Mkwawe
JF-Expert Member
- Jun 10, 2016
- 3,208
- 5,682
hongereni!Msamvu ndio nini? alafu mbona pa kawaida sana yani ni kama stendi ya dala dala ya segerea mwisho.
hongereni!Msamvu ndio nini? alafu mbona pa kawaida sana yani ni kama stendi ya dala dala ya segerea mwisho.
Hili jina la Raimundo Huwa nalisikia sikiaMsamvu ndo pamekuwa pazuri hivyo?
Akina nani hao walosema...si walisema stendi ingehamishiwa mkundi ama?
Hahahahahahahahahahahahaha Mkuu mnataka mkang'oe viti nini......................???Ngoja sisi mashabiki damu wa Simba tuje Moro, ndo matuelewa vizuri.
Kuna video cameras ukiharibu miundo wanakutrucktutaanza,kuiba viti,kuvunja taa,kuharibu vyoo,siku chache zijazo,maana sisi waafrika sijui tumelishwa kitu gani
Hili jina la Raimundo Huwa nalisikia sikia
Mwishowe patakuwa jangwa! palianza kuwa na miti,pakawa vumbi baadae sijui tu😀
Duuuuh , hapo ndo karibu na itigi
Sawa mzee wa moroHere Wapogoro
There Wapogoro
Everywhere Wapogoro