hahahhahhahah nina walakini na wewe aiseee[emoji23] [emoji23] njoo na shemeji yangu
Sijawai kuona mtu Muongo kama wewe!. Labda nikufahamishe tu kama utakubari sawa, waluguru wanatoka njia mbili kuu, ingawa na maeneo mengine, 1.Njia ya Matombo( bigwa, misongeni, mbete, morning side,pangawe(Moro municipal), kiroka, kinole, mkuyuni, kibungo, matombo yenyewe, mtamba, kiunza, nyingwa, tawa, kibogwa,dimilo,nyachilo, nemele, kangazi, mvua, kolelo, mngazi,tegetelo, Lanzi, tawa(Morogoro Vijijini Milimani) 2.Njia ya Mgeta ni Iringa road, Kasanga, Ziwa Mindu, njia panda mzumbe, mzumbe (Morogoro Municipal)Mgeta,magurue,bunduki,tangeni, lolo, mhale, lukwangure na nk(Mvomero ya Milimani). Njia ya 3 hii sio rasmi, ni Dodoma road kihonda, dakawa, turiani. Mahenge ni wapogoro, ifakara ni wapogoro na wamanda.Kilosa ni wasagara waliokuja kulima mkonge kutoka tabora. Kisaki ni wavidunda, Mvua ni wavidunda na wakutu, Waluguru Mvua ni Wageni kama mpaka vile. Gairo ni Wakaguru.Mikumi ni mchanganyiko ya wahehe, waluguru, wasagara na makabila mengine. Hao wasukuma, Wamasai, nk wapo mvomero ya kasikazini karibu na Gairo ambao waluguru hawapo, bonde la ifakara, na mngazi(Kisaki), maeneo yenye migogoro. Waluguru wanaanzia kwa Mkuu wa Mkoa kwenda Milimani, bonde la mji wa Morogoro tulimwachiaga mkoloni alime mkonge, ukiona mluguru ana Nyumba na maeneo Morogoro mjini aliyapata either kutoka manispaa baada ya mkonge kufa au alipewa na wamisionari, maana ndio walimirikishwa maeneo na wajerumani baadae waingereza. Bigwa sisters, nanenane,Misongeni mission, mazimbu. Waluguru wanalima ndizi, magimbi, maboga, iliki, tangawizi,mihogo, inatoka njia ya matombo. Njegere, nyanya, cabbage, pitches, maharage haya yanatoka Mgeta. Tuliani, Madizini, waluguru wanalima mpunga tu lakini pia tuliani waluguru ni wageni. Morogoro manisipaa ni ya waluguru lakini waliondoka kwa ajiri ya ukoloni, walivyorudi baada ya serikali ya kikoloni kuondoka Serikali Mpya iligawa upya. Mwembesingo, misufini,chamwino ni Mitaa mikongwe ambao waluguru wazamani, waliochanganyika na Waha kutoka kigoma wanaishi hata Leo.Waha walikuja kama Manamba kwenye mikonge. Wewe unawazungumzia Waluguru wa Mwembesongo, Chamwino,Misufini, hao walichanganyika na mbegu za Waha Kijana. Makabila mengi yamekuja Morogoro, lakini Waluguru hawatatoka milele. Wewe huwajui Waluguru wanatoka wapi, unaongea tu kwa kukaa mwaka Morogoro.Wanyatuzu sijawai kuwasikia Morogoro labda wapo.Karibu tena Kijana Morogoro.Chakula kinazalishwa kirombero, Mahenge, ifakara, kilosa, kisaki mvuha n.k hebu nenda hayo maeneo kama utawakuta waluguru..
Warugulu utawakuta katkat ya mji kwenye nyumba za urithi...
Huko pembeni utawakuta wasukuma wamasai, wanyantuzu n.k
We unaongelea mbali huko,mm juzi hii Oktoba29 palikuwa kama malisho ya punda hata siamini wale wakandarasi walikuwa serious namna hiiHeeee pamenoga!Mwaka 2009 palikuwa vumbi tupu.
Bukoba si bado mkuu, au unamaanisha ile michoro?Baada ya Msanvu Stand inafatia Bukoba Stand kwa Uzuri
Safi mkuu, hawa watu wamezidi. Utadhani wao wanatoka New York. Hata mimi kote nimekaa na sijaona tofauti na makabila mengine.kabla hatujaendelea na mada kwanza we kwenu wapi!? moshi au bukoba ili nikuchambe vizuri mana nimeka moshi miaka 2 na mwaka huu nimekaa bukoba na muleba hadi saivi sa nipe jibu tuendelee kuchambuana
Mpaka 2012 kulikuwa bado vumbi na ujenz ulikuwa bado haujaanza rasmi. Lakini kwa sasa ni stendi bora kabisa.Heeee pamenoga!Mwaka 2009 palikuwa vumbi tupu.
Wewe ukaribu gan unauzungumzia?Duuuuh , hapo ndo karibu na itigi
Unbelievable.... yaani Msamvu hii hii ambayo mara ya mwisho kuja Moro nilibugia vumbi ile mbaya!
