Barabaraya18,
Usihamaki. Nakuomba tujadili hii sheria ya talaka kwenye thread nyingine kusudi utupe mawanga zaidi wale tunaoielewa nusususu. Kutuita "mayahudi" eti tunataka kuteka dini yako ni kuvuruga ustaarabu wa mjadala. Tunafurahi unavyojitahidi kufafanua mambo tusiyokuwa na uelewa nayo kuhusu kanuni hii ya talaka. Kwa sasa ni vizuri tuliache hapa ili tuendelee na mengine kuhusu msiba.
That's what I (and probably others) observed kuwa hoja sasa inaweza kubadilika na kuanza masuala ya UDINI kitu kilichofunga mjadala wa Nyerere (enzi za mwanzoo) na hadi sasa nashindwa kurejesha hoja ile kwani watu walizidi kukashifiana na mwishowe wakaanza kutukanana LIVE.
Mi sipingi hoja yoyote kujadiliwa lakini tuangalie side effect ya hoja. Huwa sipendi kujibu hoja zote lakini zile ambazo naamini ni vyema niseme kabla ya kuchukua maamuzi binafsi huwa nalazimika kusema. Aidha ingependeza tukafungua thread zenye mlingano na hoja husika ambako si tutamwongelea Amina tu bali dini kwa ujumla wake tukiongelea masuala ya talaka and all the stuffs related.
Ndio maana huwa nasisitiza watu kusoma majira na kuendana na hali halisi. To differ with me is not a prob, lakini nini picha yetu kwa jamii? Kukosea member mmoja au wawili bila kuwakumbusha ni kutotimiza wajibu. Wajibu wangu ni kukumbusha kuwa majira haya si masika... Kiangazi baba!
nadhani twende katika mada ya msingi hii ya talaka na madhehebu ya dini haitufikishi popote.
wat iz ze problemmhhh haya