Karibu Msamvu Kituo kikubwa cha Mabasi Morogoro

Karibu Msamvu Kituo kikubwa cha Mabasi Morogoro

Madiwani wa Halmashauri zingine wakajifunzr Morogoro,namna ya kupanga na kutekeleza mradi wa ujenzi wa stendi.
Maana miji mingi huwa wanakurupuka,na kujikuta wanaishia kulazimisha kuhamia kwenye stendi zisizokuwa na viwango vya kuhudumia abiria na vyombo vya usafiri.
 
Sijawai kuona mtu Muongo kama wewe!. Labda nikufahamishe tu kama utakubari sawa, waluguru wanatoka njia mbili kuu, ingawa na maeneo mengine, 1.Njia ya Matombo( bigwa, misongeni, mbete, morning side,pangawe(Moro municipal), kiroka, kinole, mkuyuni, kibungo, matombo yenyewe, mtamba, kiunza, nyingwa, tawa, kibogwa,dimilo,nyachilo, nemele, kangazi, mvua, kolelo, mngazi,tegetelo, Lanzi, tawa(Morogoro Vijijini Milimani) 2.Njia ya Mgeta ni Iringa road, Kasanga, Ziwa Mindu, njia panda mzumbe, mzumbe (Morogoro Municipal)Mgeta,magurue,bunduki,tangeni, lolo, mhale, lukwangure na nk(Mvomero ya Milimani). Njia ya 3 hii sio rasmi, ni Dodoma road kihonda, dakawa, turiani. Mahenge ni wapogoro, ifakara ni wapogoro na wamanda.Kilosa ni wasagara waliokuja kulima mkonge kutoka tabora. Kisaki ni wavidunda, Mvua ni wavidunda na wakutu, Waluguru Mvua ni Wageni kama mpaka vile. Gairo ni Wakaguru.Mikumi ni mchanganyiko ya wahehe, waluguru, wasagara na makabila mengine. Hao wasukuma, Wamasai, nk wapo mvomero ya kasikazini karibu na Gairo ambao waluguru hawapo, bonde la ifakara, na mngazi(Kisaki), maeneo yenye migogoro. Waluguru wanaanzia kwa Mkuu wa Mkoa kwenda Milimani, bonde la mji wa Morogoro tulimwachiaga mkoloni alime mkonge, ukiona mluguru ana Nyumba na maeneo Morogoro mjini aliyapata either kutoka manispaa baada ya mkonge kufa au alipewa na wamisionari, maana ndio walimirikishwa maeneo na wajerumani baadae waingereza. Bigwa sisters, nanenane,Misongeni mission, mazimbu. Waluguru wanalima ndizi, magimbi, maboga, iliki, tangawizi,mihogo, inatoka njia ya matombo. Njegere, nyanya, cabbage, pitches, maharage haya yanatoka Mgeta. Tuliani, Madizini, waluguru wanalima mpunga tu lakini pia tuliani waluguru ni wageni. Morogoro manisipaa ni ya waluguru lakini waliondoka kwa ajiri ya ukoloni, walivyorudi baada ya serikali ya kikoloni kuondoka Serikali Mpya iligawa upya. Mwembesingo, misufini,chamwino ni Mitaa mikongwe ambao waluguru wazamani, waliochanganyika na Waha kutoka kigoma wanaishi hata Leo.Waha walikuja kama Manamba kwenye mikonge. Wewe unawazungumzia Waluguru wa Mwembesongo, Chamwino,Misufini, hao walichanganyika na mbegu za Waha Kijana. Makabila mengi yamekuja Morogoro, lakini Waluguru hawatatoka milele. Wewe huwajui Waluguru wanatoka wapi, unaongea tu kwa kukaa mwaka Morogoro.Wanyatuzu sijawai kuwasikia Morogoro labda wapo.Karibu tena Kijana Morogoro.
Asante sana Mkuu .. Naomba kwasasa utembelee maeneo ya kihonda , mazimbu bigwa misongeni n.k kama utawakuta waruguru..
Maana hayo maeneo ndio yalioendelea. Kwasasa waluguru upande Wa manispaa utawakuta barabara ya Uhuru, mlapakolo, vibandan, manzese, mwembesongo, mjimpya , Chamwino, n.k hayo maeneo ndiyo machafu hatar nyumba za udongo ni kama magofu..