Hongereni sana!
We unaongelea mbali huko,mm juzi hii Oktoba29 palikuwa kama malisho ya punda hata siamini wale wakandarasi walikuwa serious namna hii
Looooh bora mseme nyie waungwana.Mpaka 2012 kulikuwa bado vumbi na ujenz ulikuwa bado haujaanza rasmi. Lakini kwa sasa ni stendi bora kabisa.
Somo kwa almashauri ya jiji letu la matamko/kiki......
Yaani kuna mtu anabisha kuhusu mavumbi Msamvu?!Looooh bora mseme nyie waungwana.
Nilisema mimi The bold na Mgirik walinishukia vibaya sana.
Nikaona sio case nikaona bora yaishe.
Haya njooni muwakatalie na hawa.
Stand ya Moro ilikuwa vumbi aibuuuu!
Kumbe hadi 2012?
Daaah Moro mmechelewa sana.
Kwetu kaskazini tokea nazaliwa stand kuu zetu zote ziko kama hii yenu ya leo hii [emoji23] [emoji23] [emoji23].
Hujawaona?Rudi mwanzoni kabisa mwa uzi.Yaani kuna mtu anabisha kuhusu mavumbi Msamvu?!
Nilipita juzi pameezekwa bati kumbe mambo mazuri hongera mbunge wa moro Aziz aboodKaribu msamvu stand .stand bora kuliko zote Tanzania na Africa mashariki na kati .. Stand inayoizidi hata JKNIAView attachment 435145View attachment 435146View attachment 435147
Kama umekuja Moro mwaka 2012 na ukakuta stendi ya vumbi basi ujue walikushushia kilosa sio Msamvu [emoji1] Kwasababu msavu ninayoijua iko vizuri tangu 2006 au 2007 au nyuma zaidi..Looooh bora mseme nyie waungwana.
Nilisema mimi The bold na Mgirik walinishukia vibaya sana.
Nikaona sio case nikaona bora yaishe.
Haya njooni muwakatalie na hawa.
Stand ya Moro ilikuwa vumbi aibuuuu!
Kumbe hadi 2012?
Daaah Moro mmechelewa sana.
Kwetu kaskazini tokea nazaliwa stand kuu zetu zote ziko kama hii yenu ya leo hii [emoji23] [emoji23] [emoji23].
Dah, sema na mimi nilighafirika tu manake kwenye huu uzi lazima kutakuwa na ndugu zangu Waluguru tu...!! Mimi mwenyewe nimeishi na kukua na Waluguru kv Baba angu alienilea ni Mluguru!! Kwa Mluguru aliyezaliwa na kukulia Morogoro, ubishi ni faradh na kwa aliyezaliwa na kukulia Dar, ubishi kwake ni sunna... lakini ubishi ni LAZIMA! Huaga nikifika home (Dar) lazima nikute viporo vya ubishi angalau 5 vya ndugu zangu wa Lukangazi vinavyonisubiri kuamua nani mshindi !! We si unatokea Arusha... Mluguru anaweza kukubishia kuhusu mambo ya Arusha hata kama hajawahi kufika!! Nikienda Morogoro lazima nikawaangalie ndugu zangu pale Mwembesongo na Mji Mpya! Mtu anaweza kukuuliza umekuja na basi gani na ukamjibu lakini akakubishia vile vile kwamba hukuja na hilo basi!!!Hujawaona?Rudi mwanzoni kabisa mwa uzi.
Kabla ya kutoka povu soma nilichoandika na uelewe! Wapi nimeandika kuwa stendi imefunguliwa mda mrefu..hizo ni chai hebu acha uongo hyo stendi imefunguliwa hata mwezi haujatimia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Dah, sema na mimi nilighafirika tu manake kwenye huu uzi lazima kutakuwa na ndugu zangu Waluguru tu...!! Mimi mwenyewe nimeishi na kukua na Waluguru kv Baba angu alienilea ni Mluguru!! Kwa Mluguru aliyezaliwa na kukulia Morogoro, ubishi ni faradh na kwa aliyezaliwa na kukulia Dar, ubishi kwake ni sunna... lakini ubishi ni LAZIMA! Huaga nikifika home (Dar) lazima nikute viporo vya ubishi angalau 5 vya ndugu zangu wa Lukangazi vinavyonisubiri kuamua nani mshindi !! We si unatokea Arusha... Mluguru anaweza kukubishia kuhusu mambo ya Arusha hata kama hajawahi kufika!! Nikienda Morogoro lazima nikawaangalie ndugu zangu pale Mwembesongo na...! Mtu anaweza kukuuliza umekuja na basi gani na ukamjibu lakini akakubishia vile vile kwamba hukuja na hilo basi!!!
Mkuu The bold na wewe Mluguru?! Nifah kwaheri, nakuachia Maswahibu wako... ngoja nikimbie kabla haijakuja namba moja hiyo inaitwa Kobello... mi simo!