Karibuni

Karibuni

Hiko ni chakula cheaper kweli? Kuchemsha mpaka yaive kuunga nazi n. K.
Mhhhh
Sasa kama wanauza kuanzia 1000tsh
Sahan huko kwa mama ntilie

stidy
 
  • Thanks
Reactions: amu
Umeshawahi kupika? Mimi napenda kupika ila mvivu sana wa kukaa jikoni mda mrefu.
Mfano hayo makanse yanaapikwa kuanzia asubuhi mpaka jioni au yanapikwa usiku kucha
Kuna wale wanakaanga kitunguu,nyanya,
Hoho,karot alaf wanachanganya
Na makande yaliyochemshwa
Sasa ukila yananukia ulee mlango
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16]

stidy
 
Ooo hapo sawa kama kununua.
Lakini kupika home hiko ni chakula expensive.
Sasa kama wanauza kuanzia 1000tsh
Sahan huko kwa mama ntilie

stidy
 
Sasa jamani makande yanakaangwaje? [emoji848][emoji848][emoji848]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
I think alimaanisha kuungwa na mafuta
 
  • Thanks
Reactions: amu
Leo jirani kaomba tena nimpikie hiki [emoji23][emoji23][emoji23]
IMG_20200507_190643.jpeg
 
Sana aiseeee.
Nawajua..Sudan asili yao
Sana aiseeee zamani nikiwa mdogo nilikuwa nanuna nawaona wanoko lakini sasa hivi ninaona manufaa yake.
 
Back
Top Bottom