Matombo walugulu wapo ambao pamoja na waarabu koko ..

Mkuu maeneo yote yanayokaliwa na walugulu hakuna maendeleo nyumba za zaman tena za udongo na miti ..
 
Looooh bora mseme nyie waungwana.
Nilisema mimi The bold na Mgirik walinishukia vibaya sana.
Nikaona sio case nikaona bora yaishe.

Haya njooni muwakatalie na hawa.
Stand ya Moro ilikuwa vumbi aibuuuu!
Kumbe hadi 2012?
Daaah Moro mmechelewa sana.

Kwetu kaskazini tokea nazaliwa stand kuu zetu zote ziko kama hii yenu ya leo hii [emoji23] [emoji23] [emoji23].
Mkuu stand imeanza kujengwa mwaka Jana hawa waliokuta vumbi kuna upande Wa chini ambao waliweka stand ya mda wakat ile ikiendelea kujengwa . ndio palikuwa na vumbi lakn kama walikuwa makin kuangalia wangeona mabat yaliyozungushiwa...

Hii stand ilizinduliwa na waziri Mkuu kassim majaliwa mwaka huu
 
Kabla ya kutoka povu soma nilichoandika na uelewe! Wapi nimeandika kuwa stendi imefunguliwa mda mrefu..

What I mean is hata kabla ya stendi hii mpya Morogoro hapakuwa na stendi ya vumbi.. Usichanganye na hiyo stendi ya dharura ambayo imeanza kutumika mwaka jana mpaka kufikia juzi hapa walipoifungua hii mpya..
sms yako niliisoma nikiwa nimesimama hapahapa Msamvu hvyo sikuielewa vzur ila nilipofika home ndio nikaielewa
NIKUTAKE RADHI KWA HILO[emoji120]
 
Asante sana Mkuu .. Naomba kwasasa utembelee maeneo ya kihonda , mazimbu bigwa misongeni n.k kama utawakuta waruguru..
Maana hayo maeneo ndio yalioendelea. Kwasasa waluguru upande Wa manispaa utawakuta barabara ya Uhuru, mlapakolo, vibandan, manzese, mwembesongo, mjimpya , Chamwino, n.k hayo maeneo ndiyo machafu hatar nyumba za udongo ni kama magofu..

Matombo walugulu wapo ambao pamoja na waarabu koko ..

Mkuu maeneo yote yanayokaliwa na walugulu hakuna maendeleo nyumba za zaman tena za udongo na miti ..
Sawa, Maendeleo uletwa na wageni, kwa maana ndio wenye taswira Mpya, Wenyeji(Waluguru) wana hiyari yao kubadilika au kutobadilika, lakini lazima utambue ukikaa karibu ya Waridi lazima pia unukie, wageni wanapounedeleza mji pia wenyeji wenye malengo ufahidika. Naomba nikurekibishe unaposema "Matombo kuna Waarabu", Matombo Waarabu hakuna, aliwai kukaa muhindi eneo la Mtamba, na sasa wameondoka toka enzi za mwinyi, yamebaki masalia koko ya wahindi waislam na kuna msikiti, je ni Matombo gani unayoizungumzia wewe rafiki!?. Matombo ni ngome ya Ukatoliki katika Uluguru yote, ndio maana asimilia 80% ya Waluguru ni Wakatoliki. Kanisa la Matombo lipo toka 1896(Msalabani), Tawa, kibungo chini, kibungo juu, Kangazi, Korelo, Kasanga, Pia kanisa la Mgeta n.k. Waarabu waliingia Kinole na Mkuyuni, ndio maana Waluguru wa Kinole na Mkuyuni wengi ni Waislam lakini ni wachache na uslam wao unamafungamano na Zanzibar, wengi wana ndugu Zanzibar. Morogoro mjini ilishikwa na kizazi cha Wahindi wa Pakistan kina Abood, Hood, Islam, Murad Sadick, Kizazi cha Wagiriki kama Kina Innocent Karogeris Mbunge wa zamani Moro Kusini, hawa Babu zao walikua Ma Middle Men kwenye Mikonge ya Wajerumani na Waingereza kwahiyo wengine walichanganya damu. Kwa mfumo huo kwa sasa wanapesa za kutawala mji. Ndio maana unaona Moro kama Wahindi Wa Pakistani kama Wanaonekana sana kipesa, lakini Mtaa wao mwisho ni Sultan Area na Boma,pia Mwembesongo wanaoishi lakini ni Wachache Sana usiof ndugu. Kwa sasa Watoto Wa Matombo wana Pesa za Karafuu za Milimani wana maplot na Nyumba mpya, Lukobe, Mkundi, Tungi, Kinguruira, Pangawe, Mzumbe, Kasanga n.k lakini bado wapo shamba.It is a matter of time, tutarudisha ufalme, usiof na wachaga, na wengine, hao ni wamiriki wa bar tu na vibanda vya kuchoma kitimoto. Tunakukaribisha sana kijana, utupe akiri Mpya.
 
