Kwahiyo unapika na haunikaribishi[emoji134][emoji134][emoji134]Napika kila siku mimi....karibu hata leo namalizia.
Pamoja na kuwa mama wawili, wewe ni mchafu angalia sufuria ilivyofubaa. Mama unayemiliki smartphone unaishi kama mama wa mgombaniNinaanza sasa kupika pilau.
Nimeanza kukakanga vitunguu mpaka viwe brown. View attachment 1441837
mama wawili
View attachment 1441923Samahani naweza kukukodisha ili unipikie pilau la Eid kwangu?
"رمضان كريم وصوم مقبول"
Mdogo wangu huwa napika kidogo....ila umeshasema utakuja nitaongeza maji.Kwahiyo unapika na haunikaribishi[emoji134][emoji134][emoji134]
Pamoja na kuwa mama wawili, wewe ni mchafu angalia sufuria ilivyofubaa. Mama unayemiliki smartphone unaishi kama mama wa mgombani
Utaongeza maji au mchele?🙆Mdogo wangu huwa napika kidogo....ila umeshasema utakuja nitaongeza maji.
Maji kwanza hahaha...wewe kupika haujui inaonyesha kabisa.Utaongeza maji au mchele?[emoji134]
Hizi zote ni hasira za kutubakishia makoko tu.Hapo ni kwa jirani ujue.
Si kwangu nimeenda kumpikia tu na hiyo sufuria kanipa na jiko. Soma maelezo nimesema kabisa nilipiga picha maana nilikuwa sijiamini kwenye mkaa sijapikia mkaa miaka mingi sana.
Hii sahani nani alikuhonga🤔🤔🤔
Wifi yo.Hii sahani nani alikuhonga[emoji848][emoji848][emoji848]
Imekushushia hadhi. Siku ingine achana na show off za kijijiniHapo ni kwa jirani ujue.
Si kwangu nimeenda kumpikia tu na hiyo sufuria kanipa na jiko. Soma maelezo nimesema kabisa nilipiga picha maana nilikuwa sijiamini kwenye mkaa sijapikia mkaa miaka mingi sana.
Sasa ukiongeza maji si inakuwa bokoboko[emoji134][emoji134]Maji kwanza hahaha...wewe kupika haujui inaonyesha kabisa.
Mwambie nami nazitaka.Wifi yo.