Karibuni

Karibuni

Wow! Aisee! Kwa Pishi hilo nitashangaa kama vijana kindakindaki wa jf wameshindwa kukuchumbia[emoji6]
 
  • Thanks
Reactions: amu
Nikaweka hiriki, cinnamon, binzari nyembamba na simba mbili(hapa ile mchuzi masala ilikuwa imeisha huwa napenda kuiweka ili pilau liwe na rangi fulani hivi ya njano) zingatia sana vipimo vya viungo napenda binzari nyembamba kidogo na abdalasini kidogo kiasi. View attachment 1441854View attachment 1441855View attachment 1441856

mama wawili
Kwa mchanganyiko wa viungo vyote hivyo haki ya bibi tena mtu akijamba unaweza hisi kuna bomba la machi machafu limepasuka yaani sijui dawa yake nn kwa kweli ushuzi unanuka balaa.

M we nye tiba ya hili jamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: amu
Kwa mchanganyiko wa viungo vyote hivyo haki ya bibi tena mtu akijamba unaweza hisi kuna bomba la machi machafu limepasuka yaani sijui dawa yake nn kwa kweli ushuzi unanuka balaa.

M we nye tiba ya hili jamani

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivo viungo havina tabu kabisa.
Sema ni "wivu" tu unakusumbua

mama wawili
 
Mi pilau sipendi kula nikutane na gome la mdalasini au iliki. Nnachofanya nachemsha viungo pembeni (iliki, karafuu na mdalisini) mdalasini unatoa rangi brown nzuri.Nikipika nachuja maji yake ndo napiki...

Sent using Jamii Forums mobile app
Ewaaaaa hakuna kinachonikeraga mm kwenye pilau kama vile vimiti miti kila mara kutema vimiti mara sij ui hiliki n.k

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom