Asante nimeshavijua hilo jina la simba mbili lilikuwa geni kwangu...curry powder[emoji106].Simba mbili au curry powderNi viungo vimesagwa sokoni au duka la mangi vinauzwa 300.
Kesho nitakupigia picha.
mama wawili
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]wengine cc tunakula gither[emoji1786][emoji1786] [emoji39][emoji39] daah shukrani, ngoja wengine tukajilie makande yetu tu.
Shukrani.
Ooouky.Ilikuwa kilo moja.
Niliweka limao 2,vitunguu swaumu vikubwa viwili, mchuzi masala na nilitwanga girigirani kidogo.
mama wawili
Ni mbichi madam.karoti, hoho na giligiliani unakua umekaanga pembeni kabla ya kuziingiza kwenye pilau??????,au unaziweka kwenye sufuria kabla wali haujakaukia??? thanks kwa somo
Nyama jamani nyamaaa acha niwe mroho tu hakuna namna[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Dada punguza uroho
mama wawili
Ni mbichi madam.
Uakata kata unadumbukiza katikati, unapalia makaa juu.
Zinaiva na mvuke
mama wawili
Jirani yangu ni mpareeee guess what kaharibu kachumbari kapika ya kabichi na kitunguu. SiipendiAsante nimeshavijua hilo jina la simba mbili lilikuwa geni kwangu...curry powder[emoji106].
Pilau inaonekana tamu.....haukutengeneza kachumbari ili tulile jingi?
Hahaha..... haipandi kwa pilau hiyo inafaa kwa uono wa pwani.Jirani yangu ni mpareeee guess what kaharibu kachumbari kapika ya kabichi na kitunguu. Siipendi
mama wawili