Karibuni

Karibuni

  • Thanks
Reactions: amu
Hivo viungo havina tabu kabisa.
Sema ni "wivu" tu unakusumbua

mama wawili
Heeee majanga basi kama nitakuonea wivu kwa kujua kupika maana yake nataka kuchukua nafasi yako au??

Mbona sijaongea uongo viungo hufahamu kuwa husababisha harufu kali ya ushuzi??Sio Pilau tu vyakula vingi vyenye mchanganyiko wa viungo hutoa matokeo kama hayo..

Mi wivu sina la roho tu ndo inauma kwa waliokula hicho chakula mi nikasahaulika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kwahiyo kwako ww unayeenjoy kutafuna yale mahome ya miti ndo unaona ujanja??

Hahahaha relax sio kila chakula unachoenjoy ww basi wote tutaenjoy.

Nina bahati mbaya mpaka kesho sijawahi kujua which is my favourite food aisee na maisha yanaendelea

Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wengine ndo mlivyo hamjui chakula kitamu wala chakula upendacho.
We ili mradi unakula tu.
Lakini sisi wengine tunaweza kuacha kula sababu tu hakivutii,hakina taste.
Mimi huwa napata shida sana kula vyakula mahotelini kama sipajui mara nyingi naishia kuagiza chips na mara kibao nikisema niagize chakula nakutana na disappointment chakula kibaya hakina ladha lakini wengine kama wewe mnakula [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mnaenjoy.
Lakini "wivu" wa kukosa pilau unakusumbua.
Usijali nitakutumia nikiwa nimeshachambua viungo ili usitafune.

mama wawili
 
huu mchanganyiko ni balaa. sipati picha walioshiriki mlo wako utabiri wa hali ya hewa usiku upande wa radi na ngurumo za vishindo kule kusini mwa bonde lenye ufa sambamba na maporomoko ya tope rojorojo.

umewaacha salama kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli.
Lakini "sisi watalamu" raha ya pilau ukila kuchambua chambua mara utoe hiriki magome ya abdalasini n.k.
Tatizo wewe muha mbishi sana ujue.

mama wawili
Ndo ujiandae ukiolewa na muha mm ujue hivyo vijiti na magome sipendi mapemaaaa unanichambulia before maana hamchewagi kumix humohumo na magome ya limbwata utasikia hiyo sijui mdalasini kumbe ushafanya yako.Hahahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: amu
Back
Top Bottom