Karibu Msamvu Kituo kikubwa cha Mabasi Morogoro

Karibu Msamvu Kituo kikubwa cha Mabasi Morogoro

Mkuu Moro sasa hivi inakaliwa na wachagga ,wasukuma na wanyakyusa kwahyo inaendelea sana ..
Waluguru waliiharibu moro
Mimi nilijua uko kule Matema beach, kumbe upo mji kasoro bahari! Napenda sana kupumzika Moro long weekends. Mwisho wa mwezi huu nakuja huko weekend! Nimechoka hussle za Dar.
 
Mimi nilijua uko kule Matema beach, kumbe upo mji kasoro bahari! Napenda sana kupumzika Moro long weekends. Mwisho wa mwezi huu nakuja huko weekend! Nimechoka hussle za Dar.
[emoji23] [emoji23] [emoji3] Mkuu matema ndio nyumban ngoja nikienda mwezi Wa 12 ntakuletea vitu vya matema beach.. Mji uliobarikiwa kwa kuwa na vitu adimu
 
Acha uchochezi wa kikabila wewe
Uchochezi gani?? Hivi unawajua walugulu jinsi walivyowavivu??
Ukienda katikati ya mji utakuta nyumba ya miti inamilikiwa na familia nzima yenye watu zaidi ya 30 wote wanaitegemea hyohyo.. Kujishughulisha hawataki . kabila la hovyo sana
 
naomba kufahamu..magari ya MOROGORO MOSHI YAPO
 
Pazuri ila panatiwa hajibu na wale midada poa inayofanya biashara hapo Kando Kando na stand.
 
Morogoro bado sana hats huwezi amino kama J.K.Nyerere alikuwa mbunge hapo! Barabara vinyu sana! Round about wanatangazia mji ndo utacheka! I stayed there for more than 3 yrs doing MSc.
 
Morogoro bado sana hats huwezi amino kama J.K.Nyerere alikuwa mbunge hapo! Barabara vinyu sana! Round about wanatangazia mji ndo utacheka! I stayed there for more than 3 yrs doing MSc.
Mkuu sisemi Moro imeendelea nmejaribu kuonesha maendeleo yanayoibukia ambayo hata dsm haina
 
Back
Top Bottom