiwani na baba yake wameidhulumu sana nchi yetu na kujitajirisha wao. Ushahid wa haya ni ufisadi Mkubwa uliogunduliwa na uongozi wa awamu ya tano.
 
Back
Top Bottom