Umenifurahisha sana Mkuu hasa unapotaja maeneo ya kuanzia pangawe kiroka, mkuyuni matombo kibungo juu kibungo chini tawa Bwakira dutumi mvuha ..kolelo mngazi . mpaka vijiji vya ndan sana kama kongwa ..

Kuna mashmba ya kutosha kwaajili ya ufuta..

Kiukweli nilishangaa kuikuta karafuu maeneo ya kibungo juu
Baadae Nilipanda sehem moja kupitia kwa chief kingaru .
Huko kuna fursa nyingi sana. ...

Mkuu kuna sehem maeneo ya matombo kuna waarabu kama sio wahindi koko...

Ukija upande mjini centre morogoro haijaendelea kutokana uwepo wa wenyeji ambao ni waluguru na waarabu koko na wahindi . ukizingatia kwamba waarabu na wahindi huwa hawapo tayar kuendeleza miji zaidi ya kuishi kwenye nyumba za zaman ..

Lakn ukienda maeneo ya pemben ya mji ambako ndio sasa hivi kunaendelea ndio utawakuta hayo makabila mchanganyiko..

Mkuu mm morogoro ni wakuja japo wazaz wangu walianza kuishi hapa tangu zaman sana..
 
Aaaaaaaaah karafuu ya Mlimani inalimwa sana Konde, Km 2 kutoka Matombo, pembezoni mwa Mto Mfizigo ukienda miliman huko ni noma. Pia ulimwa kwa sasa miji mingine kama Nyangala, Sanzani, Kibogwa kidogo na Tegetero( Juu ya Kinole). Morogoro mjini in mji wa Makabira Mengi na Jamii nyingi, yote hii ni kwa sababu Waluguru wengi(160,000) wapo Milimani na (200,000) Wapo Dar Es Salaam( ingawa kwa sasa Wanarudi kulima nyumbani),kuanzia Mabibo, Mburahati, Manzese,Mabonde ya Tabata, Ulongoni, Keko,n.k. Waluguru ni Wakurima wa bustani na Mboga, kwahiyo hukaa pembezoni mwa miferiji au mito ya maji. Morogoro mjini wapo Waluguru wapo kama 170,000 hivi na 60% hawawezi kushindana na wageni kwa Maisha ya kisasa ingawa wanapanda. Kwa Morogoro Waluguru wenye Pesa ni wamashambani ambao upata milioni 5 au 10 na kuja kununua maeneo na Nyumba mjini Morogoro.
 
