Karibuni

Karibuni

Hello leo jirani yangu alikuwa ana birthday ya mwanae akaniomba nimpikie pilau.
Fuata nami [emoji39][emoji39]View attachment 1441811

mama wawili
Njoo pm uniambie baada ya vitunguu nn kilifuata bibie ata mm nataman kula ilo pilau ila nililopika mwenyewe [emoji846]

Ongera sana maana mpaka huku nahisi harufu [emoji39]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisa.
Nikiweka matako chini huwa nahakikisha sikosei [emoji39]
Samahani naweza kukukodisha ili unipikie pilau la Eid kwangu?

"رمضان كريم وصوم مقبول"
 
Nilianza kwa kukaanga vitunguu naji, vikawa brown nikaweka nyama niliyomarina4mte nikakaanga ikakaangika nikaongeza maji kiduchu tu ili nyama ilainike. Nikakaanga kaanga nikatoa.

mama wawili
Uliimarinate vipi mamii?
 
Back
Top Bottom