carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,579
- 285,648
Nibakishie napitia parachichi hapa gengeni[emoji1786][emoji1786] [emoji39][emoji39] daah shukrani, ngoja wengine tukajilie makande yetu tu.
Nibakishie napitia parachichi hapa gengeni[emoji1786][emoji1786] [emoji39][emoji39] daah shukrani, ngoja wengine tukajilie makande yetu tu.
Kabila lako na pilau wapi na wapi?
We pika pilau bwana we.Kabila lako na pilau wapi na wapi?
Nashiba tena vizuri....hahaha wewe haushibi?Sasa hizo mboga mboga ulishiba?
Ndio maana uko na kwashakoo.Nashiba tena vizuri....hahaha wewe haushibi?
YapMakubwa.
Wewe hadhi yangu unaijua?
Karibu basi na mimi kwenye birthday yangu amu,kitu kama hiki tukitoe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mie siyo mpenzi kwa kweli. Nikiwa peke yangu siwezi jipikia makande.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Makande sijawahi kupika na sitopika lakini nikiyakuta nakula kidogo sana.
Si mpenzi hata
mama wawili
Teh teh. Vyote vyote tu mie huwa sivielewi.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]wengine cc tunakula gither
stidy
Mi pilau sipendi kula nikutane na gome la mdalasini au iliki. Nnachofanya nachemsha viungo pembeni (iliki, karafuu na mdalisini) mdalasini unatoa rangi brown nzuri.Nikipika nachuja maji yake ndo napiki...
Sent using Jamii Forums mobile app