Ehee tegetero si ndio kule unapita kinore unapanda juu sana mwishon kuna kanisa katoliki.. Kule kuna hali ya ubaridi kama mbeya ..
 
pako vizur
 
Attachments

  • 1479535703406.jpg
    1479535703406.jpg
    63.1 KB · Views: 152
Mmmh imejengwa lini? Nilikuwa moro march mwaka huu sikuona hata dalili
 
Stendi ya Msamvu ni nzuri.... sasa tugeukie ile ya mkoa ya Dar es Salaam, hivi hii kitu imekaaje?... Jiji kukosa stendi ya maana sio sahihi... mpango wa stendi ya mkoa umeishia wapi?!... Mwenye updates tafadhali...
Mkuu kati ya vitu vinaboa ni hii stand yaani serkali inafanya kila kitu temporary tu , mii mara nyingi naitumia hii stand lakini sioni kama wanaiweka katika mikakati yao mfano wakati wanajenga BRT hawakuzingatia hii stand kabisa hebu fikiria unatokea mjini kuingia Ubungo utafanyaje ?? Usiniambie nyoosha sijui uka U turn wapi aaahaa sitaki.

Kingine ukiwa unaingia ubungo kuna lane 2 ambazo moja ya kuingia ubungo na ya pili ya wanaonyoosha kuelekea mjini sasa huwaa kuna foleni isiyo na sababu yeyote ukizingatia lane ya kuingia ubungo huwa haitembei si huwalazimu watu kutumia lane zote mbili kuingia ubungo sasa kwa nini wasiongeze lane 2 kuanzia pale ofisi za tbs uchepuke mapema ili uweze kuingia ubungo usiweke foleni isio na lazima. Alafu wa mjini wabaki na lane zao 2 .

Kingine kwa nini Ubungo terminal kusiwe na milango ya nyuma kuingia na kutoka

Haya ukiingia mule ndani kila kitu kimekaa shagala bagala utazani sio stand kuu ya mkoa wa dar.
 
Mkuu sisemi Moro imeendelea nmejaribu kuonesha maendeleo yanayoibukia ambayo hata dsm haina
Daa wapo wapiga domo na wazee wa ma deal tu .

Tatizo viongozi wanafanya kazi kisiasa sana.

Siajabu stand ikihamishiwa mbezi itajengwa chini ya kiwango alafu baada ya miaka 10 au 15 itakuwa ndogo haitakidhi mahitaji wataihamishia tena kibaha. Vivi hivo miaka kadhhaa itajaa tena watahamishia chalizee, ikijaa hii watabadili stand ya msamvu kuwa ya dar
 
Mkuu kati ya vitu vinaboa ni hii stand yaani serkali inafanya kila kitu temporary tu , mii mara nyingi naitumia hii stand lakini sioni kama wanaiweka katika mikakati yao mfano wakati wanajenga BRT hawakuzingatia hii stand kabisa hebu fikiria unatokea mjini kuingia Ubungo utafanyaje ?? Usiniambie nyoosha sijui uka U turn wapi aaahaa sitaki.

Kingine ukiwa unaingia ubungo kuna lane 2 ambazo moja ya kuingia ubungo na ya pili ya wanaonyoosha kuelekea mjini sasa huwaa kuna goleni isiyo na sababu yeyote ukizingatia lane ya kuingia ubungo huwa haitembei si huwalazimu watu kutumia lane zote mbili kuingia ubungo sasa kwa nini wasiongeze lane 2 kuanzia pale ofisi za tbs uchepuke mapema ili uweze kuingia ubungo usiweke foleni isio na lazima. Alafu wa mjini wabaki na lane zao 2 .

Kingine kwa nini Ubungo terminal kusiwe na milango ya nyuma kuingia na kutoka

Haya ukiingia mule ndani kila kitu kimekaa shagala bagala utazani sio stand kuu ya mkoa wa dar.
Mkuu yote hiyo ni kwasababu mfumo wa BRT ulifanyiwa design na uelewa kwamba ile stand ya ubungo inahamishwa pale kupelekwa mbezi (i think). Ndio maana hawakuweka access nzuri ya kuingia pale. Binafsi sijui kwanini wanaihamisha..ingekaa pale pale lakini ikajengwa nzuri ya uhakila. Lakini Tatizo ni kwamba walikuja wakavunja vunja miundombinu iliyokuwepo mle ndani wakati kumbe hawana hela ya kujenga hiyo stand mpya.
 
Back
Top Bottom