Karibuni

Karibuni

si kuna mdalasini ya unga au nayo huipendi?
Nope; napenda maji ya viungo vilivyochemshwa na pilau masala kidogo sana....inakua haina rangi sana na viungo havikinaishi.
Nisichopenda mimi ni viungo vizima kuwekwa kwenye pilau...unajikuta unatafuna mdalasini au ganda la iliki.Japo watu wa Mwambao ndo wanapenda viungo vizima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Jirani yangu huyu kanifata asubuhi nimuandikie mahitaji anunue nimpikie mchuzi wa ng'ombe na chapati.
Nikiwa sijachoka nitaweka humu jioni.
Bado miezi kama miwili,ntakukumbusha tu mkuu..maana mimi pia ji rafiki yako kama huyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Githeri ni maharage au makande?
Gither n mahindi mabich kama
Yale ya kuchoma yanapukuchuliwa
Then yanapikwa kwa kumix na maharage

Makande n yale mahind yamekobolewa
Ukipika pia unamix na maharage


stidy
 
Oooo ahsante naona wakenya sana wanasema hiyo githeri na popular "githeri man"
Gither n mahindi mabich kama
Yale ya kuchoma yanapukuchuliwa
Then yanapikwa kwa kumix na maharage

Makande n yale mahind yamekobolewa
Ukipika pia unamix na maharage


stidy
 
Sasa jamani makande yanakaangwaje? [emoji848][emoji848][emoji848]
Kuna wale wanakaanga kitunguu,nyanya,
Hoho,karot alaf wanachanganya
Na makande yaliyochemshwa
Sasa ukila yananukia ulee mlango
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16]

stidy
 
  • Thanks
Reactions: amu
Back
Top Bottom