Kashfa nzito: Zitto vs Amina Chifupa

Status
Not open for further replies.
Ni amina pekee ndiye anayejua nani alikuwa rafiki wa kweli.....kama kwenda msibani hata wale waliomkebehi/kumtisha siku ile aliposimama kuongelea madawa kuwa anarusha mawe akiwa ndani ya nyumba ya vioo walikwenda kumuaga.....
 
Mwanakijiji,

Unashangaza na majibu yako yanayojichanganya na yenye jazba nyingi.

U have tried ( in vain ) so hard to manupulate the whole saga. Kule kwenye thread ya marupurupu umekuwa mtetezi wa "mambo binafsi" in favour of Zitto. Huku ( kwenye tanzia ya Amina)umemhukumu na kumtia hatiani Nchimbi kwamba anahusika na kifo cha Amina. Familia ya marehemu wanasema hakuna foul play. Cha kushangaza wewe mtetezi wa "mambo binafsi" unabadilisha joho na kushikia bango waitwe Scotland yard. Tazama ugeu geu wako hapa unataka taarifa gani zaidi ya wazazi wa marehemu ambao ndio wenye postmortem report? kwanini unashinikiza uchunguzi zaidi? je sasa ufuasi wako wa "mambo binafsi" ushauacha? Tazama u flip flop wako chini hapa;


Leo unadai kuwa ulikuwa mtetezi wa Amina since day one, unasahau huko nyuma ni wewe uliesema kuwa katika masuala ambayo huyapi umuhimu ni hili la Zitto na Amina!

 
mie nilimshangaa huyu mwanakijiji kujidai anamjua sana AMINA halafu information ndogo kama dhehebu la AMINA alikuwa hajui.Japo ni mahiri wa kuandika lakini kama yuko careless na data zake inamaana kuwa work done nzima yake ni ZERO! Utamiss vipi important info kama hiyo?
 
Basi sasa imetosha. Kama wanafamilia ya Amina wameridhika na matokeo ya autoposy sisi wengine hatuna budi kuacha kung'ang'ania uchunguzi zaidi hata kama hatuamini au hatujaridhishwa na sababu iliyotolewa/ zilizotolewa ya/za kifo chake. Tumwache marehemu apumzike na familia yake ipate muda wa kuombeleza na hatimaye kurudia hali yao ya kawaida. Nasisitiza tena: familia yake ndio yenye uamuzi wa mwisho na ni vyema uamuzi wao ukaheshimiwa.
 
Mwanakijiji,

Nafikiri huna haja ya kujibu further, level of mis-understanding the hoja is quite high here...........you know what i mean!!?
 
Hebu acha kujifanya una akili kupita wengine humu...ebo!!! Eti level of misunderstanding the hoja is quite high....misunderstanding my .....(excuse my french)....where is the misunderstanding....pinpoint it for me, please.
 
Nyani, familia ya yule kijana aliyepigwa risasi na Dito ilisema ni mapenzi ya Mungu... kwanini Dito na kesi ya kujibu?
 
mie nilimshangaa huyu mwanakijiji kujidai anamjua sana AMINA halafu information ndogo kama dhehebu la AMINA alikuwa hajui.

Katika misingi tuliyokulia ya utaifa hapa Tanzania, huwa hatutafuti details za madhehebu, makabila au koo za watu. Kwa hiyo kumjua mtu siyo lazima ujue dhehebu lake, unaweza ukajua kuwa ni mkristo au ni mwislamu lakini usijue zaidi ya hapo. Vile vile unaweza kujua kuwa anatoka mkoa wa Mbeya lakini usijue details zaidi ya hapo.
 
Nyani, familia ya yule kijana aliyepigwa risasi na Dito ilisema ni mapenzi ya Mungu... kwanini Dito na kesi ya kujibu?

Duh...ebwana eeh!!! unasema kweli walisema kijana wao kutwangwa risasi at point blank range ni mapenzi ya mungu? Ni nani aliyetoa kauli hiyo...? Kwa kweli hiyo sikumbuki...

Lakini hata kama walisema hivyo...sidhani kama walimaanisha Ditto asichukuliwe hatua...kwa sababu tendo alilofanya Ditto kwa kweli halina ubishi wowote.
 
I give up... haya "mapenzi ya Mungu" yatatuletea matatizo kweli. Ni bora watu wote wanakufa kuanzia sasa TAnzania wazazi waliofiwa waseme ni "mapenzi ya Mungu" polisi wasichunguze, watu wasiulize, tuzike na yaishe!
 

Unfortunately misingi ya utaifa huo tumeshaivunjavunja kitambo kidogo na sasa sio tu huwa tunapendelea kutafuta details kisirisiri lakini tumefikia kuyatafuta na kuyajadili hayo kwa uwazi kabisa bila hata aibu..


Tanzanianjema
 
I give up... haya "mapenzi ya Mungu" yatatuletea matatizo kweli. Ni bora watu wote wanakufa kuanzia sasa TAnzania wazazi waliofiwa waseme ni "mapenzi ya Mungu" polisi wasichunguze, watu wasiulize, tuzike na yaishe!

Ukisema hivyo utakuwa umekasirika mkuu...
 

Nyani unakumbuka wakati viongozi wamepanga mstari kwenda kutoa rambirambi kwa familia ya Bakari, waandishi wakawauliza familia, mzee wa marehemu alipokuwa akipokea rambirambi akasema "yote ni mapenzi ya Mungu"...

Nitakuwa si mkweli nikisema kuwa sielewi kwanini wazazi na ndugu wanataka "yaishe" kimya kimya. Ni utamaduni wetu kuwa hatuwasumbui waliokufa. Lakini huku tunakokwenda ni lazima tujifunze kuwapatia marehemu haki zao na sauti hata wakiwa kaburini. Unaikumbuka ile kesi ya Kapalata?
 
Ukisema hivyo utakuwa umekasirika mkuu...

my dear masatu, tukikubali principle kuwa "wazazi wakisema mapenzi ya Mungu basi yote yaishe" tutakuwa kwenye matatizo makubwa kweli. Kuna wakati ambapo Mapenzi ya Mungu na ya mwanadamu yanakuwa yameingiliana kweli kiasi cha kwamba kuyatofautisha inakuwa kazi kidogo. Nikiri hapa kuwa endapo uchunguzi huru utafanyika na pasipo shaka matokeo yakasema hakukuwa na jambo lolote la kisayansi linaloelezea kifo chake au any criminial negligence or acts... NITAKUWA wa kwanza kutaka tukubali uamuzi huo na hapo Mapenzi ya Mungu yatakuwa vindicated.

Naomba nirudie kusema kuwa sisemi kuwa Amina amekufa kutokana na njama za watu fulani, nasema kuna minong'ono na tetesi nyingi mtaani ambazo hadi majina ya watu yanatajwa. Hili si haki kwa mtu yule atajwaye na pia kutokuyapa uzito unaostahili hasa pale kiongozi wa kitaifa anapokufa katika usiri na utata, ni kuchochea minong'ono hiyo.
 
__________________

For once u r right! Hata hivyo minong'ono mingine ni ya kupuuzwa tu. What abt minong'ono kuwa kifo cha Mwalimu ni foul play?

Watanzania wakati mwingine wanashabikia mambo kibubusa. Unakumbuka miaka ya 1990's kulizuka minong'ono kuna mtu kageuka chatu Buguruni, Vp kuhusu minong'ono ya kuwepo kwa popo bawa? na mifano mingi tu ya mambo ya kipuuzi.

Tukiweka mkazo mkubwa kwenye hii minong'ono isiyo na maana we will become laughing stock.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…